Askari ajitoa uhai kwa kuupoteza msafara wa Kikwete Tarime!!!

tutake tusitake... KUNA SIRI KUBWA, LAKINI BAHATI MBAYA OUR EMOTIONS ARE ALWAYS HIGH WHEN IT COMES TO SOMETHING AGAINST THE GOVERNMENT
 
tutake tusitake... KUNA SIRI KUBWA, LAKINI BAHATI MBAYA OUR EMOTIONS ARE ALWAYS HIGH WHEN IT COMES TO SOMETHING AGAINST THE GOVERNMENT

of course.. kwa sababu dunia nzima.. serikali zina tendency ya kuelekea uongo na ulaghai kuliko uwazi na ukweli... Hata siku moja siamini maelezo ya kwanza ya serikali juu ya jambo lolote lile.
 
of course.. kwa sababu dunia nzima.. serikali zina tendency ya kuelekea uongo na ulaghai kuliko uwazi na ukweli... Hata siku moja siamini maelezo ya kwanza ya serikali juu ya jambo lolote lile.

SASA UTAISHIA KUWA MPINZANI MILELE AU NA WEWE uKIUNDA SERIKALI UTABADILIKA NA KUWA MLAGHAI??
 
Hii ina siri kubwa-inawezekana yeye aliongoza msafara alivyoelekezwa na kumbuka jeshini huwezi kuquestion mkuu wako wa kazi-akisema hilo ni agizo. Japo inawezekana hata yeye alijua ni kosa lkn alikuwa ameshaagizwa kuongoza vile. Lakini nina imani huyu binti hakuupoteza msafara wa arais makusudi nadhani ni information aliyopewa kuhusu msafara huo-naamini angetekeleza kulingana na maagizo na c vinginevyo,Inwezekana alielekezwa vibaya hivyo aliyemuelkeza akaogopa endapo atajulikana itakuwa ni ngumu kwake kuretain kazi. Hapa kuna mambo mengi. Inawezekana pia alikacrika saana akashindwa afanye nini!! Ni tukio la kuckitisha saana japo yote ni ya kumuachia mungu!!
 
Polisi hawawezi kuchunguza polisi wenzao. Ilitakiwa Tume Independent ndiyo ichunguze. Hapo angalau tungeweza kujua ukweli, lakini hao walioteuliwa kuchunguza wata-base kwenye maelezo ya awali aliyoyatoa Mwema na hiyo ndiyo itakuwa conclusion yao.
 
tusubiri tume ya mwema . kwakweli inasikitisha sana

Tume hii itakuwa na maana tu kama wahusika wa mauaji ni polisi wa Tarime pekee, ila kama issue imeanzia juu, tutasikia yaleyale ya mwema kuwa wauaji hawakamatiki nchi itatetemeka. So the conclusion watakayokuja nayo ni kwamba kajiua. Ila kama ni polisi wa Tarime pekee basi watatuambia kuwa aliuwawa na mtuhumiwa, Mkuu wa kituo katoroka na polisi bado wanamtafuta akajibu mashitaka ya mauaji.

Lingekuwa jambo la maana kama saa hizi, mkuu wa kituo na timu nzima iliyokuwepo kwenye tukio wangekuwa chini ya ulinzi kila mmoja katika chumba chake na mlinzi mkuu wa walipo ni IGP na RO tu wengine hawaruhusiwi access, mpaka hapo tume itakapokuja na taarifa yake. Ila kama bado wanadunda hakuna jipya kwani yatakuwa yaleyale ya Zombe et al kufundishana cha kuongea!
 
IGP Mwema aliunda Kikosi au Tume kuchungua Sheria inasema nini kuhusu raia kumiliki Pingu February 2010...soma hapa

MICHUZI tena aliahidi kutoa ufafanuzi huo baada ya siku mbili (2) mpaka leo...ripoti ya Tume iko wapi??

Iweje leo mtu mzima niamini IGP na tume yake watatoa ripoti ya mauwaji haya baada ya siku saba (7)???

Fool me once....
 
- Risasi nne!
Hivi kweli mtu anaweza kujipiga risasi nne?

Kuna contradictions kubwa sana kwenye maelezo yaliyotolewa juzi na haya aliyoyatoa Mwema. Maelezo ya juzi yanasema alijimiminia risasi nne na zote zikiwa zimelenga moyo.

Mwema anasema alipiga risasi ya kwanza mlangoni, then wenzake wakawa scared, mara wakasikia risasi nyingine na walipovunja mlango walikuta ameishakata roho.

Kwenye SMG kuna option ya kuchagua burst (risasi zinatoka mfululizo) au single (risasi zinatoka moja moja) firing. Kwa kutumia maelezo ya Mwema, SMG ilikuwa kwenye single firing so asingeweza kujipiga risasi nne na hakuwa na muda wa kuanza kuchunguza na kupanga.

Kulikuwa na watu walikuwa wanasema kwamba inawezekana kupiga risasi nne, lakini ukishabonyeza na kujitwanga risasi ya kwanza, kidole hakiwezi kuwa na nguvu ya kuendelea kubonyeza trigger key, na hivyo may be zinaweza kufika 2 lakini siyo nne. Na kwa kawaida kwa bunduki kubwa (SMG) akishajipiga na kwa kuwa alijilenga kwenye moyo, lazima bunduki ilidondoka baada ya risasi ya kwanza kumpiga.

Mwisho kabisa, it is very rare kwa mtu anaejiua mwenyewe kujilenga moyo, hili ni tukio la kwanza kulisikia, mara nyingi wanaojiua kwa bunduki/bastola huwa wanajifumua vichwa kwa sababu ya urahisi wa kuji-shoot.

Hili tukio lina maswali mengi sana kuliko majibu. Bunduki akiwa nayo askari huwa anaikumbatia kama mtoto na ndicho nilichofunzwa JKT. Huwezi kuweka bunduki pembeni hata kama mnafanya makabidhiano. Ndio maana nasema maswali ni mengi sana na sijui kama watayatolea majibu.
 
Back
Top Bottom