Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Slaa;ridhi1 ni muuza ngada in Gwajima's voice.....go go goo UKAWA
 
Linalonishangaza zaidi ni kitendo cha kumsema vibaya mtu ambaye unatumia walinzi na mpishi kutoka kwake. Nashindwa kushangaa...

Mkuu usimlaumu Gwajima Ilatakiwa Slaa...ndio ajiongeze kuwa MTU anaemshambulia kuwa ni Mshenga....anayajua mambo mengi kumbe hata chakula alikuwa anapikiwa na MTU wa GWAJIMA kwanini alimshambulia hasira za Slaa ndio zimemletea hii AIBU
 
Na heri uwe mpumbavu na lofa kama unaamini mtu mwenye kashfa kubwa ya ufisadi atafanya hayo unayotegemea pole

Mgombea wa Magamba ndio mwenye kashfa kubwa hivyo ni kweli hawezi kufanya hayo ambayo watz wanatarajia. Hapo umesema kweli jirani.
 
Kumshambulia mtu on personal issues, ni dalili ya udhaifu wa mtu!
Mchungaji kabugi saaaanaaaaa.

Eeenh? Imeuma een? Je, maneno kama hayo uliwahi kumsema Dk. Slaa? Au alipotumia press conference nzima kumshambulia Lowassa - absolute personal attack - ulijidai huoni husikii?
 
Safi sana, Mungu mkubwa. Tlianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.

Ni MWAKA WA MABADILIKO HUU MUNGU YU PAMOJA NASI DAIMA.


Wengine bado tupo JOB, hivyo hatukushuhudia yote haya.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Narratives za Gwajima, Kubenea, Mbowe, Tundu Lissu,... zinalandana 100% .. sasa nimeamini bila shaka kwama Mihogo ni muongo na dhaifu kupindukia. Kumbe Mungu tu alitunusuru mwaka 2010 akashindwa na JK.

Ni kweli mkuu hata mimi Jana tu niliandika humu kwamba Mungu alitunusuru 2010.
 
Masikini gwajima mdomo utamponza anakoelekea sio kuzuri km sasa anaanza kuongelea vyombo vya ulinzi na usalama hususan usalama wa taifa basi ajiandae vizuri mi nahisi akapimwe akili huenda akawa na tatizo, ni ombi tuu kwa faida yake.
 
Mwaka huu Viongozi wa Kikristo imekuwa Ruksa kuonekana wanafanya Kampeni

Mtaelewa tuUu #MAGAMBA ,nyie mtaongea mengi sana kisa tu kibaraka wenu DR.MIHOGO ANAPEWA MAKAVU LIVE...ME NAOMBA TU ARUDI AMJIBU GWAJIMA ALAFU AONE MAOVU YAKE ALIYOYAFANYA KWA KUTUMIWA NA "MZEE WA KITENGO" KWA MUDA MREFU BILA KUJULIKANA,NA HAPO BADO "SAIED KUBENEA" ALISEMA WAMEANDAA MAKOMBORA MAZITO YA KUMSHUSHIA DR.MIHOGO KWA KIPINDI MAALUMU KATIKA PRESS CONFERENCE ITAKAYOITISHWA SIKU ZA KARIBUNI JAPO KAMPENI ZIMEWABANA CHADEMA LAKINI LAZIMA WAONGELEE VILIVYO UPUUZI WA DK.MIHOGO...ALIYASEMA HAYA ALIPOKUWA KATIKA KAMPENI ZA KUWANADI MADIWANI KATIKA JIMBO LA UBUNGE...HIVYO DR.MIHOGO AJIANDAE KWA HILI PIA,TEH! TEH! TEH!...
 
GWAJIMA HANA SIFA YA KUWA MCHUNGAJI.

HUWEZI KUWA MCHUNGAJI HUKU UNAREKODI MATATIZO ZA WASHIRIKA WAKO KWA NIA OVU NA SIO KWA USHUHUDA WA KAZI YA MSALABA.

HUWEZI KUWA MCHUNGAJI HALAFU UNATANGAZA MATATIZO YA WASHIRIKA WAKO, MFANO ALIVYOMDHALILISHA JOSEPHINE KUWA ANA MAPEPO.

AMESEMA JOSEPHINE HASTAHIKI KUWA FIRST LADY KWA AJILI ANA MAPEPO. YEYE SI MCHUNGAJI TENA ANAFUFUA WAFU, KWANINI HAKUYATOA???

YEYE NI MCHUNGAJI, NA KAMA ALIONA NYUMBA YA DR. SLAA INA SHIDA SI ANGEWAOMBEA.

HUYU BWANA ALILISEMA KANISA KATOLIKI NA ALIFIKA MAHALI AKAMTUKANA MPAKA KADINALI PENGO, LEO ANASEMA RC NI KANISA VERY CREDIBLE???

Queen Esther





Leo Jumanne Septemba 08, 2015 Askofu Gwajima anaongea na waandishi wa habari akitoa maelezo juu ya alichokisema Dk. Slaa wakati anaongea na waandishi wa habari pia kutoa maelezo ya uhusikaji wake kwenye tukio husika.
===========
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom