Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

fake pastor, simwamini gwajima hata kidogo, toka amtukane Pengo nikaona askofu wa uongo, dini na siasa havichanganyikani. Mathayo 24:11/matthee 24:11
 
Mi nasubiri Slaa ajibu halafu Gwajima atoboe swala la vijana 4 na mzigo from South Africa kwenye private jet.
Mpaka October 25 ifike tutasikia na kuona mengi. Duniani ukitaka kuvuliwa nguo mchana basi ingia kwenye siasa.
Unajua kisa cha Slaa kwenda Marekani? Amekimbia aibu
 
Tatizo ni JK. Alipaswa kuwa mkali kidogo. Ameshusha hadhi ya urais na mamlaka zote za serikali. Yaani yeye kila kitu ni kucheka tu na kugawa vyeo kwa marafiki zake. Matokeo yake ndo haya sasa. Huwezi kujua yupi ni yupi na nchi inakwenda tu kama boya. Rais ajaye atakuwa na kazi kubwa kurudisha hadhi ya taasisi ya urais na taasisi nyinginezo za nchi. Hovyo kabisa!

Tafadhali usimshushie hadhi Rais wala kumwingiza katika hili. Lete hoja zenye hadhi ya kujibu hoja iliyopo mezani.
 
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.
 
Hahah Mkuu edit hii habari afu urudi tena pengine una mawazo mazuri tu, hahah
 
Kwa kuwa mchungaji haathiriwi na siasa za nchi yake au?

Mbona viongozi wenzie wa dini wametulia kwani wao hawaathiriwi na siasa. Tatizo mshenga anapiga hela kwa mzee mamvi then bado anajifanya mtakatifu.huu ni unafiki wa hali ya juu Sana.
 
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.
Vyombo vya usalama vya ccm? Wewe ni nani kwanza unajisifia kama mke wa slaa?

Swissme
 
Sasa Chadema wanaumbuana mbele ya jamii, huu umbea sasa ndo habar ya mjini kupitia kwenye siasa..aibu...
 
Ndio waliomtuma Dr. Slaa aropoke. Ushahidi ni kada wa CCM Mwakyembe aliekuwepo na Dr. Slaa hotelini chumbani muda mchache kabla ya slaa kuanza kutema pumba!!

SHARK, Pokea likes zangu kibao. Umemjibu huyo jamaa ipasavyo. Kama ni mtu wa kupona amepona tayari.
 
Ndugu Gwajima tunajua wazi kabisa unatumia nguvu za giza ktk kanisa lako,tunajua pia wewe ndie uliyemdanganya lowasa eti umemsafishia nyota yake ili watanzania wamkubali{unakumbuka mlichokifanya nigeria mwishoni mwa mwaka jana?},anway hayo ni mambo yenu binafsi na lowasa lakini kitendo cha wewe kuwatisha wana usalama wetu leo kuwa eti utawapiga upofu na kamwe wasiweze kuona tena, umechemka ndugu,serikali haiogopi uchawi,majini au nguvu zozote za giza,c unakumbuka kipindi kile askari wanakuja kukukamata ulitaka kufanya nini na unakumbuka nini kilitokea pale ndani?
Sasa nikwambie tu,wewe ni mtoto mdogo sana katka nchi hii ndugu Gwajima,fanya yako na kama kuna kiongozi wa siasa unamsupport fanya hivyo pasipokukwaruzana na vyombo vyetu vya usalama vinginevyo utajuta ndugu.

hajawatishia,ila amewaeleza ukweli kwamba wao wanatakiwa kuwa neutral na sio kuegemea upande wowote,
lakini kingine amewatishia kama kiongozi wao wa kiroho,
kama unalaziada uliza tutakujibu
 
Kuna watu mijinga humu,mtu katukanwa kaitwa Mshenga halafu mnataka atulie tu,Slaa alitakiwa amchafue Lowasa tu wengine achune,sasa haya kajitakia.
 
Tukemee Siasa kwenye Nyumba za Ibada pamoja na kushirikisha Viongozi wa Dini kwenye Kampeni. Mataifa yaliyosambaratika yalianza taratibu kupuuza misingi ya namna hii matokeo yake mataifa yakaingia kwenye Vurugu na kusambaratika mpaka leo. Iwe Lowassa au Magufuli au Mgombea yeyote tusishabikie Sumu tusiyoijua madhara yake.
 
watanzania ndoa ya dr slaa sie haituhusu, hayo ni mambo binafsi na kujadili mambo binafisi ya mtu kwenye social media ni upumbavu uliokithiri kila mtu anamapungufu yake kwenye ndoa yake. HAPA KAZI TU.

Hujaelewa ww gwajima anajib shutuma za ushenga,na dr mihogo alitudanganya kwamba ameamua kuondka cdm kisa ufisad, kmbe behind the screen n kulinda mahusiano yake,ilipaswa dk mihogo aseme ukwel kwanza ayo yasingemkta
 
Mi nasubiri Slaa ajibu halafu Gwajima atoboe swala la vijana 4 na mzigo from South Africa kwenye private jet.
Mpaka October 25 ifike tutasikia na kuona mengi. Duniani ukitaka kuvuliwa nguo mchana basi ingia kwenye siasa.

Ha ha siasa..na sihasa..
Mchezo ulio mzingua Rostam
 
Na wew ninani? mipovu kibao but pointless.Et nguvu za giza how do you know about it?? wew ni mshirikina mkubwa.
 
Shule bado zimefungwa? Yaan kati ya watu ambao wana uwezo mdogo wa kufikiri wewe ni mmoja wao.....
 
Back
Top Bottom