Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

Askofu Bagonza: Kuna kitu hakiko sawa

Hii ni uthibitisho wa wazi kuwa ASkofu Bagonza ni mpagani sio Mkristo....
Wakati shetani alipowarubuni Adam na Hawa kula tunda lililokatazwa na Mungu pale bustanini na baadae Mungu akaja na kumwuliza shetani kwa nini aliwarubuni kulikuwa na umbali gani kati yao?
 
Sisi tunasubiri chanjo. Iwe mchana, iwe mvua, iwe jua tutatafuta chanjo ya corona.
 
Yeye na Mungu ni vitu viwili tofauti haamini Mungu kabisa KKKT niwaulize huyu mpagani Bagonza alipenyaje kuwa Askofu?....

Kwa taarifa yako ni kuwa Maaskofu wengine wameamua kukaa kimya kwa sababu ya hofu, lakini wanajua fika huyo Askofu anaoongea ukweli mchungu. Hivyo kama ni kumtoa labda watii hisia za jiwe kisha wamfanyie figisu, ila hawana popote wanaweza kumchukulia hatua maana anaongea ukweli.
 
Yeye hakupewa uaskofu awe kipaza Sauti cha sauti ya wanadamu bali ya Mungu ya tubuni na kuamini injili sio tubuni na kuiamini demokrasia na chadema na katiba mpya au tume huru na uchaguzi huru!

Huyu Askofu Bagonza ni mpagani
 
Corona ipo ila tumshukuru Mungu wengi tumeweza kuishi nayo kwa miili kujenga kinga. Baadhi wanasayansi wanapendekeza kutovaa musk ili kubadilishana virus na bacteria kujenga kinga imara zaidi.

Tatizo ni kwamba ukisema ipo ni kosa la jinai! Watu wameacha hata kunawa mikono hii sio nzuri na vilevile kuaibisha watu wanaovaa barakoda ni ujinga😂. Tungeweza kabisa kuruhusu biashara lakini kuwa makini bado. Vilevile serikali iweke order za chanjo tusije kufungiwa kusafiri
 
Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.
Huyu naye anang'ang'ania corona siku zote sijui ana nia gani!! Sijasikia akitoa kauri ya watu waliouawa kwenye maandamano huko Marekani au hajasikia hayo maandamano ila ameona corona tu!!
 
Yeye hakupewa uaskofu awe kipaza Sauti cha sauti ya wanadamu bali ya Mungu ya tubuni na kuamini injili sio tubuni na kuiamini demokrasia na chadema na katiba mpya au tume huru na uchaguzi huru!!
Huyu Askofu Bagonza ni mpagani

Inaonekana hujui uaskofu ni nini ndio maana unaleta siasa uchwara kwenye majukumu ya uaskofu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nashangaa askofu ambaye hawahimizi waumini wake kuomba rozali mara kadhaa Mungu atuponye na Corona. Waumini ni wengi sana anaowaongoza kama angewasisitiza kuomba rozali kama anavyowambiaga wenye dhambi ili wasamehewe maovu yao basi Corona ingekimbia.sasa Jamaa amebakia na porojo tu hamna la maana analoliongea.
 
Bagonza anachomaanisha Corona bado ipo Tanzania, nakubaliana nae; ila yeye katumia njia ndefu kufikisha ujumbe wake.
Yupo sahihi mwenyewe kasema wanaruhusiwa kuongelea Corona ni wanne tuu.
Acha bagonza atoke ubungo kuelekea posta kupitia gongo la mboto.
 
COVID19 ipo inaua chukua tahadhari. Unadhani Pope Francis haombi rozali ili Mungu atuponye? Mbona Waitalia wengi wamekufa na bado wanakufa?
Covid19 haikimbii kirahisi rahisi hivyo chukua hatua muhimu kujilinda Pope Francis’ personal doctor reportedly dies from COVID-19 complications
Nashangaa askofu ambaye hawahimizi waumini wake kuomba rozali mara kadhaa Mungu atuponye na Corona. Waumini ni wengi sana anaowaongoza kama angewasisitiza kuomba rozali kama anavyowambiaga wenye dhambi ili wasamehewe maovu yao basi Corona ingekimbia.sasa Jamaa amebakia na porojo tu hamna la maana analoliongea.
 
Tanzania si makao makuu ya Mungu. USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO.
 
Idadi ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua imeongezeka ndani ya muda mfupi. Yawezekana ni uchovu wa mwisho wa mwaka!

MTU ANAYEINGIZA MSSIKHARA KWENYE MAMBO YA VIFO ANATENDA KOSA. KAMA NI KIONGOZI ANATENDA KOSA KUBWA ZAIDI. THIS REMOVES WHATEVER LITTLE FAITH I HAD IN THE SANITY IF THIS PERSON. NI ASK9FU KWELI?
 
hivi kama serikali imejiridhisha kwamba Corona hakuna kabisa hapa nchini, ni kwasababu gani ukienda kupata huduma kwenye baadhi ya taasisi za serikali wanakulazimisha uvae barakoa ndo uingie ndani kupata huduma?
 
Uchovu wa mwisho wa mwaka ni masihara? Na huyo anayeudanganya umma wa Watanzania kwamba Tanzania hakuna COVID19 yeye anafanya nini?
Idadi ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua imeongezeka ndani ya muda mfupi. Yawezekana ni uchovu wa mwisho wa mwaka!

MTU ANAYEINGIZA MSSIKHARA KWENYE MAMBO YA VIFO ANATENDA KOSA. KAMA NI KIONGOZI ANATENDA KOSA KUBWA ZAIDI. THIS REMOVES WHATEVER LITTLE FAITH I HAD IN THE SANITY IF THIS PERSON. NI ASK9FU KWELI?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom