Fisadidagaa
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 962
- 235
Gwajima anavyofanya siyo vizuri dash!?Anamvua nguo Dr mihogo kabisaa.
Press Conference ya Askofu Josephat Gwajima itarushwa online live kupitia Ustream kuanzia saa saba kamili Mchana. Bonyeza link hii:
http://www.ustream.tv/channel/18929505
Kuripoti nayo ni kazi. Wewe unafanya nini hapa? Ndo nyie mnepewaga ujauzito bila kujijua sababu ya kujishaua.
Namsikiliza huyu anayeitwa mlinzi nabaki kushangaa bosi wake ananyanyasika kwa kusukumwa na kutupiwa virago halafu yeye anashindwa kumtetea!!!!!! Kweli ni msukule
Mke wa Boss ana nguvu kuliko Boss... Ungekuwa bodyguard ungenielewa ..
Hiyo link hakuna kitu Mkuu