Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Askofu Gwajima ni nani Tanzania?

Akijulikana kama askofu wa kanisa la ufufuo na uzima ambaye kwasasa ndio Mbunge wa Kawe si mara ya kwanza kuingia kwenye mitifuano na serikali.

Ana kesi nyingi pia ambazo mwisho wake una utata

Ana kashfa nyingi pia

Ni aina ya mtu ambaye sidhani kama ana mshipa wa soni. Ni kinyonga na hachelei kugeuza maneno

Ni kwanini baada ya yote hayo anapeta tu?

Jibu ni moja tu. Walimuamini wakamtumia katika shida zao mbalimbali za kijamii, mahusiano, siasa, kiroho na hata kifedha..anawajua nje ndani.

Amebeba siri zao nyingi sana, anawajua na kuwafahamu kwa mengi mema na mabaya. Kamwe hawawezi kumgusa.

Atafanya atakavyo, atasema atakavyo lakini watafunika kombe tu mwanaharamu apite. Amewafanya kama mateka wake. Anawatumia atakavyo, Dr. Slaa anamjua vema huyu.

Kama ukweli ni tofauti na huu. Basi naamini atachukuliwa hatua walau za kupewa karipio la wazi. Hebu msikize hapo[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

View attachment 1872360

Kuna mtu mmoja tu ndio alikuwa na uthubutu wa kumsema waziwazi. Naye si mwingine bali ni Mzee Makamba[emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Mzungu namjua hana cha bure😷 (In Gwajima Voice)
 
Ninakukumbuka baada ya ile kesi ya kuwa kwenye orodha ya ng’anda na kuwekwa ndani. Wanakwaya wake walikwenda kuimba nje ya Central Police Station. Mwendazake went mad.
Jibu ni rahisi yeye yawezekana ni kaka wa Dr. Gwajima au shemeji yake. Ukiangalia wanavyoongea na kukazia mambo utadhani mapacha ingawa Dr. anarudi nyuma na mbele. Wakati wa Mwendazake alikuwa anatii amri moja. Chezea m.z. wewee.
 
Kosa lake nini

Si kila siku mnazungumzia demokrasia au uhuru ni kwa upinzani tu
 
Politics is very complex ,,if your careless you may die ..you know why?? Angalia mbowe freman kapewa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi
 
IMG-20210730-WA0164.jpg
 
Walio upande wa Gwajima ni wengi zaidi kuliko ule upande Mwingine.

kama wanafunzi wanakimbia mashuleni ujuwe wamepewa maneno ya hekima na wazazi wao pindi unapoona watu hawa kimbieni shuleni.
Ni kwasababu taifa lina ujinga mwingi kuliko maarifa.
 
Gwajiboy, mtu mwenye ushawishi sana. Kwa Chadema Kabla hajasepa na KWA CCM.

In short ana PHD ya ushawishi na si Zaidi.

Lakini pia Huyu nafikiri ni group letu lileeee la TIES-ES
Hapa umenena.Hawa ndio wenyewe
 
Habari zenyewe wanazoshadadia kwamba hata Ulaya hawaitaki chanjo zinatoka kwenye vimedia uchwara huzikuti CNN, BBC and alike mainstream media.
Ukiona dunia ya leo unacheza ngoma tofauti na US, Ulaya na Israel jitathmini
Huko CNN na BBC si ndiko mabeberu yalipoweka kambi za propaganda??

Huna lolote wewe kibaraka wa machanjo!

Uzuri ni kwamba kwa sasa wananchi wanajitambua. Hamtawalisha matangopori tena kama enzi zile za UKIMWI.
 
Back
Top Bottom