Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

Ahache unafiki wake, uyu nguruwe pori kaahidi kuigeuza misikiti yetu mitukufu kuwa sunday school.
Kwa wakristo wanaopenda amani kwa vyovyote wamechukizwa na mpango wake huo na watamnyima kura ila kwa mwislam atakayempigia kura Naamini Laaaana ya Allah lazima imfike yeye na uzao wake inshallah.
Na wote tuseme Amen.
 
Watanzania gani hao walioamua? Mbona mimi ni mtanzania na silitaki hilo lichama lako wala mgombea wako na cha ajabu zaidi we share the same tribe na mgombea wenu.

Watanzania wameshaamua. Tukutane tarehe 28,29 na 30 hapahapa kupeana pongezi na pole
 
Mgombea Ubunge Jimb la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima

Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali

Kutokana na suala hilo Gwajima amesema alipata sababu ya kuusaidia uislamu hata alipokwenda Dar aliwasaidia kujenga visima vya maji

Gwajima aliyasema hayo alipokuwa kwenye Mahafali ya darasa la saba ya shule ya Al Irshaad

View attachment 1605612
Duhhhhhh

Cheo na Madaraka ni vibaya sana
 
Tangu lini huyu jamaa akasema ukweli? Huyu si ndiye aliyesema atabadirisha madrasa zote kuwa Sunday skuli? Leo tena kawa Rashidi na kipenzi chao. Ama kweli hadi siku ya siku tutasikia mengi yaliyomo na yasiyokuwemo.
 
Ninapomsikiliza huyu jamaa najiuliza maswali mengi Sana aliwezaje kuteka akili za waumini wake na wakamuamini. Kwa akili ndogo tu unagundua huyu jamaa kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi muamini.Nimshauri tu aache kasumba majina ni utamaduni Sio dini.
Nawasilisha.
Kweli kabisa mkuu me mwenyewe nime jiuliza sana watu wanawezaje kumsikiliza
Huyu mtu anaonekana kichaa kabisa kabisa akili 0
 
Jasiri haachi asili, alimwita mwenzie bashite sasa hivi anajipendekeza na kujiita Rashidi... Atukome Waislaam hatushobokei upuuzi
 
Huyu jamaa waje wafanye mdahalo wa Kiingereza na Mdee tuone nani mkali
English yake yakuungaunga tuu ...nashangaa eti naye ni Phd holder elimu ya TZ kuna loss kubwa kuliko na loss ya uchumi nchini....
mifano Prof Lipumba,Prof Kabudi,Dr Harrison,Prof Tibajuka,Dr Magu..niwasa wakina prof Majimarefu
 
Back
Top Bottom