Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Ni ujinga wa kiwango cha juu sana kuamini wanaokupa chanjo wana lengo baya na wewe wakati almost kila kitu unatoa 'kwao'..Wasingesubiri Covid19, wangekupiga hata kwenye dawa za Malaria.
Watu mnaopenda kutumia kauli kama hii huwa nashindwa kuelewa mnatumia namna gani kupambanua mambo.
Yaani mna generalize mambo kirahisi sana..

Kila kitu kinakuja na agenda yake... leo utaletewa dawa ya kifua iliyo salama kesho ukaletewa tiba ya malaria isiyo salama, hatakama zote zitapitia FDA au CDC.

Kwa kifupi ni kwamba dawa/chanjo/bidhaa yoyote ikitoka kwenye hizo nchi kuja kwetu haimaanishi kuwa imekubalika na watu wote kwenye hizo nchi..Na ndio maana hata huko 'kwao' kuna watu wanazipinga hizo chanjo.

Mkija kushtuka kuwa mligeuzwa lab rats ndio akili itawakaaa sawa!
 
Note:
Sipo kwa ajili ya kubadili msimamo wa mtu yoyote!
Kila mtu aendelee kuamini na kufanya kile kinacho mfaa.
 
Note:
Sipo kwa ajili ya kubadili msimamo wa mtu yoyote!
Kila mtu aendelee kuamini na kufanya kile kinacho mfaa.
“It is better to be roughly right in due time, bearing in mind the consequences of being very wrong, than to be precisely right too late”
 
Akijulikana kama askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ambaye kwasasa ndio Mbunge wa Kawe si mara ya kwanza kuingia kwenye mitifuano na serikali.

Ana kesi nyingi pia ambazo mwisho wake una utata

Ana kashfa nyingi pia

Ni aina ya mtu ambaye sidhani kama ana mshipa wa soni. Ni kinyonga na hachelei kugeuza maneno

Ni kwanini baada ya yote hayo anapeta tu?

Jibu ni moja tu. Walimuamini wakamtumia katika shida zao mbalimbali za kijamii, mahusiano, siasa, kiroho na hata kifedha..anawajua nje ndani.

Amebeba siri zao nyingi sana, anawajua na kuwafahamu kwa mengi mema na mabaya. Kamwe hawawezi kumgusa.

Atafanya atakavyo, atasema atakavyo lakini watafunika kombe tu mwanaharamu apite. Amewafanya kama mateka wake. Anawatumia atakavyo, Dr. Slaa anamjua vema huyu.

Kama ukweli ni tofauti na huu. Basi naamini atachukuliwa hatua walau za kupewa karipio la wazi. Hebu msikize hapo[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

View attachment 1872360

Kuna mtu mmoja tu ndio alikuwa na uthubutu wa kumsema waziwazi. Naye si mwingine bali ni Mzee Makamba[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Jamaa ni zao tu la weaknesses za siasa zetu
 
Ni mpumbavu pekee ambaye hawezi kujiuliza maswali hayo. Inaonyeshsa hata darasa la saba hukukkmaliza wewe.
Gwajiboy Pornstar ndio mtalaam Dr sasa au Mtafiti jana ametoa pumba sana na conspiracy theories zake, naona ana jopo la " watalaam" wa kila fani wanamjaza upepo halafu anaenda live jukwani kichwa kichwa.
" Kama ye mwamba mbona hakumshitaki alieweka picha zake za porn kwenye media".

Anajidai kwamba meseji zake sababu yeye Bishop anapata toka kwa Mungu. Amri ya sita inamshinda.

Mtumishi wa Mungu ambae alitoa data sahihi ni mmoja tu mpaka sasa hapa Tanzania.

Ni yule Mhindi wa Agape.

Sio kwamba yeye ni mtakatifu sana ana makosa yake kibao kama binadamu. Ila hana mambo ya kupigwa picha kama Gwajiboy sijui anavunja amri ya 6 kwa kufurahia.

Nakutuma uka cross check nae au kacheki kuhusu huu ujumbe kwa wanaosali pale, hajazungumzia chochote kuhusu corona au chanjo mpaka sasa.

Inabidi ni muamini sababu mwaka 2015 kabla ya uchaguzi wa kumuingiza JPM madarakani na Lowassa/ UKAWA alionekana wana kila dalili ya kushinda alisimama kanisani na kutoa ujumbe kwamba UKAWA watashindwa na CCM watashinda uchaguzi.

Akaongeza kusema kuwa CCM watashinda lakini huko mbele CCM watajikwaa na litatokea balaa tukio ambalo dunia nzima itashangaa. Hakufafanua tukio gani ila aliasema lazima litatokea.

Hivyo alitabiri tukio hila miaka 6 nyuma. Na CCM walijikwaa kivipi ? mpaka kusababisha kifo cha Bw. Mkubwa jiulize mwenyewe. Kwa kutumia common sense walilojikwaa CCM ndilo linaloleta shida ndio lilosababisha kifo cha JPM.

Sasa na wewe kwa upumbafu au ujinga ingia humo humo. Bora ukae kimya mkataze mkeo na watoto na Baba yako na Mama na ndg zako

Nadhani imekuingia akilini sasa.
JPM kufa imewatia ganzi mpaka leo.

Veronon Fernandes nikimsikia anasema tusichanje basi sitachanja. Najua amesikia sauti toka kwa Mungu.
Mimi sisali kwa huyu Vernon Fernandes wala kanisa lake silijui nasikia liko mwenge.

Kesho kutwa naenda kupata chanjo, halafu niulize maswali yooooote. Hata kama nitapata side effects.
Mtu mwenye picha za video za uzinzi hawezi kuwa msemaji wa mambo ya Mungu hata siku moja.

Naona anafikiri tumesahau kuhusu zile video. Pumbafu sana.
 
Mnacho takiwa kujibu hoja.....
Gwaji Ana hoja na Ata mimi kwa uelewa wangu huu mdogo Naona Ana hoja..

Wanao mpinga mumjibu hoja zake....

Je ni nini kitatokea baada ya miaka kadhaa baada ya chanjo..??

Je ikiwa chanjo nyingi kukamilika kwake Zina chukua Zaid ya miaka 5+ vip hii uwe kwa ufup Sana..

Je kama alie chanja, anaambukiza, anaambukizwa, antakiwa avae barakoa, atakufa, je tofauti yake ni nini na asie chanjwa??
 
Akijulikana kama askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ambaye kwasasa ndio Mbunge wa Kawe si mara ya kwanza kuingia kwenye mitifuano na serikali.

Ana kesi nyingi pia ambazo mwisho wake una utata

Ana kashfa nyingi pia

Ni aina ya mtu ambaye sidhani kama ana mshipa wa soni. Ni kinyonga na hachelei kugeuza maneno

Ni kwanini baada ya yote hayo anapeta tu?

Jibu ni moja tu. Walimuamini wakamtumia katika shida zao mbalimbali za kijamii, mahusiano, siasa, kiroho na hata kifedha..anawajua nje ndani.

Amebeba siri zao nyingi sana, anawajua na kuwafahamu kwa mengi mema na mabaya. Kamwe hawawezi kumgusa.

Atafanya atakavyo, atasema atakavyo lakini watafunika kombe tu mwanaharamu apite. Amewafanya kama mateka wake. Anawatumia atakavyo, Dr. Slaa anamjua vema huyu.

Kama ukweli ni tofauti na huu. Basi naamini atachukuliwa hatua walau za kupewa karipio la wazi. Hebu msikize hapo[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

View attachment 1872360

Kuna mtu mmoja tu ndio alikuwa na uthubutu wa kumsema waziwazi. Naye si mwingine bali ni Mzee Makamba[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Ni mcheza porn mmoja maarufu Tanzania
 
Mi nimepata hiyo chanjo tarehe 12 augg 2021, ni kama sindano ya kawaida tu. Hamna joto au homa au kichwa kuuma. Bado nasikilizia hizo side effects kama zitakuja,Usingizi shwari kabisa. Ila ni kweli ule utaratibu wa form unawezeka kuleta sintofahamu kwa yale maswali na serikali kusema haihusiki n.k

Baada ya kupata chanjo nimewauliza niliokutana nao na kuwajulisha mi nimepata chanjo kwa nini wao hawachanji wengi wamasema mada za Gwajiboy zimewafanya wasite kuchanja.
 
Techonol
Mnacho takiwa kujibu hoja.....
Gwaji Ana hoja na Ata mimi kwa uelewa wangu huu mdogo Naona Ana hoja..

Wanao mpinga mumjibu hoja zake....

Je ni nini kitatokea baada ya miaka kadhaa baada ya chanjo..??

Je ikiwa chanjo nyingi kukamilika kwake Zina chukua Zaid ya miaka 5+ vip hii uwe kwa ufup Sana..

Je kama alie chanja, anaambukiza, anaambukizwa, antakiwa avae barakoa, atakufa, je tofauti yake ni nini na asie chanjwa??

Mnacho takiwa kujibu hoja.....
Gwaji Ana hoja na Ata mimi kwa uelewa wangu huu mdogo Naona Ana hoja..

Wanao mpinga mumjibu hoja zake....

Je ni nini kitatokea baada ya miaka kadhaa baada ya chanjo..??

Je ikiwa chanjo nyingi kukamilika kwake Zina chukua Zaid ya miaka 5+ vip hii uwe kwa ufup Sana..

Je kama alie chanja, anaambukiza, anaambukizwa, antakiwa avae barakoa, atakufa, je tofauti yake ni nini na asie chanjwa??
Mkuu utaalam wa utafiti na technolojia inakwenda kasi sana.

Zamani kuna magonjwa ukipata unachoma sindano kitovuni.
Na malaria vidonge vilikuwa kibao siku hizi kuna vidonge vichache na vingine unameza mara moja tu.

Hivyo nakushaurini panueni wigo wa mawazo tokeni nje ya box.

Watalaam wanapata maarifa mapya kila siku. Kama ilikuwa miaka 10 inapungua sasa kutokana mbinu mpya.

Mbona computer ya zamani 100 mb ilikuwa uvumbuzi mkubwa sana. Msigandishe akili jamani.
 
Kakobe kamjibu Gwajima kwa hekima sana
Mi nimepata hiyo chanjo tarehe 12 augg 2021, ni kama sindano ya kawaida tu. Hamna joto au homa au kichwa kuuma. Bado nasikilizia hizo side effects kama zitakuja,Usingizi shwari kabisa. Ila ni kweli ule utaratibu wa form unawezeka kuleta sintofahamu kwa yale maswali na serikali kusema haihusiki n.k

Baada ya kupata chanjo nimewauliza niliokutana nao na kuwajulisha mi nimepata chanjo kwa nini wao hawachanji wengi wamasema mada za Gwajiboy zimewafanya wasite kuchanja.
Techonol

Mkuu utaalam wa utafiti na technolojia inakwenda kasi sana.

Zamani kuna magonjwa ukipata unachoma sindano kitovuni.
Na malaria vidonge vilikuwa kibao siku hizi kuna vidonge vichache na vingine unameza mara moja tu.

Hivyo nakushaurini panueni wigo wa mawazo tokeni nje ya box.

Watalaam wanapata maarifa mapya kila siku. Kama ilikuwa miaka 10 inapungua sasa kutokana mbinu mpya.

Mbona computer ya zamani 100 mb ilikuwa uvumbuzi mkubwa sana. Msigandishe akili jamani.
 
Who is Gwajima to us? Kwani yeye kuwa ni msemaji wetu watanzania? Is he a scientist? a pharmasist? Ni mtaalam wa nini hasa? Who is he? is he a preacher? He claimed to resurrect, why did he not resurrect our president? Was he there when the vaccine was being manufactured? Huyu ni mjanja fulani tu anayejua kuongea na kupotosha watu!!![emoji736][emoji1545][emoji817]
Nakumbuka kuna ile clip yake aliyosema amenunua treni kwenye mkesha wa mwaka mpya 2018, vipi ile treni imeshaanza kufanya kazi?
 
Na Gwajima akigombea tu Uraisi anapita bila pingamiziView attachment 1873968
Kama taifa hili ni tajiri kodi za miamala zimekuja kufanya nini?
Kwanini tusiutumie utajiri tulionao badala ya kuzidi kuwaminya wananchi wanaotafuta kwa jasho na kipato chenyewe hakionekani?
Kila siku huko maeneo ya vijijini wazee wetu wanapauka rangi ya ngozi kwa kukosa maji na hata mafuta ya kujipaka lakini bado kidogo tunachowatumia ndio hicho hicho kinazidi kubanwa!!
Taifa tajiri!! Hili sio taifa tajiri bali ndani ya taifa kuna watu matajiri!!
 
Gwajima huyu huyu mfufua wafu feki?
Gwajima huyu huyu mtoa misukule feki?
Gwajima huyu huyu mwenye kashfa lukuki za ngono?
Gwajima huyu huyu aliyesema yeye ni mtumishi wa Mungu hawezi kamwe kuwa mbunge na leo ni mbunge kwa kura za wizi?
Huyu ATACHANJWA na kuwaacha kwenye mataa labda kama ishu zake za kusafiri nje ya nchi zimekwisha
Sasa wale wananchi wa Kawe atawapeleka vipi Birmingham endapo hatachanjwa??
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom