Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

..magamba akili zenu nyeusi sn;yani mnakituma kikaragosi chenu kikamseme Gwajima mkaona poa tu..ila Gwajima kuja kukijibu kikaragosi chenu...eti ooh kwann maaskofu wanajiingiza kwenye siasa? hamjui akili zenu fupi uko ugambani ndio chanzo.? siku nyingine msikitume kikaragosi muone km kuna mtu atahangaika na nyie.!
#zerowahed!

vipi Gwajima ameshamrudishia Emma mkewe?
 
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.

Unamtisha nani mtk wewe!? Aliyoyaongea slaa ni mazuri dhidi ya Gwajima na Maaskofu? Acha upuuzi huo
 
Hili ndilo ninaloliongelea hapa kila siku

Siasa inaingiza more personal issues zaidi ya issues za maendeleo ya watu...

Na katika hili hakuna wa kulikwepa...ninyi CCM mmebobea katika hili na sasa upinzani nao wamenunua kutoka kwenue kama best idea...

Tunaona kwenye kampeni za CCM...Na Dr. Slaa alifanya hivyo na kuattack watu kwa nguvu badala ya issues....

Sasa watu wanapo-retaliate hakuna namna nyingine...

Simnyooshei kidole Gwajima, Slaa, Makamba wala yeyote katika haya mavuvuzela yote....Bali sisi Watanzania kwa kuwaendekeza maana ndiyo ujinga tunaotaka usikia...

Tofauti ya ujinga huu ni kuwa ukiongelewa in favor of CCM unaonekana wa busara kwa pro-CCM na ukiongelewa in favor of CDM the same....

Ni ugonjwa tunaoufuga wenyewe

Well said mkuu,tumechagua kuish na hivo na ndo maana taifa halina ajenda ya kueleweka
 
Kama Haya Ndio Majibu Sahihi Ya Hoja Nzito Za Dk Slaa Basi naamini Kuna Watu Duniani ni Sifuri
 
Mbona hueleweki wewe na huyo Gwajima wenu,naona anaongelea tu safari zake na mke wake London sijui na mambo binafsi ya mke wakeDr Slaa,kama Gwajima ndio eti kajibu huo utumbo,ajibu ishu alizozisema Dr Slaa na sio hizo porojo za kilofa,IQ ya Gwajima ni zero ,eti halafu katoka na Hummer nini bana inasaidia nini kujibu makombora ya Dr Slaa,kwa akili hizo za kushabikia maadamu kasema mtu ambaye ni pro Lowassa bila hata kufikiria mnazidi kumpadisha chati mzee Mkapa,msiwe malofa wa kufikiri ndugu zanguni,nchi hii kamwe haitaendeshwa na genge la wahuni,Tanzania sio club ni nchi.

Taratibu mkuu, utaelewe tuu kama ulivyoelewe vizuri siku ile kontrakta wenu alipoongea Serena.
 
Huyo Josephine inaelekea ni tatizo kubwa sana! Anawezaje kumtende mume wake namna hiyo? Pole sana Dr Slaa.
 
kwanza alimpeleka lowasa chadema anaingia mpaka kamat kuu alafu aseme sio mwanasiasa huyu gwajima asitutanie yy aache kanisa aingie kwenye ulingo wa kisiasa ameshapoteza had hi ya uaskofu tangia kipindi kile akutwe na bastola
 
Mi nasubiri Slaa ajibu halafu Gwajima atoboe swala la vijana 4 na mzigo from South Africa kwenye private jet.
Mpaka October 25 ifike tutasikia na kuona mengi. Duniani ukitaka kuvuliwa nguo mchana basi ingia kwenye siasa.

Haifai wanao utawaelezaje watoto siku ukiumbuka...kimbia siasa..tukapige kura mengine tuwaachie wenyewe
 
Hivi hapo kamwaga mboga na ugali kweli? Nilitamani ampasuepasue vipande huyu msaliti wa dini na chama.
 
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?

Wewe ulipokuwa unamfuatilia Dr Slaa kazi za kukupatia kipato ulizifanya saa ngapi?
 
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.

Nyie si ndo watu wa usalama? Lazima utetee ulaji chezea kazi wewe
 
Aise, sikutegemea Dr. Slaa kuachika Chadema kwa fedhea kubwa kiasi hiki.. miezi miwili tu ameoneka mchafu wakati miaka kumi naaa.. alionekana JEMBE. Leo eti Gwajima ndo JEMBE.!!

Toa hoja acha kulalamika kama kinda
 
Kwani Wewe Ni Nani?Msemaji Wa Dr.Slaa Au Wa CCM?Gwajima Amewaambia Ukweli Mliokuwa Hamuujui.Kama Una Fikra Pevu Tafakari Upate Heshima
 
Tafadhali usimshushie hadhi Rais wala kumwingiza katika hili. Lete hoja zenye hadhi ya kujibu hoja iliyopo mezani.
Ati nini? Upole wa rais ndiyo umelifikisha taifa hapa. Hata huwezi kujua kama kuna mamlaka tena katika nchi hii. Ametukanwa wee hapa JF anakuja kushtuka na kusaini ile sheria ya makosa ya mtandao lakini ni too late. Watu bado wanaporomosha matusi tu bila woga. Yeye yupo tu anacheza na wasanii na kupiga selfie.

Nampenda sana JK lakini mimi nitalia na upole wake. Angekuwa mkali kidogo tu yaani angekuwa mmojawapo wa marais bora kabisa tuliowahi kuwa nao.
 
Back
Top Bottom