Sayyid Khalifa
Senior Member
- Jun 8, 2018
- 113
- 217
OK, sikujua kwamba wale ni wanachama wa ACT WAZALENDO. Asante sana kwa taarifa.Wale ni wazalendo
OK, sikujua kwamba wale ni wanachama wa ACT WAZALENDO. Asante sana kwa taarifa.Wale ni wazalendo
Nilijua huwezi kuelewa alichoandika punguani wewe!Bagonza agombee hata udiwani kupitia Chadema aone atakavyogaragazwa
English kama ya Said BagaileHow does this concern us Baba askofu ?
.Bagonza agombee hata udiwani kupitia Chadema aone atakavyogaragazwa
Kwani lazima kila kitu ujibu? Kama hujaelewa kaa kimya kuliko kuonyesha ujinga wako kila wakatiNakuonya acha matusi nitakuchukulia hatua kali
We nenda kasome tena andiko la Askofu pengine unaweza kuambulia chochote na uache kukurupukia kila andikoNakuonya tena
Kennedy,Nilikwenda Ngara Nikaonyeshwa
Ambako Huduma Za Bishop Zinatolewa. Kule Ngara Wapo Hawa Wawili
Bishop Bagonza
Bishop Niwemugizi
Rulenge Ngara Kagera Tanzania
Ila wale wa wachungaji fake wanaoongozwaga na sheikh wa ccm mkoa wa dar wao so siasa au ukimsifia jiwe sio siasa ukimkosoa ndo siasa uvccm wajinga sanaMaskofu mjinga sana.unajifanya unajua falsafa kuliko wengine.kama unataka kuwa mwanasiasa si uvue hilo likofia kichwani ukaingie Kwenye siasa.matendo yenu Mabofu ya sili mbona yanajulikana lakini hakuna anayewasema.shame on you
Hakika huwa kinaudhi sana. Kina tabia ya kimalayamalaya kila uzi kinatoa comment hata kama hakielewiHiki kimtu kinaudhi, kipo kila mahali. Unalipwa kiasi gani ndugu? Huwezi ishi maisha huru na kuacha kutumika? Kutumia picha ya Nyerere ambaye hakusita kusosoa mahali palipokuwa na uovu ni kumdhalilisha.
Wote hawa wawili ni moto wa kuotea mbali.Nilikwenda Ngara Nikaonyeshwa
Ambako Huduma Za Bishop Zinatolewa. Kule Ngara Wapo Hawa Wawili
Bishop Bagonza
Bishop Niwemugizi
Rulenge Ngara Kagera Tanzania
hapo juuMaskofu mjinga sana.unajifanya unajua falsafa kuliko wengine.kama unataka kuwa mwanasiasa si uvue hilo likofia kichwani ukaingie Kwenye siasa.matendo yenu Mabofu ya sili mbona yanajulikana lakini hakuna anayewasema.shame on you
Jiwe ana mke wa pili humu JF Mtatambua tu kwa comment zake kama umemtambua embu mtaje bila hata mficho
Mzee kakosa pumzi, kuna vitu wanantamani lakini wanaogopa,
Kwa nini asijitoe mhanaga kama Gwajima?
Bagonza anatuaminisha kuwa chadema hawakosei?
Na kama anahisi wanaonewa kwa nini asiwe wazi kama mshauri wao kwenye mambo ya kisheria na awasimamie wasikosee?
Je bagonza anataka kusema endapo mtu atakosea na kwenda kinyume na kanuni za jamii na kanisa pale kwake hawezi kumsimamisha au kumfukuza kwenye kanisa?
Au kumsimamisha kushiriki kitu inaitwa ekaristi takatifu, au Meza ya bwana?
Mwisho nimuombe askofu aachane na vimafumbo vya kwenye kanga au mke mwenza,
Kama anapenda chadema basi ahamie huko ambako ni CHAMA cha maraika.
Naam umegundua jambo bila shakahapo juu