Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

Mwambieni Bagonza afunge tena makanisa kwenye dayosisi yake.
 
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo

Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu

Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Huyu Askofu naamni lazima ana tunguli!

Mbona huwa anabeza sana kwamba Mungu hawezi kutenda kwa tz?
 
Duuh yaani mahali Corona ipo na Mungu yupo??

Mbona Biblia haisemi hivyo??

Ya nini kupindisha maandiko ili kufikia malengo flani??
 
Kwa utafiti wangu mdogo, barakoa zinazuia upumuaji mzuri na uingiaji mapafuni wa hewa safi ya kutosha. Kama mtu ana tatizo la kupumua, kumwambia avae barakoa ni kuzidi kumwongezea tatizo la upumuaji na kuathiri mapafu yake.

Nashauri watu wapate muda mwingi wa kukaa sehemu zenye miti mingi na kupata hewa safi ya oksijeni. Walioko mijini kama Dar es Salaam, watembelee eneo la Chuo Kikuu, Changanyikeni, Kisarawe na kwingineko kwenye kijani kibichi na hewa safi, wakapunge upepo bila barakoa.

Na tukumbuke kuwa hewa safi, hasa oksijeni huongeza kinga mwilini na kuufanya mwili uimarike kiafya. Hewa safi ni dawa, ni tiba - usiizuie kwa barakoa kuingia puani na kisha kushuka mapafuni!
 
Kwahiyo mkuu unaamini corona ilipungua kwa kiasi Tanzania?

Hard to say mkuu, siwezi kukudanganya - cha muhimu hapa tuchukuwe tahadhali kubwa hisiwe business as usual - Tanzania sio kisiwa mkuu.

Watanzania tutakuwa na amani kwenye mioyo yetu tukianza kudungwa chanjo kutoka China zenye uwezo mkubwa wa ku-innoculate wanadamu dhidi ya ugonjwa wa corona, mi mwana sayansi naongozwa na ethics za kuamini facts and figures not otherwise, I might be wrong lakini mimi huo ndio msimamo wangu tahadhali za Askofu Bagonza nazichukulia seriously indeed.

Kuna vitu naviangaliaga kwa umakini na kuvifanyia tathimini - mfano: Ujio wa Rais Mseveni nchini hivi karibuni - M7 na watu alio ongozana nao walivaa face masks throughout ya ziara yao, come Chinese delegation mambo yalikuwa tofauti kidogo, mwanzo walivaa face masks baadae kidogo wengi wao wakazivua - nikawa najiuliza maswali mengi hivi hawa Wachina wanajiamini nini wakati mwaka jana waliwakamata wanaijeria na Wafrika wengine huko Qazhou wakawapima na kuwakuta wengi wao ni asymtomatic kwa ugonjwa wa Corona yaani ni ma-carriers lakini wao hawa adhiriki na Ugonjwa wa Corona - sasa swali ni,je, Wachina walio kuja na Waziri wao hapo Chato walijiamini nini mpaka kufikia hatua ya kuondoa face masks - mwisho nikaja gunduwa kwamba hivi sasa China imekwisha tengeneza chanjo dhidi ya corona ambayo imefanyiwa majaribio lukuki na kuonekana hiko effective by almost 100% na inahifadhiwa at room temperature unlike western stuff ambazo chajo zao zinapaswa kuifadhiwa kwenye temperature ambayo ni close
to absolute zero(273Kelvin).

Chanjo za wachina zimesambazwa Brazil, Argentina, Chile, Venezuela, Misri, Iran na nyingine katika nchi za Kiarabu na Kenya kama nakumbuka vizuri, ugunduzi wa Chanjo pamoja na dawa za ugonjwa wa Corona ndio unawafanya Wachina wasiwe na wasi wasi sana hata wanapo tembelea mataifa ambayo yapo kwenye harms way ya ugojwa huu hatari - M7 na delegation yake wasingeweza kuchukua risk wakati wanajua hawana hata chembe ya sijui tuseme ANTIDOTE, hayo ndiyo maoni yangu siyo lazima yawe sahii ni angalizo tu.
 
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo

Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu

Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Wewe ni mwendawazimu.

Malaria tunaugua kila siku. Halikadhalika magonjwa mengine yote. Waliopo mahospitalini wote ni wana magonjwa. Je, pale Mungu hayupo?

Mungu yupo mahali pote. Pawe pana Corona, malaria, kifaduro, n.k; Mungu yupo.

Ninyi ndiyo ambao Bwana wetu Yesu Kristo alinena na wanadamu wa kale, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nasikia rayol families namatajiri hawachukui kinga kuna waziri mkuu alifake anachukua chanjo umesikia hiyo mkuu
 
Duuh yaani mahali Corona ipo na Mungu yupo??

Mbona Biblia haisemi hivyo??

Ya nini kupindisha maandiko ili kufikia malengo flani??
Bagonza si ndio aliemuabudu shetani baada ya kufunga makanisa huku wenzie wakiendelea kumuomba Mungu
 
Wewe ni mwendawazimu.

Malaria tunaugua kila siku. Halikadhalika magonjwa mengine yote. Waliopo mahospitalini wote ni wana magonjwa. Je, pale Mungu hayupo?

Mungu yupo mahali pote. Pawe pana Corona, malaria, kifaduro, n.k; Mungu yupo.

Ninyi ndiyo ambao Bwana wetu Yesu Kristo alinena na wanadamu wa kale, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe tu mkuu mfumo mbovu wa elimu unaozuia kuhojina kusimamia wanachokiamini unatuletea vijana wa kuwaza hivyo .mambo aliyoandika yeye aibu nimesikia mimi.
 
Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo

Corona na Mungu haviwezi kuwa mahali pamoja Mungu

Lipagani hili Askofu kwa hiyo hata mbinguni kwaweza kuwa na Corona?
Kwa hiyo Israel na Vatican Mungu hayupo siyo!

Kwa kweli wahenga waliposema aliye katikati ya mlo akili yake huhama hawakukosea kabisa!
 
Wewe ni mwendawazimu.

Malaria tunaugua kila siku. Halikadhalika magonjwa mengine yote. Waliopo mahospitalini wote ni wana magonjwa. Je, pale Mungu hayupo?

Mungu yupo mahali pote. Pawe pana Corona, malaria, kifaduro, n.k; Mungu yupo.

Ninyi ndiyo ambao Bwana wetu Yesu Kristo alinena na wanadamu wa kale, "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hayo maarifa yako yamepigwa marufuku kutumika kujikinga na corona?
 
Yesu ni nani boss, je huyo Yesu anasikiliza ibada za wezi wa kura?
Yesu siyo Amsterdam boss,! Si Lisu wala Magufuli kwamba mtu wa chama hiki sitamfanyia wema.

YESU/MUNGU siku zote huwatendea wema wabaya na wema. Ndio maana hata mvua huoni ikibagua kwa chadema na kuacha kwa ccm, wote inawanyeshea bila kujali madhaifu yao.
 
mbona bagonza anzunguka 2u na porojo zakee.!? kwa hata serikali inasisitiza kunawa mikona na kujihifadhi kwa yote alo copy na ku peste kwa wizara ya afya, yeye hana jipya.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ma CCM yalivyo mabinafisi yawezekana yashamletea kinga baba yao kutoka kule kwa mabeberu na huenda kashachoma tiari sasa kwa sisi yanasema tusali tu Corona na Mungu havikai pamoja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom