Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

Askofu Benson Bagonza: Penye jina CHADEMA weka CCM

Mwaka huu unafurahisha sana. Yaani ukweli unasemwa wazi wazi hadi mataga wabatafutana
 
Kabla hujaanza kumjibu Bagonza, kuna madogo madogo yanayofundishwa darasa la kwanza unapaswa kuanza nayo, jambo mojawapo ni kuwa ukiandika jina la mtu unapaswa kuanza na herufi kubwa.
Mzee kakosa pumzi, kuna vitu wanantamani lakini wanaogopa,
Kwa nini asijitoe mhanaga kama Gwajima?
Bagonza anatuaminisha kuwa chadema hawakosei?
Na kama anahisi wanaonewa kwa nini asiwe wazi kama mshauri wao kwenye mambo ya kisheria na awasimamie wasikosee?
Je bagonza anataka kusema endapo mtu atakosea na kwenda kinyume na kanuni za jamii na kanisa pale kwake hawezi kumsimamisha au kumfukuza kwenye kanisa?
Au kumsimamisha kushiriki kitu inaitwa ekaristi takatifu, au Meza ya bwana?
Mwisho nimuombe askofu aachane na vimafumbo vya kwenye kanga au mke mwenza,
Kama anapenda chadema basi ahamie huko ambako ni CHAMA cha maraika.
 
kweli hii ni Phd isiyo na shaka yeyote, na itakuwa imepatikana kwenye moja ya chuo kikuu bora kabisa hapa duniani. ukiwa phd za hapa kwetu itakuwa shida kidogo manake lugha ya kufundishia inasumbua mpaka wakufunzi.
Phd yake ingemsaidia , kama asingekuwa ana amini Bikira maria alipalizwa mwaka 1956. Miaka yote mingine alikuwa wapi?
Aache wanasiasa watifuane kivyao, wote waongo , wakitika kwake waitishe sala ya Toba.
 
Maskofu mjinga sana.unajifanya unajua falsafa kuliko wengine.kama unataka kuwa mwanasiasa si uvue hilo likofia kichwani ukaingie Kwenye siasa.matendo yenu Mabofu ya sili mbona yanajulikana lakini hakuna anayewasema.shame on you
Hoja hujibiwa kwa hoja, matusi peleka kwenye magenge ya kangara.
 
Phd yake ingemsaidia , kama asingekuwa ana amini Bikira maria alipalizwa mwaka 1956. Miaka yote mingine alikuwa wapi?
Aache wanasiasa watifuane kivyao, wote waongo , wakitika kwake waitishe sala ya Toba.
huyu tunaemzungumzia ni wa kkkt, wao hawana mambo ya bikira maria. na kama hujamwelewa pita mbali.
 
Mwambieni bagonza km anadhani anaushawishi achukue fomu ya udiwani tutamgaragaza na majoho yake
Utamgaragaza wewe nani?,amekuambia anataka huo udiwani,mzee anatoa maoni yake ambayo ni ya kweli na yana mashiko,sasa nyie mijusi ya ccm na yule mjusi wenu mkuu hamtaki kuchanwa ukweli.CCM inachukiwa hata na shetani japo nyie ni wafuasi wake bwana shetani
 
Maskofu mjinga sana.unajifanya unajua falsafa kuliko wengine.kama unataka kuwa mwanasiasa si uvue hilo likofia kichwani ukaingie Kwenye siasa.matendo yenu Mabofu ya sili mbona yanajulikana lakini hakuna anayewasema.shame on you
Hakuna shame on you hapo. Alicho andika kipo au hakipo? Kwamba kuna siri za maaskofu sawa. Si mziseme tu. Sisi wanyonge tuna penda haki itendeke. Hao NEC na wanao watuma ujumbe umefika hata kama haki itapatikana baada ya miaka 100.
 
Kichwa chako ndio silaha yako kubwa sana dunia hii.. Ukiwa na kichwa dhaifu, maana yake una silaha dhaifu, vita hutaviweza.. Kwenye SILAHA weka MAENDELEO. 😅
 
Tunaweza kuongea maana ya uzalendo kwa vitendo,Kama Baba Askofu.
 
Chuki yake dhidi ya CCM atasema kuwa kaagizwa na Mungu?

Bagonza ni bozo la kisiasa
 
Bagonza agombee hata udiwani kupitia Chadema aone atakavyogaragazwa
Hiki kimtu kinaudhi, kipo kila mahali. Unalipwa kiasi gani ndugu? Huwezi ishi maisha huru na kuacha kutumika? Kutumia picha ya Nyerere ambaye hakusita kusosoa mahali palipokuwa na uovu ni kumdhalilisha.
 
Naamini huyu Baba ana IQ kubwa sana, anatakiwa awekwe miongoni wa wenye sifa hizo duniani.

Mie siwezi kufikiri kwa namna yake....ila madini nayopata kwake nafurahia uwepo wake duniani.
Wafuasi wa CHADEMA ndilo kundi lenye hasira kali kwa sasa
 
Back
Top Bottom