Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
4,027
2,000
Huyu kwa jina la kuzaliwa alituambia mwenyewe kwamba anaitwa bwana Rashidi. Anafahamika kwa ubwatukaji usio na soni pamoja na uzinzi uliopitiliza bingwa wa kula kondoo wa bwana.

Hajawahi kuwa mwana CCM Ila aliteuliwa by default tu na ukanda pamoja na kutupa karata wakati ambapo Jimbo kulikuwa linatekwa kwa nguvu yoyote na hapakuwa na mtu sahihi kwa wakati huo.

Ni chizi anayesema anaweza kufufua wafu Ila alikuwa kimya pale Mwendazake alipotutoka ambaye ndio alimpa huo ulaji na ndio ilikuwa wakati sahihi kwake kuudhihirishia umma kwamba ana hizo power.
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,414
2,000
Hivi Gwajima ameshawai kusema chanzo cha taarifa zake
Maana 5G pia katoa elimu na COVID n.k

Kabla ya kujibu chanzo cha taarifa za Gwajima weka hapa
Yeye sio mtalaam wa tiba,kwanini anatoa elimu ambayo kil mtu anajua hajaomea mambo hayo.
Ni mpumbavu pekee ambaye hawezi kujiuliza maswali hayo. Inaonyeshsa hata darasa la saba hukukkmaliza wewe.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,195
2,000
Kama mnadhani Gwajima ana nguvu ya kuzuia hii kitu basi jifikirieni tena na tena
IMG-20210804-WA0056.jpg
 

mbalizi1

JF-Expert Member
Dec 16, 2015
16,025
2,000
Dah...anamuamsha nani? Hana uwezo huo na hatakuja kuwa nao... His powers are too feeble n limited... Haya ni maono ya mbali sana sio kama yale ya kufufua wafu feki
Brother unampigia mbuzi gitaa, Kuna watu ni akili zao ni ngumu kuelewa kiasi kisichoelezeka. Ni kama kifuu cha nazi hata ukichemshe vipi hakitikaa kilainike
 

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
4,115
2,000
Jibu ni moja tu. Walimuamini wakamtumia katika shida zao mbalimbali za kijamii, mahusiano, siasa, kiroho na hata kifedha..anawajua nje ndani.
Ina maana Gwajima alikuwa akizifahamu siri za ndani za bwana màgufool na vipi kuhusu huyu mama yetu mvaa ushungi
 

Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,556
2,000
Mkuu elewa kuwa zana ya kumalizwa Haufi leoleo ... Ila kuna vitu MUHIMU vya utu wako vinaondoka taratibu MIAKA Hadi MIAKA. . na vizazi vyote vinavyofuata vitakuwa vinapata CHANJO hii kama ilivyo Ndui na nyinginezo ambayo hupigwa mtoto mara anapozaliwa
Tukiwa wadogo tilichanjwa chanjo kibao mbona tupo hadi leo? Why kill us now?
 

Platnam

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
535
1,000
Sasa huko America Sasa hivi Biden kasema Mtu akichanjwa Chanjo apewe dollar 100 ni 100x2399= 239,900
Kwa hii kauli ya Biden unavyoiona wewe ni MAARIFA

GWAJIMA Anaposema kuna watu wamepewa Ela nimeanza kuamini laki 239,00*10,000(watu)=239,000,000.
Je watu million 1
Huu ndio ujinga ninaosema umejaa Tanzania. Hivi unajua madhara ya ki uchumi yanayosababishwa na Covid19?
Hicho kiasi cha fedha kinachotolewa hakiwezi lingana na adhari zinazoendelea kiuchumi na kijamii kama watu wasipopata chanjo.

Ni ujinga wa kiwango cha juu sana kuamini wanaokupa chanjo wana lengo baya na wewe wakati almost kila kitu unatoa kwako.. Wasingesubiri Covid19, wangekupiga hata kwenye dawa za Malaria.

Anyway, hakuna haja ya ku argue na watu mnaoamini Ngwajima anafufua wafu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom