Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,889
Na wewe unajifanya hujui, wakati Josephine ameshasema ameanzisha biashara Malaysia. Ulitegemea mshahara wa mzee wa mihogo pale chadema ungetosha? wakati aliisha waambia kule yeye ni first lady