Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,727
Huo ni msemo tu. Acha kuweweseka.daaah,acha dharau kwa walokole,ina maana walokole ndio wana akili za ovyo
Huo ni msemo tu. Acha kuweweseka.daaah,acha dharau kwa walokole,ina maana walokole ndio wana akili za ovyo
Gwajima ni Mchungaji wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.
Kwa nini anawarekodi waumini wake wanavyoelezea shida zao?
Kwa nini anatoa siri za waumini wake, hasa kuhusu maisha binafsi.?
Kama yeye kweli anafufua misukule kwa nini ameshindwa kulitoa pepo analosema analo B.Josephine?
Hivi nyie waumini wake mnaamini mko salama kupitia mtu huyu, hasa ukizingatia matatizo mengi ya watanzania chanzo ni ndoa.?
Shituka muumini wa gwajima, gwajima sio mtumishi wa Mungu ila ni tapeli aliejificha kwenye mwavuli wa Mungu.!
kwani mazezeta yanaisha humu duniani???,hujasikia yule askofu alikua anawanyonyesha naniliu waumini wake,eti anawanywesha maziwa ya baraka........ha ha ha,,
Ameomba slaa amjibu ili aseme slaa alivyokutana na maafisa usalama wanne na mzigo alioupokea na mahali alipouweka dr mihogo jibu sasa kama una ubavu askofu amekuweza arrrrirrririririh
Kama anayefatiliwa na watu unamwita mpuuzi.. Ww usiye na maana kiasi cha kutofatiliwa na watu tukuiteje? Na km haumfatilii unafanya nn kwenye thread inayomuhusu!? Kama anakukera kale Malimao! Hovyo!nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?
Mkuu kama wewe humfatilii Gwajima, usingekuwepo kwenye huu uzi..
nnapoona jina la gwajima napata hasira sana jinsi alivyodhalilisha ndoa ya jamaa yangu,lakini ipo siku dunia itamuonesha
anadhihirisha upuuzi wake na cc tumpuuzieKama anayefatiliwa na watu unamwita mpuuzi.. Ww usiye na maana kiasi cha kutofatiliwa na watu tukuiteje? Na km haumfatilii unafanya nn kwenye thread inayomuhusu!? Kama anakukera kale Malimao! Hovyo!
Gwajima ni Mchungaji wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania.
Kwa nini anawarekodi waumini wake wanavyoelezea shida zao?
Kwa nini anatoa siri za waumini wake, hasa kuhusu maisha binafsi.?
Kama yeye kweli anafufua misukule kwa nini ameshindwa kulitoa pepo analosema analo B.Josephine?
Hivi nyie waumini wake mnaamini mko salama kupitia mtu huyu, hasa ukizingatia matatizo mengi ya watanzania chanzo ni ndoa.?
Shituka muumini wa gwajima, gwajima sio mtumishi wa Mungu ila ni tapeli aliejificha kwenye mwavuli wa Mungu.!
Dah maskini kamanda kavua gwanda kavaa kanga kweli mwanamke katuvua nguo
Tulia sindano ipenye katikati ya masaburi yako, mlipomsajili dr mihogo mlitegemea nini,kamwaga mboga,mwenzake anamwaga ugali na kukojolea sufuria ya kupikia,kumwagga maji jikoni.askofu ama mchungaji,hapaswi kutake side,atakuja slaa atakuambia matatizo yake binafsi na ya kifamilia,hiyo noi siri yako askofu,atakuja lowasa nae atakuambia mambo yake....hao ni kondoo wako na wanaamini siri zao kwako ziko salama.....
sasa ewe mchungaji fake KUMBE HUWA UNAWARECORD WAUMINI WAKO?....
ndugu zangu wagalatia,hamuoni huyu mtu hafai kabisa?,
baba mchungaji,sijui askofu,unaenda kurusha mipasho kwa muumini wako bila hata aibu ,kwani yesu aliwaambiaje kuhusu kusamehe....
ewe mchungaji,sijui askofu,hata kama slaa kakuita mshenga,kweli huwezi kusamehe kama yesu alivyokuelekeza,,,,,,,,,AU LABDA yesu unaemuabudu ni yule yesu wa nyanzaland na si nazarethi..
wagalatia amkeni bana ,huyo mkongomani sio mtumishi wa mungu asee
Km vp kufa kbs, coz utamuona sana! Kuh dunia kumuonyesha endelea kusubiri!nnapoona jina la gwajima napata hasira sana jinsi alivyodhalilisha ndoa ya jamaa yangu,lakini ipo siku dunia itamuonesha