Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

dmatemu

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
894
500
Hoja hapa chanjo inazuia nisipate korona? Jibu ni HAPANA unapata! Je chanjo hii inazuia nikiwa na korona nisimuambukize mwingine? Jibu ni HAPANA unawezakumwambukiza! Je nikichanjwa nikapata korona siwezi kufa! Jibu ni HAPANA unawezakufa! Je hayo MACHANJO ni ya nn? JIBU yanazuia maambukizi ya KORONA. Mbona waliochanjwa Ulaya wanazidi kupukutika kwa kasi? Tuwe na ngozi nyeusi na AKILI iwe nyeusi huo ni upimbi.
We mdau kunywa pepsi baridi nakuja kulipa. Yaani mtazamo wako ndio wangu mule mule..

Chanjo inazuia maambukizi, lakini ukichanjwa unaweza kuambikiza na kuambukizwa. Hili ni fumbo, mjinga hawezi elewa, ila mwerevu huling'amua.
 
Allency

JF-Expert Member
Jan 27, 2011
8,029
2,000
Lakini kaka Mshana Jr hebu tuache kumdiscuss mtu, tuzijadili hoja alizozitoa zina ukweli kiasi gani na uongo kiasi gani!? Mamlaka aliyoitaka itoe ufafanuzi wa alichokitaka imefanya hivyo!?

Na mimi nauliza tena, huyu mama si alikuwa Makamu kipindi cha Mwendazake!? Na alikubaliana na alichokuwa akikifanya mzee Joni!? Iweje leo akengeuke!? Ndio kuifungua Tanzania huku anakotuhubiriakila mara!?
Umeambiwa ukitaka kuchanja kachanje, hutaki basi, bado wawashwa wapi?
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
687
1,000
"Sitaruhusu watu wangu wachanjwe "Hili linazua maswali mengi. Hao watu ni kinanani? Waumini wake au Watanzania.
Mkuu inawezekana kweli sisi ni watu wake,,
za ndani ndani zinasema huko teeth kuna vyeo vya ajabu ajabu sana..
Unakutana na director wa afya za watanzania..
Director wa usalama wa watanzania..
Hatari sana..
Huyu mtu anavyojiamini sku zote sio bure
 
Jackson Turary

Senior Member
Jan 1, 2014
123
250
Akijulikana kama askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ambaye kwasasa ndio Mbunge wa Kawe si mara ya kwanza kuingia kwenye mitifuano na serikali.

Ana kesi nyingi pia ambazo mwisho wake una utata

Ana kashfa nyingi pia

Ni aina ya mtu ambaye sidhani kama ana mshipa wa soni. Ni kinyonga na hachelei kugeuza maneno

Ni kwanini baada ya yote hayo anapeta tu?

Jibu ni moja tu. Walimuamini wakamtumia katika shida zao mbalimbali za kijamii, mahusiano, siasa, kiroho na hata kifedha..anawajua nje ndani.

Amebeba siri zao nyingi sana, anawajua na kuwafahamu kwa mengi mema na mabaya. Kamwe hawawezi kumgusa.

Atafanya atakavyo, atasema atakavyo lakini watafunika kombe tu mwanaharamu apite. Amewafanya kama mateka wake. Anawatumia atakavyo, Dr. Slaa anamjua vema huyu.

Kama ukweli ni tofauti na huu. Basi naamini atachukuliwa hatua walau za kupewa karipio la wazi. Hebu msikize hapo

View attachment 1872360

Kuna mtu mmoja tu ndio alikuwa na uthubutu wa kumsema waziwazi. Naye si mwingine bali ni Mzee Makamba
Huyu bwana nampenda sababu hanaga mambo ya kujipendkeza sana anasimamia akiaminicho japo ndani ya mambo yake kuna particles za usanii anaweza kujitetea na kujenga hoja na ukamwamini kabisa!! Hii inatona na uwezo wake was kutafiti mambo kwa ku-Google
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,790
2,000
IMG-20210801-WA0103.jpg
 
Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,431
2,000
Mshana jr yuko sahihi. We humjui Gwajiboy.
Mi namjua wakati anaanza tu mambo ya kanisa, alikuwa anakuja kutumia internet kwenye cafe yetu mara kwa mara pale ubungo juu pale ukianza kupanda kilima yeye alikuwa na kanisa dogo tu pale ilipokuwa hunters club/ bar pale ubungo alikuwa hajaanza kabisa mambo ya kufufua watu.

Aliwai kuwa na kesi kubwa iliyomsumbua sana ya kuuza magari kwa kutumia kipengere cha kufutiwa kodi taasisi za kanisa. Aliifuta ki aina.

Wakati anafufua watu yuko maarufu sana alifanya kitu cha kushangaza kilichosababisha rafiki yangu ahame kanisa lake.
Kuna jamaa alikuwa anataka kuoa , yeye akamweka sawa yule jamaa asioe mchumba wake, badala yake Gwajiboy akamuunganisha na dada yake yeye Gwajiboy.

Ana vijimambo vingi ambavyo havitoki nje.
Sasa nyie mnamwita mtumishi wa Mungu.

Ni mtu pumbafu sana kwa ujumla. Hana cha TISS wala nini, anajua kuna watu wanamsikiliza.
Yawezekana uko sahihi. Sasa jibuni hoja zake katika hili:-

1). Ukichanjwa huambukizwi? Unaambukizwa.
2). Ukichanjwa huambukizi? Unaambukiza.
3).Ukichanjwa huvai barakoa wala ku maintain social distancing? Lazima uzingatie.
4). Ukichanjwa, hufi kwa Corona? Unakufa kwa corona.
5). Maana ya hii chanjo ni nini? (mpumbavu n.k)/
6). Nani anayethibitisha usalama wa hii chanjo? Hakuna, ila ni kwa sababu wazungu wanachanjwa.
7). Nani amethibitisha kwamba viini vya kwenye chanjo zinazotolewa kwa hao wazungu, ndivyo viini vya kwenye ile inaleltwa huku? - Hakuna.
8). Chanjo hii imeonyesha madhara gani ya muda mfupi kwa waliozitumia? - Kimya.
9. Mnapowalazimisha watu kwenda kuchnjwa, mnasimamiaje madhara yanayoweza kujitokeza kama kule ambako yamejitokeza mfn. Vifa, mimba kuharibika, damu kuganda, kupooza nyuso kwenda upande, ulemavu n,k? - Kuna form wanajaza kila mtu abebe mzigo wake.

Hii siyo issue ya Gwajima, ni issue ya dunia nzima kwa wenye akili.

Kinga inaua watu kuliko hata corona yenyewe:-

10. Chanjo hii imejaribiwa wapi ikaonekana iko salama leo na hata miaka kumi ijayo? Hakuna ndipo inafanyiwa majaribio.
11) Ni sahii kufawanyia majaribio ya kitu kianchokwenda hadi kwenye dna na rna ya binadamu, badala ya wanyama kama ilivyo taratibu?
- Kimya, ila fedha za misaada kwa wanaokubali kuwatoa kafara watu wao wanatoa nyingi na tuhazihtaji.
12) Mnasema vipaumbele kwa wanajeshi, wauguzi na drs, polisi, uhamiaji na tour guiders. Kama hii chanjo ina madhara, mkawafanyia majaribio watu wa idara hizo nyeti, wakadhurika:-
a) Nchi italindwa na nani? Maana yake wanajeshi wote wakuwa wamedhurika kwa hiyo nchi haina jeshi.
b). Nani atatibu wangonjwa wa magonjwa mengine : Maana madaktari wote na wauguzi watakuwa wamedhurika. Hapa si mauti ya taifa?
c). Mipakani mwote walinzi na wafanyakazi wa uhamiaji wameuguaau wameathirika, kwa hiyo watu wapite na kila wanachokitaka bila mtu wa kulinda wala kuhoji.
d). Waendesha utallii wote waathirike ili kila mtu aingie na kubeba anachokiona bila kuhojiwa na mtu?
Hakuna majibu.

13. Dawa tulizotumia siku zote na zinapony ahadi hii delta, kwa nini hazisambazwi na kuzalishwa kwa wingi ili watu wanywe na wajikinge nazo wakati tunasubiri maendeleo ya hizo chanjo ambazo tayari uiengereza wamesitisha? - Majibu yake ni kwamba vyombo vyote vya amawasiliano wafungieni wote wanaotoa michango ya matumizi ya hizi dawa na kinga za hapa bongo. Ni kwa sababu hazina commisions za mabilioni?

Namba ya simu:
+255766271643 na +255626 407818

Hapa nani mzalendo ama kwenye akili nzuri kati ya muhojaji na wanaoshindwa kujibu badala yake wanatumia nguvu na vitisho?
TATIZO LA CORONA HALIWEZI KUONDOLEWA KWA KUWAPA WATU WAZIMA SUMU, WAKATI DAWA KWA WAGONJWA IPO. HII NI BIASHARA.
 
wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,484
2,000
Hizi hoja zako ulizotoa hapa zinawiana vipi na hoja za gwajima, kwamba alichokisema Ni cha kipumbavu? Nonsense
Hivi Gwajima ameshawai kusema chanzo cha taarifa zake
Maana 5G pia katoa elimu na COVID n.k

Kabla ya kujibu chanzo cha taarifa za Gwajima weka hapa
Yeye sio mtalaam wa tiba,kwanini anatoa elimu ambayo kil mtu anajua hajaomea mambo hayo.
 
Halafu swali lako namba (7) ungelifuta sidhani kama Bishop aka Gwajiboy aka GwajiPornStar kauliza au ndio
Unamsaidia.

Haiwezekani chanjo kibao toka nchi hii ipate uhuru pamoja na matusi na majina kibao tunawatukana e.g beberu,kabaila kupe, wanyonyaji, bepari, n
K bado wanatupa misaada ya hela na dawa na chanjo zao ambazo wamegundua wenyewe tumekuwa tukitumia miaka mpaka 50+ ya uhuru halafu unauliza swali kama hilo.
Acha kujitoa ufahamu.
Nakukumbusha tu chanjo lukuku tunatumia za kwao na magonjwa mengine kwao hamna au yamepungia sana wanatutengenezea waafrika.

Hata ebola wamehangaika sana kuwatibu wacongo wao hawana ebola kule.

Kwa nini tumwamini na tumsikilize Gwajiboy. Yeye sio mtalaam wa Tiba. Kama hataki chanjo akae pembeni
Sio kuwaita viongozi na wanaochanja wajinga. Huko sio kutoa maoni kuwaita wenzio wajinga.
Tunamjua Gwajiboy toka anaanzisha kanisa dogo tu pale Hunters hamna kitu pale ni macho ku mchuuzi kama wengine.

Yuko nabii mmoja vile vile kimbunga kilikuwa kinakuja Dar baadae kikageuza njia kwenda mozambique akasema ameomba amekemea hakiwezi kuja na kikija kimbunga anaacha kuhubiri anaanza kunywa pombe.
Kumbe kuna mfuasi anasali kwake alimtonya.

Gwajiboy ni mtalaam wa vyote
5g Covid mara ubunge cheo kidogo yeye ana mtumikia Mungu mara pap Mbunge kasahau jana alisema nini.
Bado tunakumbuka pia amri ya 6 inampa shida
Labda azungumzie amri ya 6 sio Covid 19.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,790
2,000
Hivi Gwajima ameshawai kusema chanzo cha taarifa zake
Maana 5G pia katoa elimu na COVID n.k

Kabla ya kujibu chanzo cha taarifa za Gwajima weka hapa
Yeye sio mtalaam wa tiba,kwanini anatoa elimu ambayo kil mtu anajua hajaomea mambo hayo.
Sidhani kama wataweza kukujibu..
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,790
2,000
Halafu swali lako namba (7) ungelifuta sidhani kama Bishop aka Gwajiboy aka GwajiPornStar kauliza au ndio
Unamsaidia.

Haiwezekani chanjo kibao toka nchi hii ipate uhuru pamoja na matusi na majina kibao tunawatukana e.g beberu,kabaila kupe, wanyonyaji, bepari, n
K bado wanatupa misaada ya hela na dawa na chanjo zao ambazo wamegundua wenyewe tumekuwa tukitumia miaka mpaka 50+ ya uhuru halafu unauliza swali kama hilo.
Acha kujitoa ufahamu.
Nakukumbusha tu chanjo lukuku tunatumia za kwao na magonjwa mengine kwao hamna au yamepungia sana wanatutengenezea waafrika.

Hata ebola wamehangaika sana kuwatibu wacongo wao hawana ebola kule.

Kwa nini tumwamini na tumsikilize Gwajiboy. Yeye sio mtalaam wa Tiba. Kama hataki chanjo akae pembeni
Sio kuwaita viongozi na wanaochanja wajinga. Huko sio kutoa maoni kuwaita wenzio wajinga.
Tunamjua Gwajiboy toka anaanzisha kanisa dogo tu pale Hunters hamna kitu pale ni macho ku mchuuzi kama wengine.

Yuko nabii mmoja vile vile kimbunga kilikuwa kinakuja Dar baadae kikageuza njia kwenda mozambique akasema ameomba amekemea hakiwezi kuja na kikija kimbunga anaacha kuhubiri anaanza kunyea pombe.
Kumbe kuna mfuasi anadali kwake alimtonya.

Gwajiboy ni mtalaam wa vyote
5g Covid mara ubunge cheo kidogo yeye ana mtumikia Mungu mara pap Mbunge kasahau jana alisema nini.
Bado tunakumbuka pia amri ya 6 inampa shida
Labda azungumzie amri ya 6 sio Covid 19.
Hii product nyingine ya jonimtoto jonimtoto haijawahi kupigiwa kelele hata na mbuzi mee?
JamiiForums1004119873.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom