Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

Kwani
Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.kwani kuna mtubalimzui

Wewe ni mwendawazimu.

Malaria tunaugua kila siku. Halikadhalika magonjwa mengine yote. Waliopo mahospitalini wote ni wana magonjwa. Je, pale Mungu hayupo?

Mungu yupo mahali pote. Pawe pana Corona, malaria, kifaduro, n.k; Mungu yupo.

Ninyi ndiyo ambao Bwana wetu Yesu Kristo alinena na wanadamu wa kale, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anaweza asizuie mararia kifaduro na vingine visiwepo ila anaweza kuzuia vitu hivyo visikudhuru endapo utamuimna kwa imani thabiti.
Lakini pia Raisi wetu alitupa nguvu ya kujiamini na kuondoa hofu, jambo hili pekee ni ushindi thidi corona.
 
Hekima hana na akil hana...asiongee sana maana ana haribu...hata wew pia akili huna ndomana umejib comment kwa ghadhabu..tuseme wote.mim wew na yeye tupo kwenye kapu moja.yaan wote walopokaj na waandikaj kwa mihemko..wote
Km uliwahi kwenda shule ni moja ya watu waliosomea ujinga.
Unataka watu waongee au wawaze jinsi unataka wewe.Duuuh utapata tabu Sana.
 
Tatizo ni kwamba ukisema ipo ni kosa la jinai! Watu wameacha hata kunawa mikono hii sio nzuri na vilevile kuaibisha watu wanaovaa barakoda ni ujinga😂. Tungeweza kabisa kuruhusu biashara lakini kuwa makini bado. Vilevile serikali iweke order za chanjo tusije kufungiwa kusafiri
Kwani chanjo kuchoma ni lazima?
 
COVID19 ipo inaua chukua tahadhari. Unadhani Pope Francis haombi rozali ili Mungu atuponye? Mbona Waitalia wengi wamekufa na bado wanakufa?
Covid19 haikimbii kirahisi rahisi hivyo chukua hatua muhimu kujilinda Pope Francis’ personal doctor reportedly dies from COVID-19 complications
Uchaguzi ushaisha mnarudia habari za corona,kipindi cha kampeni wote mlikuwa bize na uchaguzi tu mkishindana kujaza watu wenye kampeni hamkuwa mkitoa tahadhari kwa watu wajikinge na corona kwenye hizo kampeni,ila sasa hivi uchaguzi umeisha ndio mnarudi kupiga kelele za corona.
 
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo

Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu

Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Hujamwelewa! Mungu yuko kila mahali pakiwemo na hapa hapa duniani.Sasa kama yuko kila mahali kipi cha ajabu Shetani kuwako mahali Mungu aliko?
 
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo

Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu

Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
KICHWA ngumu wewe au ndo matokeo ya shule za kata, hapo katumia fumbo kufikisha ujumbe, nyie mlisema tanzania mpo na mungu na ndo maana kaanza na tanzania sio makao makuu ya mungu elewa
 
Tatizo Bagonza mpagani hajui hata Mungu anaishi wapo makao makuu ya Mungu yako ndani ya za wamchao anasema niko mlangoni nabisha mtu akinikaribisha nitafanya makao kwake

Mungu wetu anaitwa Emmanuel yaani Mungu pamoja nasi

Kwa alichoandika kakufuru tunamwachia Mungu atajua cha kufanua

Heri angebaki kuongelea siasa lakini huko kwa Mungu aliyetudhindia Corona kachokonoa mzinga wa nyuki na aweza ondoka kwa hiyo Corona anayopenda kuiabudu na kuitumiakumdhalilisha Mungu Mark my words

Kazi aliyofanya Mungu Tanzania kwenye issue ya Corona ni kubwa Mno na haitakiwi kkudhihakiwa atakiona cha mtena joho lake pete na kofia na fimbo yake ya kiaskofu ni takataka tu Mbele za Mungu aliyemdhihaki baada ya kufanya kazi kubwa ya kupigania Tanzania dhidi ya Corona
Why mnatoza laki 231200 kwa kipimo cha corona kinachoexpire baada ya siku 14 Hali hatuna corona.
 
Wakati wa kampeni mlikuwa mnasifia watu kujaa kwenye mikutano ya kampeni na watu hawakuwa wakichukua tahadhari zozote za kujikinga na corona,hatukuwa tukiwasikia kuwatahadharisha hao watu japo wavae barakoa ila sasa mnakuja kusema et matatizo ya kushindwa kupumua yameongezeka,et corona ipo chukua tahadhari kana kwamba kipindi cha kampeni corona ilipumzika na ndio maana hamkuwa mkiwaambia watu wachukue tahadhari maana corona ipo.
 
Huyu mchungaji si alifunga kanisa lake wakati ule?
Hakuna corona na wala haiwezi kukaa na sisi...tatizo lake nini?

Sisi tumesema tutaishi nayo kama UKIMWI...Na mpaka sasa Mungu ametusaidia sana na bado ataendelea kutusaidia...

Nadhani ni miongoni mwa propagators wa chanjo hasi ya corona...
 
2nd wave mwamba keyuzeka mbochi as always
 
Huyu mzee anachotaka ni aone watu wanakufa kwa korona ili aonekane kuwa Mungu hajainusuru nchi ya TZ kutoka korona. Ikumbukwe kuwa wakati serikali iliporuhusu ibada ziendelee kwa tahadhari zilizoainishwa yeye aliamuru dayosisi yake makanisa yafungwe na ibada zisitishwe. Alitarajia kuwa vifo vingekuwa vingi na dayosisi nyingine zingefuata mkumbo aliouanzisha. Ila kwa AIBU kubwa baada ya chini ya miezi miwili alipoona waumini wake wanamshangaa na dayosisi nyingine zinachapa ibada akaamua kwa shingo upande kufungua makanisa kwenye dayosisi yake. Hiyo inamuuma mpaka leo. Ni aibu kwa kiongozi kuhusisha uwepo wa nguvu za Mungu mahali fulani na kuwa makao makuu ya Mungu. Ni dhahiri watu wanafaulu mitihani ya mafundisho ya dini bila wao wenyewe kuamini kinachofundishwa kwenye imani hiyo. Tutaendelea kuona mengi kutoka kwa wanaharakati waliovaa majoho ya uaskofu
Kwa ufupi ni agent wa kuzimu huyo...Amevaa tu mavazi ya kiutumishi...Of all the people yeye mkristo kuzikana nguvu za Mungu hadharani unategemea nini?

Yeye kwakufuru hii ataibika kwa mara nyingine tena.

Corona iliingia Tanzania sote tuliiona na kwa imani iliondoka hata kutoleta madhara makubwa na sote tu wafaidika wa muujiza ule wa Mungu...Mungu wa jana ni yuleyule hata leo naye ataendelea kuilinda Tanzania kwa udhihirisho kama alivyofanya kwanza; kwa maneno haya hata kama huko kwao wapo wangonjwa basi watapona wote kwa mara moja ili apate aibu nyingine kwakuzidharau nguvu za Mungu, in Jesus name have I declared...AMEN
 
Huyu mzee anachotaka ni aone watu wanakufa kwa korona ili aonekane kuwa Mungu hajainusuru nchi ya TZ kutoka korona. Ikumbukwe kuwa wakati serikali iliporuhusu ibada ziendelee kwa tahadhari zilizoainishwa yeye aliamuru dayosisi yake makanisa yafungwe na ibada zisitishwe. Alitarajia kuwa vifo vingekuwa vingi na dayosisi nyingine zingefuata mkumbo aliouanzisha. Ila kwa AIBU kubwa baada ya chini ya miezi miwili alipoona waumini wake wanamshangaa na dayosisi nyingine zinachapa ibada akaamua kwa shingo upande kufungua makanisa kwenye dayosisi yake. Hiyo inamuuma mpaka leo. Ni aibu kwa kiongozi kuhusisha uwepo wa nguvu za Mungu mahali fulani na kuwa makao makuu ya Mungu. Ni dhahiri watu wanafaulu mitihani ya mafundisho ya dini bila wao wenyewe kuamini kinachofundishwa kwenye imani hiyo. Tutaendelea kuona mengi kutoka kwa wanaharakati waliovaa majoho ya uaskofu

Atuambie yeye na hawa nani ma expert zaidi kwenye corona?

Huyu katoa explanation ya risks za kufa kwa corona kutuletea povu lote hilo ili iweje?

Agent of desolate places, go to hell with your immoral and evil heart!

Mungu makao yake makuu yapo Tanzania hataki au atake hawezi kuzuia nguvu zake!
 
Huyu anahitajika hata kuchunguzwa usikute ndiyo anayefanya maambukizi kwa siri ku justify demands zake hizi za kuzimu
 
Tatizo Bagonza mpagani hajui hata Mungu anaishi wapo makao makuu ya Mungu yako ndani ya za wamchao anasema niko mlangoni nabisha mtu akinikaribisha nitafanya makao kwake

Mungu wetu anaitwa Emmanuel yaani Mungu pamoja nasi

Kwa alichoandika kakufuru tunamwachia Mungu atajua cha kufanua

Heri angebaki kuongelea siasa lakini huko kwa Mungu aliyetudhindia Corona kachokonoa mzinga wa nyuki na aweza ondoka kwa hiyo Corona anayopenda kuiabudu na kuitumiakumdhalilisha Mungu Mark my words

Kazi aliyofanya Mungu Tanzania kwenye issue ya Corona ni kubwa Mno na haitakiwi kkudhihakiwa atakiona cha mtena joho lake pete na kofia na fimbo yake ya kiaskofu ni takataka tu Mbele za Mungu aliyemdhihaki baada ya kufanya kazi kubwa ya kupigania Tanzania dhidi ya Corona
uandishi wako ni duni.
 
Nakazia hapa "afya sio mali ya serikali"
Kama siyo mali ya serikali mbona zikiingia bidhaa sumu na kuua raia tunaipigia kelele serikali?

Get tour facts right guys...Serikali ni mlinzi namba moja wa afya yako hapa duniani...

Ndiyo maana tunapoenda kupiga kura kama raia tuelewe tunaenda kufanya nini...Hatuendi kishabiki tu au kutimiza ratiba...Tuna decide for our fate as a country!

Kuna shida kubwa naiona kwenye critical thinking ya watu wetu na hasa group la vijana...This is very serious, if we do not take it serious hii itatu cost huko mbeleni.
 
Haya eee Mungu nakuomba wape Corona wote wadhihakio kazi kubwa uliyofanya kwa taifa hili tulipokuomba nakusahi wafe kwa Corona wanaoisifia Corona na kuiadikia sifa lukuki

Kila mdhihaki juhudi zako Mungu mwachie adui Corona amrarue

Nimeomba haya kwa Jina la Yesu
Una matatizo, siyo bure. Nakuombea kwa Mungu akuponye, upate faraja ya roho na hekima.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom