Hoja hapa chanjo inazuia nisipate korona? Jibu ni HAPANA unapata! Je chanjo hii inazuia nikiwa na korona nisimuambukize mwingine? Jibu ni HAPANA unawezakumwambukiza! Je nikichanjwa nikapata korona siwezi kufa! Jibu ni HAPANA unawezakufa! Je hayo MACHANJO ni ya nn? JIBU yanazuia maambukizi ya KORONA. Mbona waliochanjwa Ulaya wanazidi kupukutika kwa kasi?[emoji848] Tuwe na ngozi nyeusi na AKILI iwe nyeusi huo ni upimbi.
CHANJO ZOTE ZINA AJENDA YA SIRI
Kuanzia zile za ....
1.Ndui
2. Pepopunda
3. Surua
4. Homa ya Manjano
5. Polio
6. n.k
Waafrika Tulikuwa tunasifika na mambo mengi ya msingi ambayo wenzetu wazungu hawana kama vile..
1. Umoja na ujamaa
2. Uzalendo wa NCHI zetu
3. Ukakamavu na ujasiri
4. Afya ya Akili
5. n.k
Sasa ni dhahiri kabisa matunda hayo kwa waafrika ni mwiba mchungu kwa wazungu..
Na kwakuwa mzungu tangu mwanzo akili yake ni kumtawala mwafrika, akaona kuna haja ya kubomoa au kudhoofisha misingi hiyo ya waafrika kwa awamu.
Inawezekana NDUI imebeba ajenda ya kuua kabisa Umoja na ujamaa tuliokuwa nao.
Waafrika MAISHA Yetu yalikuwa katika misingi ya umoja na ujamaa. Tulikuwa tunalima shamba la kijiji pamoja na baadae kugawana mavuno.
Mambo ya malezi ya kusema mtoto wa mwenzio ni wa kwako ..ndio yalikuwa mahala pake.
Sasa
CHANJO ya Ndui inawezekana imefuta hayo
PEPOPUNDA imebeba ajenda ya kudhoofisha misingi ya Uzalendo.
Waafrika tumekosa kabisa Uzalendo wa NCHI zetu. Tunashabikia wazungu katika nyanja mbalimbali kama vile ....
1. Michezo
2. Taaluma
3. n.k
Tunashuhudia kabisa viongozi wengi wa Africa wakiumwa wanakimbilia ulaya,,,, maana yake hawana Imani na watalaamu wa NCHI zao.
Tunashabikia timu za ulaya zaidi kuliko timu zetu . Nina UHAKIKA kabisa ikija man city kucheza na mtibwa sugar uwanja wa mkapa ...basi 90% wataishabikia man city na kuuweka Uzalendo pembeni.
Hayo yote yawezekana ni madhara ya CHANJO ya Pepopunda
SURUA inawezekana ilibeba ajenda Afya ya Akili.
Waafrika wamekuwa ni wavivu wa kufikiri, hata soma Yetu imekuwa ni ya kukariri tu..... Lakini hatuwezi kubuni vya kwetu kutokana na elimu tuliyoipata. Hata akitokea mmoja wetu ana ubunifu hatumwamini na hatumuungi mkono.
MASHULENI ni shida tu maana watu wanasomea Mitihani Tu. Vyuo vikuu ni mwendo wa madesa tu. Ndio maana Degree zetu zinashuka thamani katika soko la ajira duniani. Ndio maana pia wengi wanapambana kwenda kusomea degree za ughaibuni.
Yote haya inawezekana tumeathiriwa na CHANJO ya SURUA
CHANJO ya polio inawezekana imebeba ajenda ya Ukakamavu na ujasiri.
Waafrika tumeumbiwa NGUVU za kutosha.
Tulikuwa tunalima kwa jembe la mkono ma ekari. Tulikuwa na ujasiri wa kupambana na magumu yanayokuja mbele Yetu. Lakini sasa vyote hivyo vimepotea.
Niseme tu kila awamu ya CHANJO inayopita ni lazima itakuwa imebeba ajenda ya Siri ya kuua msingi MUHIMU wa mwanadamu hususan mwafrika.
Je hii CHANJO ya Corona imebeba ajenda Gani ya Siri?
1. Watu wawe mashoga na wasagaji??
2. Watu wapate chapa ya mnyama(666) ambayo tafsiri yake ni hutaweza kuuza WALA kununua kama ukiikosa CHANJO hii.
3. Au ni nini?
MUNGU KWETU NDIO KIMBILIO HAKIKA HATATUACHA TUANGAMIE