Ryaro wa Ryaro
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 2,659
- 1,430
Mbona Baba Askofu Ngwajima Ameeleza Kila Kitu Wazi wewe Haukuelewa nini??
Hili tapeli linapoteza muda wa watu tu. Hawa wote watasafishwa na magufuli we ngoja muda ufike, lazima haya makanisa ya kitapeli yafungwe yote. Kweli watanzania ni makondoo kabisa, unakuta mtu kama huyu ana waumini.
waandishi wa habari wanapiga makofi na vigelegele kwenye press conference? Only in tanzania.
Mchungaji badala ya kujibu namna alivyohusishwa kisiasa anaongelea habari ya mapepo na matatizo aliyoambiwa kama kuhani .....huyu angekuwa Padre angewajibishwa bila ushahidi wa ziada ...lakini kwa vile ni Yale makanisa ambayo hakuna wa kuhoji ataendelea kusomba kondoo .....
Porojo tupu, anaongea na kujisuta yeye mwenyewe.
Mkuu babu aliyekwiba mke wa mtu huwa ana heshima?hii vita naomba ifike mwisho,, tafadhali Dr Slaa usije tena kwenye media kujibu haya,, acha kabisa,, linda heshima yako
Tulia dawa ikuingieHii ni maigizo tu!
Kwanza tangu awali Slaa alikiri kuwa nyumba anayoishi alinunua kwa michango ikiwemo ya Mbowe!
Leo Gwajima anasema kuwa mke ndiye mwenye nyumba na alimfungia virago vyake!
How comes????
Slaa alikataa hajawahi kubadili mawasiliano yake
Je Gwajima kwanini sasa atoe SMS ya namba nyingine?
Hivi si huyu Gwajima aliyemnyang'anya Mbasha mke?
Dah. Mungu kweli ni waajabu maana nadhani IKULU ingezamia baharini. Kwa kweli maombi ya watanzania yana saidia sana ndio maana mpaka leo hii Lowassa anaweza kusimama na kututangazia safari ya matumaini. Shetani anatumia kila njia lakini UKAWA ita simama kwa jina la Mungu.Si ameeleza kinaga ubaga sababu za yeye kushiriki hilo tukio, vua moyo wako weka moyo mtulivu utaelewa.
Mbona hujamlaumu kumuombea mapepo first lady alietoswa?????? sipati picha ikulu pangekuwaje kha!!!!!!
ulichelewa
juhudi za gwajima katika siasa,kipi anatafuta?mchungaji gajima wa kanisa la ufufuo anaonekana kuwa na juhudi kubwa za kisiasa ktk kipindi hichi kiasi cha kuachana na shughuli za mafundisho ya mungu.hayo ameyathibisha wakati akiongea na waandishi wa habari.
Katika maelezo yake amesema ni muda mrefu sana amekuwa akijihusisha na shughuli hizo za siasa kwa siri pasipo waumini wake kutambua, amekuwa akihudhuria ktka vikao mbalimbali vya maamuzi vya chadema kwa siri kubwa. Amenukuliwa leo akisema -usiku ule mheshimiwa lowassa, sasa akaingia kwenye kamati kuu na mimi nilikuwemo ndani ya kamati kuu kuhakikisha amefika salama na alipokelewa pale nje na dr slaa na prof baregu na mwenyekiti wa chama chetu na watu wengine. Mzee lowassa akaongea, wote tukasimama kwa pamoja na kapiga makofi, tulimkubali na tukampokea. Kitendo hicho kinatia shaka juu ya huo wema wake kwa lowasa kiasi cha kumfanya kuacha shughuli za kufundisha na kuabudu badala yake kujikita kukesha kwenye vikao vya kisiasa kwa siri.aidha amejitapa na kudai kuwa alifanya ushawishi kwa josephine na maaskofu wengine kumuunga mkono mzee lowasa!watanzania tujiulize,ni kipi kilichopo nyuma ya pazia kati yao?
Na ni sheikh Yahaya aliyesema mwaka 2015 ni LowasaUtabiri wa sheikh yahya mtoto umetimia, hatimaye tumemjua askofu atakayeaibika kipindi cha uchaguzi.
Yamebaki matukio mawili makubwa , kwanza kifo cha mwandishi maarufu na mwenye ushawishi na mmoja kati ya wagombea kuaga dunia
kweli, maana hata Dr. Josephine kasema amestaafu siasa halafu anaitisha mikutano ya kisiasa! Acha watu waongee huu ni mwaka wa uchaguzi inabidi kila anayetaka uongozi ajadiliwe hadi kwenye ngazi ya familia.
JUHUDI ZA GWAJIMA KATIKA SIASA,KIPI ANATAFUTA?Mchungaji gajima wa kanisa la ufufuo anaonekana kuwa na juhudi kubwa za kisiasa ktk kipindi hichi kiasi cha kuachana na shughuli za mafundisho ya mungu.Hayo ameyathibisha wakati akiongea na waandishi wa habari.
Katika maelezo yake amesema ni muda mrefu sana amekuwa akijihusisha na shughuli hizo za siasa kwa siri pasipo waumini wake kutambua, amekuwa akihudhuria ktka vikao mbalimbali vya maamuzi vya chadema kwa siri kubwa. Amenukuliwa leo akisema -Usiku ule mheshimiwa Lowassa, sasa akaingia kwenye kamati kuu na mimi nilikuwemo ndani ya kamati kuu kuhakikisha amefika salama na alipokelewa pale nje na Dr Slaa na Prof Baregu na mwenyekiti wa chama chetu na watu wengine. Mzee Lowassa akaongea, wote tukasimama kwa pamoja na kapiga makofi, tulimkubali na tukampokea. Kitendo hicho kinatia shaka juu ya huo wema wake kwa lowasa kiasi cha kumfanya kuacha shughuli za kufundisha na kuabudu badala yake kujikita kukesha kwenye vikao vya kisiasa kwa siri.aidha amejitapa na kudai kuwa alifanya ushawishi kwa Josephine na maaskofu wengine kumuunga mkono mzee Lowasa!WATANZANIA TUJIULIZE,NI KIPI KILICHOPO NYUMA YA PAZIA KATI YAO?
Teh teh Gwajima kawa baba askofu ngoja nimwambie MbashaMbona Baba Askofu Ngwajima Ameeleza Kila Kitu Wazi wewe Haukuelewa nini??
Mbona Baba Askofu Ngwajima Ameeleza Kila Kitu Wazi wewe Haukuelewa nini??