Laface77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2008
- 2,117
- 2,845
Hii ni maigizo tu!
Kwanza tangu awali Slaa alikiri kuwa nyumba anayoishi alinunua kwa michango ikiwemo ya Mbowe!
Leo Gwajima anasema kuwa mke ndiye mwenye nyumba na alimfungia virago vyake!
How comes????
Slaa alikataa hajawahi kubadili mawasiliano yake
Je Gwajima kwanini sasa atoe SMS ya namba nyingine?
Hivi si huyu Gwajima aliyemnyang'anya Mbasha mke?
Okay, lets assume Gwajima alimnyang'any'a Mbasha mke, je kwa kumnyang'anya Mbasha mke leo hawezi kuongea ukweli? Kwa hiyo kwa sababu wewe Frank Gotora umeshawahi kuchepuka basi hautakuja kuongea ukweli?