denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,487
- 68,281
You must be such a fool.How does this concern us Baba askofu ?

Hana shida na udiwan. Cheo chake alichonacho kinamtosha.Bagonza agombee hata udiwani kupitia Chadema apate majibu
Aache kupoteza muda mtandaoni
Asante baba askofu.Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
_____
1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM.
2. Ukivikosoa vyombo vya dola kwa kuipendelea CHADEMA na kuionea CCM, kisha ukaona CHADEMA ndiyo inayojibu tuhuma hizo, ujue vyombo vya dola vinaagizwa na CHADEMA. Penye jina CHADEMA, waweza kuweka CCM.
3. Ukiona wagombea wengi wa CCM wameenguliwa, wakati wagombea wote wa CHADEMA wameteuliwa, una haki ya kuamini kuwa fomu zote za wagombea wa CHADEMA ZILIJAZWA na Tume ya Uchaguzi (NEC). Penye jina CHADEMA waweza kuweka CCM.
4. Ukiona wagombea wengi wa CHADEMA wamepitishwa bila kupingwa na bado wanaendelea na jitihada za kushawishi wagombea wa CCM wajitoe, huku wakiorodhesha na kununua shahada za kupigia kura, una haki ya kuamini kuwa CHADEMA hawana Imani na sanduku la kura. Penye jina CHADEMA waweza kuweka CCM.
5. CHADEMA wanapenda Sana Amani. CCM wanapenda Sana Haki. Siku CHADEMA wakipenda Haki na CCM wakapenda Amani ndipo tutapata Tume HURU ya Uchaguzi. Penye jina CHADEMA waweza kubadili na kuweka CCM bila kupoteza maana ya fungu hili.!
Hawa ndiyo aina ya viongozi wanao hitajika kutuongoza, siyo wale wanao shinda kwenye korido za ofisi za watawala kutafuta unafuu wa maisha.Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
_____
1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM.
2. Ukivikosoa vyombo vya dola kwa kuipendelea CHADEMA na kuionea CCM, kisha ukaona CHADEMA ndiyo inayojibu tuhuma hizo, ujue vyombo vya dola vinaagizwa na CHADEMA. Penye jina CHADEMA, waweza kuweka CCM.
3. Ukiona wagombea wengi wa CCM wameenguliwa, wakati wagombea wote wa CHADEMA wameteuliwa, una haki ya kuamini kuwa fomu zote za wagombea wa CHADEMA ZILIJAZWA na Tume ya Uchaguzi (NEC). Penye jina CHADEMA waweza kuweka CCM.
4. Ukiona wagombea wengi wa CHADEMA wamepitishwa bila kupingwa na bado wanaendelea na jitihada za kushawishi wagombea wa CCM wajitoe, huku wakiorodhesha na kununua shahada za kupigia kura, una haki ya kuamini kuwa CHADEMA hawana Imani na sanduku la kura. Penye jina CHADEMA waweza kuweka CCM.
5. CHADEMA wanapenda Sana Amani. CCM wanapenda Sana Haki. Siku CHADEMA wakipenda Haki na CCM wakapenda Amani ndipo tutapata Tume HURU ya Uchaguzi. Penye jina CHADEMA waweza kubadili na kuweka CCM bila kupoteza maana ya fungu hili.!
Watauelewa watu wachache wenye baraka za MunguMwenye kuelewa na aelewe.. ujumbe umefika..
Kuna viongozi wa dini zetu bado wanasimamia misingi ya taasisi zao.Naamini huyu Baba ana IQ kubwa sana, anatakiwa awekwe miongoni wa wenye sifa hizo duniani.
Mie siwezi kufikiri kwa namna yake....ila madini nayopata kwake nafurahia uwepo wake duniani.
Siyo wale wa pale mzizima wao kila siku walikuwa wanashinda kwa Bashite[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili kubwa sana Askofu Bagonza!!! Safi sana!!
Bagonza haonagi vyama vingine vya siasa ,ispokua chadomo tu,patheticAmeandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
_____
1. Kama Tume ya Uchaguzi (NEC) ikifanya makosa, ukaikosoa lakini ukanuniwa na CHADEMA, basi una haki ya kuamini kwamba makosa ya NEC yanaagizwa na CHADEMA. Penye neno CHADEMA, waweza kuweka CCM.
2. Ukivikosoa vyombo vya dola kwa kuipendelea CHADEMA na kuionea CCM, kisha ukaona CHADEMA ndiyo inayojibu tuhuma hizo, ujue vyombo vya dola vinaagizwa na CHADEMA. Penye jina CHADEMA, waweza kuweka CCM.
3. Ukiona wagombea wengi wa CCM wameenguliwa, wakati wagombea wote wa CHADEMA wameteuliwa, una haki ya kuamini kuwa fomu zote za wagombea wa CHADEMA ZILIJAZWA na Tume ya Uchaguzi (NEC). Penye jina CHADEMA waweza kuweka CCM.
4. Ukiona wagombea wengi wa CHADEMA wamepitishwa bila kupingwa na bado wanaendelea na jitihada za kushawishi wagombea wa CCM wajitoe, huku wakiorodhesha na kununua shahada za kupigia kura, una haki ya kuamini kuwa CHADEMA hawana Imani na sanduku la kura. Penye jina CHADEMA waweza kuweka CCM.
5. CHADEMA wanapenda Sana Amani. CCM wanapenda Sana Haki. Siku CHADEMA wakipenda Haki na CCM wakapenda Amani ndipo tutapata Tume HURU ya Uchaguzi. Penye jina CHADEMA waweza kubadili na kuweka CCM bila kupoteza maana ya fungu hili.!
Hivyo ni vichwa kweli kweli na jiwe anawaogopa sanaNilikwenda Ngara Nikaonyeshwa
Ambako Huduma Za Bishop Zinatolewa. Kule Ngara Wapo Hawa Wawili
Bishop Bagonza
Bishop Niwemugizi
Rulenge Ngara Kagera Tanzania
AminaJumapili njema Baba Asikofu, usiye na chembe ya unafiki hata kidogo.
UpotoloHow does this concern us Baba askofu ?
Wale sio viongozi wa dini. Ni wahuni tu😂😂Siyo wale wa pale mzizima wao kila siku walikuwa wanashinda kwa Bashite
PhD holder anakimbilia kwa Ambilikile kupiga kikombe loliondo! [emoji23][emoji23][emoji23]kweli hii ni Phd isiyo na shaka yeyote, na itakuwa imepatikana kwenye moja ya chuo kikuu bora kabisa hapa duniani. ukiwa phd za hapa kwetu itakuwa shida kidogo manake lugha ya kufundishia inasumbua mpaka wakufunzi.
Hao ndiyo waliojazana huko kwenye chama chakavuHuwezi kuelewa kwa sababu una IQ below 60
Huu msemo utawaumiza sana lumumbaKwenye chadema waweza weka CCM
Chama chakavu kichaka cha uhalifu wa kila ainaMwambieni agombee hata udiwani tutampiga na majoho yake
AmetishaAsante baba askofu.