Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Ndugu watanzania wote ungana nami kwa Taarifa za Uhakika kutoka katika Mkutano wa Waandishi wa Habari na Askofu Gwajima sasa hivi.

Vituo vya TV vilivyoko hewani ni Channel 10 na Sibuka TV

More updates to follow!

12:28 PM
Waandishi wa habari waliofika mpaka ni kutoka:
Radio:
BBC, DW, RADIO ONE, CLOUDS FM, EAST AFRICA RADIO, WAPO RADIO na E-fm

Television:
Clouds Tv, Channel 10, Mlimani Tv, EA TV na Sibuka Tv

Bado waandishi wanaingia kwa wingi!

UPDATE
Askofu Gwajima ameshafika hapa Landmark Hotel, wageni na waandishi wanamsubiri Ukumbini
=========

Gwajima anaonyesha meseji aliyotumiwa na Dr. Slaa kuhusu kustaafu kwake siasa

Radio gani zipo live?
 
Mama alikubali Slaa arudi CHADEMA kwa sharti la Kikao cha kumkabidhi Lowassa kadi kufutiliwa mbali.
 
Delila alimwambia wazi Gwajima kua bila kumuomba na kumbembeleza yeye, Dr Slaa hawezi kubadili mawazo!!
 
Dr Slaa "nimejitoa chadema kwa sababu familia yangu itavunjika"
 
Mchungaji Max anaongea maana naye alishirikishwa katika kumtafuta mama ili kuinusuru ndoa ya Dr Mihogo.
 
Siwezi kufanywa ----- na mwanamke maisha.

Dr Slaa legacy yake yote ameizika kwa siku moja.
 
duuuu....mambo ya ndoa mbona kwangu hayako kama ya dr mihogo!mimi ni mwamzi katika familia mke wangu ni mshauri ila kwa Dr mihogo haiku hivyo!
 
Gwajima amekuja kujitetea baada ya kufukuzwa pale Tanganyika peckers na kuhamia pale ubungo.
 
askofu anakutana bar na mke wa mtu tena wakiwa peke yao, mh...... eti kumbembeleza
We unapajua Kibo Complex wewe?
Ulitaka wakutane Guest House??
Na kwenye Blue Huyo mke wa mtu ni mtu yupi huyo? Mahimbo au nani mwengine? maana Dr. sio mume wa Josephine, hakuna ndoa yoyote pale
 
Hii ni maigizo tu!
Kwanza tangu awali Slaa alikiri kuwa nyumba anayoishi alinunua kwa michango ikiwemo ya Mbowe!

Leo Gwajima anasema kuwa mke ndiye mwenye nyumba na alimfungia virago vyake!
How comes????

Slaa alikataa hajawahi kubadili mawasiliano yake
Je Gwajima kwanini sasa atoe SMS ya namba nyingine?

Hivi si huyu Gwajima aliyemnyang'anya Mbasha mke?
 
Na baadae tutawaletea habari zaidi kwanini ITV, AZAM TV wamegoma kuonyesha Press hii.
 
Back
Top Bottom