Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Yaani mwaka huu maaskofu ndani ya kampeni na wagombea pia wanapiga kampeni makanisani...

Drama zote hizi ni za ukawa... Wamejaa udini ...!
 
ulitka wawe ndani ya uchafu. wa dr.wenu aliyesema anamkubali magufuli wenj tukaka kimya?MKUKI KWA NGURUWE!
 
Yaani mwaka huu maaskofu ndani ya kampeni na wagombea pia wanapiga kampeni makanisani...

Drama zote hizi ni za ukawa... Wamejaa udini ...!
cccm naona mnatafuta huruma kila jambo hata lisilokuwa na maslahi kitaifa mnalishupalia ili kujiokoa.
 
Mm simsikitii Gwajima bali wale waaminio kile kimtokacho mdomon mwake.. Alafu eti Gwajima ndio kiongoz wa kiroho wa ukawa anayetegemewa kwenye kubariki safari yao ya ikulu.... Huku ni kumdhihaki Mungu.
 
Nimemsikiliza...nimetathmini hoja zake na kuhitimisha kuwa hazina ushawishi wala ushahidi usio na shaka. Amepea kabisa kukabili mapigo ya Kamanda Slaa.
Alichofanikiwa ni kupigiwa makofi na wafuasi wa kanisa lake aliokuja nao ukumbini, ili kuleta kiinimacho kuwa waandishi wa habari walimpigia makofi!!!
 
Sasa huyo anayejiita PolePole naye ajichanganye kwenye kumi na nane za Bishop Gwajima, atajuta kuzaliwa!
 
CHADEMA has officially buried itself.

This is the heaviest bullsh*t i have seen involving a political party.

Only Lowassa die hards will vote for the man now.

Asikudanganye mtu ndugu yangu. Nchi hii wapiga kura wengi ni wale wenye upeo mdogo,wa kufikiri, masikini na wapenda mambo ya kishabiki. Wasomi ambao ni waelewa wa mambo na matajiri hawana muda wako bussy na hawana nuda wa kusimama kwenye mistari ya kura kwani wanaona ni kujishushia hadhi. Hivyo katika mazingira hayo hakuna hakika ya chama chochote kushinda zaidi ya wizi wa kura na matumizi makubwa ya jeshi kupata ushindi.
 
Kuna mtu wa kununua hii case,labda Polepole au Zito,nauza hii kesi kwa 50 kwa anayetaka
 
Pengine labda ni kutokana na kwamba hakuna cha maana alichokiongea Gwajima, zaidi ya kushambulia maisha binafsi ya Dk. Mihogo, ndio maana kituo bora kabisa nchini cha ITV hakijaonesha taarifa yake!
 
Hakuna hata siku moja Gwajima kaliponda kanisa Catholic wala apostoliki!

Pengo si kiongozi mkuu wa kanisa Catholic.
Niambie basi wewe unayefahamu kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Tanzania ni His eminence Pollycap Cardidinal Pengo au huyo Gwajima wako ambao hata uaskofu sijui kapewa na nani?
 
Back
Top Bottom