Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

gwajima na wachungaji wake hawajajibu hoja za dr slaa zaidi ya kueleza matatizo ya kifamilia yeye ni mshenga tu gwajima.
ni kosa kabisa kiongozi wa dini kutangaza mambo haya ya kifamilia ndio dini za kisasa hizo

Hoja gani ajibu? Ni zile za kifisadi?
Ufisadi unahukumiwa na MAHAKAMA na sio hoja.

Ni sawa kabisa ali hokisema mzee. Watu tunataka kujua ule mzuka wa kuongea kashfa kiasi kike aliupata wapi..

Safisana Gwajima.

Mbowe naye amesema ataita Press Conference mnamo tar 24.oktoba...!
 
ni kweli mchungaji gwajima anaongea kwa sasa jamani anasema kweli amefunguka
 
Habari ya Uongo wa watu kuletwa na malori bila kusahau habari ya mapadri wa RC
 
Mhh siasa mie basi tena.

Komaa, usikate tamaa hili saga dr mihogo ndio alilianzisha, acha alinywe.

Yeye kama alitaka kuacha siasa angeacha kimia kimia au asingetaja watu angetaja sababu zake yeye kujitoa sio kuhusisha watu wengine, kama aliwahusisha lazima na wao wajitetee au waseme upande wao ilikuaje ili wasichukuliwe vinaya na jamii hasa ile ambayo haikuwaelewa, kuweka rekodi sawa lazima wajitetee, hapo mihogo hatoki.
 
Hivi kuna mtu anaweza kufanya kitu kama hichi?
Wakati mwingine jamani tuone aibu
Si hawa ndiyo waliosema kuwa ni CCM ndiyo waliompeleka Slaa pale Serena?

Leo inakuja kuwa ni Josephine!
Hahahaha!

Ha ha ha.
Ukisema uongo uwe na kumbukumbu.
Hata Mbatia wakati anamjibu Silaa aliikana press conference yake ya Colloseum
 
gwajima na wachungaji wake hawajajibu hoja za dr slaa zaidi ya kueleza matatizo ya kifamilia yeye ni mshenga tu gwajima.
ni kosa kabisa kiongozi wa dini kutangaza mambo haya ya kifamilia ndio dini za kisasa hizo

hoja zipi...za richmond? wao wameeleza yaliyotokea maana Slaa alimtaja gwajima kuwa mshenga, hivyo ana wajibu wa kusema hayo aliyosema. Hoja nyingine za slaa ni masuala ya ufisadi wa richmond ambao wanaopaswa kueleza si gwajima.
 
Kwa wale ambao bado hawajaanza kusikiliza au kufuatilia unaweza kufuatilia hapa!

Press Conference ya Askofu Josephat Gwajima itarushwa online live kupitia Ustream kuanzia saa saba kamili Mchana. Bonyeza link hii:

http://www.ustream.tv/channel/18929505
 
Hivi kuna mtu anaweza kufanya kitu kama hichi?
Wakati mwingine jamani tuone aibu
Si hawa ndiyo waliosema kuwa ni CCM ndiyo waliompeleka Slaa pale Serena?

Leo inakuja kuwa ni Josephine!
Hahahaha!

Kama ninakumbukumbu vizuri wanasema alienda Slaa, Mkewe na Mabinti wawili....

Hivyo hili linawezekana maana walipelekwa akiwapo na mkewe...

Kama hangekuwa ameenda na mkewe then tungejiuliza maswali haya
 
Back
Top Bottom