Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

kama slaa kuchukia kukatwa,hana tofauti na lowasa aliyechukia kukatwa......

Nashangaa mnasakama huyo babu bila huruma wakati wiki tatu zilizopita mlikua mkimwita rais wa mioyo yenu...
Hii inaonyesha watu mlivyo wanafiki wa kutupa,,,,haiwezekani mtu ulikua unamwita rais wa moyo wako,dakika inayofuata unaanza kumtukana,,,,,,,,,ndo maana mi husema bavicha hamna akili...

Lowasa nae mnaemwona mungu saa hii,haishi kuwaambia uongo wa wazi,lakini mijitu ishakua kama mazezeta,ha ha ha ha,hivi nyie vihiyo mnadhani kweli lowasa ataleta mabadiliko?????????...


Lowasa kawa muongo sana,,,eti rais anapokea milioni 400,,,,,,,,,kweli mtu mwenye ubongo kichwani utaamini ujinga huu?..
Mara atamfufua balali....kwa uwezo upi au nae kawa yesu sikuhizi...........?..ha ha ha ha

mkuu siasa ndivyo ilivyo. Nyie mbona mmemsajili na kumpa tenda dr. Slaa mliyekuwa mkishinda kumtukana kwenye mitandao yote? Mwaka huu mmepatikana kweli kweli.
 
askofu ama mchungaji,hapaswi kutake side,atakuja slaa atakuambia matatizo yake binafsi na ya kifamilia,hiyo noi siri yako askofu,atakuja lowasa nae atakuambia mambo yake....hao ni kondoo wako na wanaamini siri zao kwako ziko salama.....


sasa ewe mchungaji fake KUMBE HUWA UNAWARECORD WAUMINI WAKO?....

ndugu zangu wagalatia,hamuoni huyu mtu hafai kabisa?,
baba mchungaji,sijui askofu,unaenda kurusha mipasho kwa muumini wako bila hata aibu ,kwani yesu aliwaambiaje kuhusu kusamehe....

ewe mchungaji,sijui askofu,hata kama slaa kakuita mshenga,kweli huwezi kusamehe kama yesu alivyokuelekeza,,,,,,,,,AU LABDA yesu unaemuabudu ni yule yesu wa nyanzaland na si nazarethi..


wagalatia amkeni bana ,huyo mkongomani sio mtumishi wa mungu asee
 
Mtazamo ni kweli kabisa, na sisi tulivyo majuha tunashangilia tu. kama yeye Gwajima ni kiongozi wa kiroho, na hata kama anajua matatizo ya ndoa ya Slaa hakupaswa kuzungumzia hadharani tena kwa kumkomoa . Yeye mbona bado anayo skendo tena mbichi ya kuvunja ndoa ya muumini wake? Yeye atuambie kweli ni mshenga? na anahusikaje na shutuma za Slaa?

Pole sana. Umesikiliza yakaingilia sikio moja yakatokea sikio jingine. Majibu ya vijiswali vyako vyote yanapatikana kwenye maelezo ya jembe Gwajima. Nakubaliana na kukiri kwako kuwa wewe ni juha. Pole sana!
 
Eeenh? Imeuma een? Je, maneno kama hayo uliwahi kumsema Dk. Slaa? Au alipotumia press conference nzima kumshambulia Lowassa - absolute personal attack - ulijidai huoni husikii?

Alishambulia ufisadi wa Lowasa na si personal issues! elewa.
 
Gwajima hawezi kuwatukana Roman kwa sababu alichokipata baada ya kumtukana pengo anakijua
 
magamba lazima mjue kwamba nguvu zenu za kipepo kamwe haziwezi kupambana na nguvu za Mungu. giza na mwanga daima havichangamani.
 
sio wote tunafanya siasa mkuu, tujali maslahi ya nchi kwanza, mtu akifikiria tofauti na chadema/ukawa mshamjudge kama ni ccm. mbona hamheshimu uhuru wa mtu? yaani ni chadema/ukawa ambao wakiona mtu amevaa jezi ya ccm wanazomea! mbona ninyi ccm hawawazomei mkiwa mmevaa jezi zenu?!, kama mnakuwa ivi hamjashika dola, mkishika dola itakuaje!

Na umejuaje wanaozomea ni chadema? walikuonesha kadi,au walivaa sare!?
 
Gwajima ni Mchungaji wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.

Kwa nini anawarekodi waumini wake wanavyoelezea shida zao?

Kwa nini anatoa siri za waumini wake, hasa kuhusu maisha binafsi.?

Kama yeye kweli anafufua misukule kwa nini ameshindwa kulitoa pepo analosema analo B.Josephine?

Hivi nyie waumini wake mnaamini mko salama kupitia mtu huyu, hasa ukizingatia matatizo mengi ya watanzania chanzo ni ndoa.?

Shituka muumini wa gwajima, gwajima sio mtumishi wa Mungu ila ni tapeli aliejificha kwenye mwavuli wa Mungu.!
 
sio wote tunafanya siasa mkuu, tujali maslahi ya nchi kwanza, mtu akifikiria tofauti na chadema/ukawa mshamjudge kama ni ccm. Mbona hamheshimu uhuru wa mtu? Yaani ni chadema/ukawa ambao wakiona mtu amevaa jezi ya ccm wanazomea! Mbona ninyi ccm hawawazomei mkiwa mmevaa jezi zenu?!, kama mnakuwa ivi hamjashika dola, mkishika dola itakuaje!

kwani escrow, twiga kupandishwa ndege, richmond, ubadhirifu wizara ya maghufuri, epa, deep green, kagoda, tangold, vivuko vibovu, mabehewa feki, kiwira, etc, etc sio maslahi ya taifa yaliyofisadiwa. Mbona mko kimya???????? Ni wakati gani yanakuwa maslahi ya taifa?
 
Ameomba slaa amjibu ili aseme slaa alivyokutana na maafisa usalama wanne na mzigo alioupokea na mahali alipouweka dr mihogo jibu sasa kama una ubavu askofu amekuweza arrrrirrririririh
 
Back
Top Bottom