LOGARITHM
JF-Expert Member
- May 5, 2010
- 974
- 476
hivi Gwajima ni nani wa kuzungumza nawananchi wakamsikiliza....!!
Ni msajiri wa kashfa zote za ccm. Ndio maana anasikilizwa sana.
hivi Gwajima ni nani wa kuzungumza nawananchi wakamsikiliza....!!
Twende kazi mkuu tunataka amvue nguo mla mihogooooo
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.
Sihasa ni kazi ngumu. Rosti Tamu alibwaga manyanga na sasa anaendesha mambo kwa remote control... Ni shiiiiidah!Ha ha siasa..na sihasa..
Mchezo ulio mzingua Rostam

Anayo fanya Gwajima siyo yakushabikia hata kidogo kwa mustakabali wa taifa letu. Yeye achunge kondoo wa bwana siasa awaachie wenyewe.
Disgraced bishop nicknamed mshenga1
Ila la maaskofu kuhongwa lilikua necessary information ?? Mwaka huu tutaheshimiana tu