Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

Status
Not open for further replies.
Kwa kweli hata mimi hapo sijamuunga mkono Slaa, bora ngefunga ndoa ndipo aende hivi kweli utapita alimopita Yesu Kristo ukiwa na hawara!! Badala ya kuliombea taifa unaweza kusababisha kinyume chake!!
 
Kwanza huyo anaejiita asikofu anapotosha umaa...pili ni mambo ya mtu binafsi..tatu yeye ni mtumishi au mwanasiasa,,achague moja..nne kila mtu kikatiba ana uhuru wa privacy zake..mwisho akumbuke heri kama kweli dr kaenda huko..imani yake inamruhusu...amefanya hivyo kwa kuwa hawezi kumdanganya mungu wake, ndio maana kaenda kujiweka sawa apate upakoo mafisadi km huyo mchungaji akirudi awasulubishe............
Kumbukeni mnaweza kufanya mapenzi kwa siri lakini humwezi kuumwa kwa siri...
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.
ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

juliana fyonza lini utaolewa na utakua na kazi yako bila kutegemea hela ya kumwaga damu ya watu
 
AFRICA LEO ndio gazeti gani hili..linapatikanata nchi gani?

Ni gazeti la Kada wa CCM kutoka Tanga ukoo wa kina Mdoe. Jina limenitoka kidogo.
Amewahi kuwa Mkuu wa wilaya ya Kinondoni sikumbuke specifice year,(au Katibu wa CCM wilaya hiyo).
Kwa lugha nyingine AFRICA LEO ni gazeti la CCM kwa mlango wa makada.
 
kwa Yeyote aliye msafi na asimame ampige mwanamke huyu jiwe!!

kazi ya viongozi wa kiroho ni kufikisha ujumbe. ametimiza wajibu wake na anapaswa kupongezwa kwa ujasiri aliouonyesha.
 
Mwacheni mzee ajilie vyake

"To know the enemy is half the victory"
 
jamani tuache ubishi. hivi dr slaa hazini kweli? au hatujui maana ya uzinifu
Una uhakika hajatubu!? uko katikati yake na MUNGU? HUKUMU ni kazi ya nani? Ambaye hana dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe la shutuma! Mashetani ndiyo kazi yao kutuhumu na kuhukumu na kudeclare wafuasi wao kama huyo askofuuul
 
Ni aibu sana hivi slaa anajionaje mbele za watu
 
Kwanza huyo anaejiita asikofu anapotosha umaa...pili ni mambo ya mtu binafsi..tatu yeye ni mtumishi au mwanasiasa,,achague moja..nne kila mtu kikatiba ana uhuru wa privacy zake..mwisho akumbuke heri kama kweli dr kaenda huko..imani yake inamruhusu...amefanya hivyo kwa kuwa hawezi kumdanganya mungu wake, ndio maana kaenda kujiweka sawa apate upakoo mafisadi km huyo mchungaji akirudi awasulubishe............
Kumbukeni mnaweza kufanya mapenzi kwa siri lakini humwezi kuumwa kwa siri...

mkuu, hata kama mambo yake binafsi lakini sis kama watanzania tuna haki ya kuhoji uadilifu wake. huyu ni rais mtarajiwa hivyo itakuwa ni aibu kubwa kwa tanzania kuongozwa na rais mzinifu. anakwibakwiba tu wake za watu. shiiiit
 
ameenda kama tourist sio hija lkn pia israel haipeleki mtu mbiguni kwenye Bible hakuna sehemu walosema tuhiji wakristo

Askofu, naomba busara ya Mungu ikuongoze na utafakari maneno haya: Ondoa kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utakapoona kibanzi kwenye jicho la mwenzako". "Usihukumu usije ukahukumiwa". Mtu wa kwenu akikosea, mwite ukaongee nae, kama hatakusikiliza, waite mashahidi (watu wa kanisa/viongozi wengine wa kanisa) na kama hakusikilizi, mfanye kama mataifa". Askofu, nashawishika kuamini kuwa hapo umeenenda kidunia zaidi kwa manufaa ya kujitwalia utukufu mbele za watu na sio kusudio la kuonya kiroho. Isitoshe, kwenda Israel ni suala la kitalii zaidi sio hija. Kwenda Israeli lisihusishwe na utakatifu wa mtu. Tafakari haya.
 
Mwambieni askofu awasaidie kwanza watu walio ibiwa DESI chini ya mikono yao badala ya kufuatlia maisha ya Dr Slaa
 
Huyo Mchungaji Mwamakula anatakiwa atambue kuwa hata kama Dr.Slaa amekwenda hijja na mwanamke asiye mke wake hilo ni suala la yeye (Dr.Slaa) na Mungu wake. Kama ni toba anatakiwa aifanye kwa Mungu wake na si kwake Mwamakula.

Maana siku hizi hata viongozi wa dini wanatafuta publicity kwa kumsema Dr. Slaa na huwezi kuwasikia hawa wachungaji uchwara wakiikemea serikali jinsi inavyoshindwa kutimiza wajibu wake kwa wananchi. Hawa hawa wachungaji uchwara ndio kila uchao wanamkaribisha fisadi EL katika makanisa yao ili awaendeshee harambee za kujenga makanisa yao pamoja na vitega uchumi vyao.
 
Hata mi namshangaa sana slaa

umri wake umeenda ya nini hadi leo hajaoa!!!!!!
ni kipi kinachomzuia kuoa!!!!!!!
dkt+slaa3.jpg
 
Nimeamini ni kweli kama mtu akiwa padre ama mchungaji then akijakuasi yale mapepo aliyokuwa akiyakemea ibadani humrudi kwa nguvu na mengi mala saba zaidi.
ndicho kinachompata mzee wetu huyu.

Na vipi ukiwa CDM halafu ukaja kuasi na kujiunga na CCM, je yale mabaya ya CCM uliyokuwa ukiyasema majukwaani yanageuka na kuwa mazuri?

Naamini umefika angalau darasa la saba, ni MARA saba na sio MALA
 
Dr.Slaa ni mkatoliki na mchungaji ni mpentekoste..
Utaratibu wa toba kwa wa pentekoste ni kati yako na Mungu....wakati wakatoliki huungama mbele ya Katikista au padre!
Sasa huyu mchungaji anajuaje kama Slaa hajatubu au lah!
Unajua hata Daudi alifanya makosa makubwa ya kuua na kubaka....huu ni udhaifu wa kiuanadamu....haijaandikwa popote kuwa aliwatangazia watu toba yake!
Tatizo waitwao ni wengi ila wateule ni wachache.....watumishi tujikite kuhubiri yale yatupasayo (mathayo 28:19-20)....na sio kupoliticize neno la Mungu!
 
Kwa kweli hata mimi hapo sijamuunga mkono Slaa, bora ngefunga ndoa ndipo aende hivi kweli utapita alimopita Yesu Kristo ukiwa na hawara!! Badala ya kuliombea taifa unaweza kusababisha kinyume chake!!
Hahahahahaha.
Sii ndio maana unaona mabomu yanalipuka bila kumjua mlipuaji mkuu?
Yote hiyo ni laana!
 
Hizi dini za kuvamia hatari sana,kwa taarifa yako Israel hawaitazami Jerusalem kama njia ya kwenda Mbinguni..kwao pale ni kitega uchumi cha utalii na taswira ya kutangaza Taifa lao duniani!ila kwa wakristo njaa kama huyo "askofu" anaamini kufika Israel ndo kufika Mbinguni.....short courses za Falsafa na Theolojia(Taihudi) ni muhmu sana kwa maaskofu njaa kama hawa kabla hawajajimilikisha vikanisa vyao
 
ASKOFU mwenyewe huenda ni mtoto aliyepatikana kwa zinaa ni NANI ajuaye? NDOA za washirika wake wote zikoje kanisani kwake? Namshauri Askofu ALITUMIE NENO LA MUNGU KWA HALALI AACHE KUJIPENDEKEZA NA KUTUMIWA NA WANASIASA HASA CCM.
 
Tata Mwita Maranya, zamani ukienda kanisani unakumbana na uwepo wa Roho Mtakatifu, lakini sasa kuna homa imeingia mjini na haya makanisa ya kina Mwama-Kula, wana Roho Mtakavitu.

Sijui yeye anayo orodha ya watu wote waliotubu mwaka huu au!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom