Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Hiii ya kurekodi waumini wake imekaaje wakuu, siku zikija kuvuja hizo audio watu watapoteana.

Nimwamini nani kama Askofu ananirekodi?

Hata wewe unaweza pakuwa hiyo appl kila upigiwapo au kupiga inakuwa inarekodi papohapo.
 
Aisee wewe unaonekana kuwa ni Mkristo mjinga usiyependa kufungua akili zako kuujua ukweli.
Ulijisikia furaha wakati Dr Slaa anamsema vibaya Askofu Gwajima alafu alafu alipotoa ufafanuzi leo Askofu Gwajima unaleta Ukristo wako wa unafiki.

YOHANA 8:30-31
[FONT=Arial, Helvetica, Geneva, SunSans-Regular, sans-serif]"[/FONT]Basi Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli; tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru."

Akhsante Askofu Gwajima umetufanya tuijue kweli leo, na wote wanaopinga kweli hii wana mapepo kama Josephine Mshumbusi
 
hatuhitaji hayo anayoyazungumzia huyo,, tunachohitaji ajibu yale yaliyotoka kwenye mdomo wa dr slaa na sio masuala binafsi ya familia ya dr,, dr alisema lowassa ni fisadi kwa sababu a,b na c na gwajima alikuwa mshenga mpaka akasema maaskofu 30 kati ya 34 wamehongwa sasa gwajima anatakiwa ayatolee haya ufafanuzi kwa ushahidi na sio kupiga porojo zilezile za akina mbatia, alete ushahidi kwanini lowassa sio fisadi na awalete hao maaskofu wale viapo na si hizi porojo..

kwani slaa alionyesha ushahidi gani? Wewe binafsi unaushahidi gani kumhusu lowasa?
 
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?
Hapa unafanya kazi ya kujipatia kipato?unalipwa na Nani?kwa vile kawapa ukweli mnanuna?utanuna sana mwaka huh na li ccm lenu.
 
Natamani Gwajima ndani ya masaa 24 awe ndani ya mikono ya sheria, na kama amekuwa mwanasia aweke wazi

Muhimu ilikuwa CCM wamzuie Slaa asitaje majina ya watu katika Press Conference yake. As long as Gwajima alitajwa tena kwa kiasi kikubwa kwa mabaya, basi ni vema tukubali kuwa ni haki Gwajima kuyaongea aliyoyaongea.
 
Ngoja nimtafute Emmanuel mbasha afanye press conference huyu gwajima kamuibia mke wake akampachika na mimba kabisa.
 
Gwajima kuoji uadirifu wa slaa yeye anauadirifu UPI? Wakati anatumia miujiza ya kipepo,na ndo msaada wa lowasa kungaisha nyota take,

Ushirikina utakuua tu siku moja wewe utake usitake!
 
nyie kama mnapata muda wa kufuatilia watu wapuuzi kama akina gwajima kazi za kuwapatia kipato mnazifanya saa ngapi?

Hakuna jambo la kipuuzi kama kupuuza kitu kabla hujakisikia. Dalili za woga hizo, pengine una hofu juu ya huyu jamaa atasema nini. Watoto wetu hawaishi kwa ugali na maharage tu, bali wana kesho yao pia ambayo kwa namna fulani imezongwa na siasa za CCM.

Hujalazimishwa, umepata wapi muda wa kuandika huu utumbo ukose muda wa kusikiliza injili ya Gwajima. Pepo toooooka! Pepo la mihogo shiiiindwa!
 
Ameliweka vizuri sana. Kwamba Slaa alizingizia kwamba alikaa pembeni kwa sababu ya ufisadi wa Lowasa kumbe Delila ndiye alikuwa shida! Yaani kwamba aliyosema Slaa kuhusu Lowasa ulikuwa unafiki mtupu! Kumbe Slaa kutoka Chadema haina uhusiano na 'ufisadi' wa Lowasa.
 
TISS imekuwa moja ya idara za CCM. Hii inafanya tuwe vulnerable and porous. Kwa hali hii EPA, twiga na madini lazima yatoroshwe bila TISS kujua
 
Back
Top Bottom