Asikudanganye nitaishia mapajani

Kumbe? Sasa mbona siku zote hamtwambii tumekosa mengi wenzenu.
 
Hvi wanaume na nyie hamnaga cku zenu????maana kila kitu ni sisi khaaa
 
Kwa mwanamke inakuwaje mana wengine wakiwa kwenye hali kama hiyo ndo wanakuwa na nye.ge sana....sasa mtu kama huyo wewe mwanaume utafanyaje na ndo mkeo...

I believe kuna njia nyingi za kumupunguzia hizo nye.ge bila kuingiza libolo.

Personally I wouldn't do it akiwa periods.period!
 
Well nimefanya mara kadhaa Baby akiwa period, but i real dont like that smell, and i dont think if its gonna happen again
 
Kwanza sio ustaarabu kabisa kufanya na mpenzi wako yupo period, how do you feel ukiiona inatoka na damu, ni uchafu na ubinafsi mkubwa
 
I believe kuna njia nyingi za kumupunguzia hizo nye.ge bila kuingiza libolo.

Personally I wouldn't do it akiwa periods.period!

Ok..yahitaji moyo kwa kweli..ile hali mh..
 
jaribu utabobea

si lazima kubobea kwenye kila kitu aisee.

wacha nibobee kwenye kazi yangu ila sio huko kwenye periods mbe!

Kumbe na wewe mshamba eeh?

I'd rather b mshamba kama msukuma wa Kahama kuliko kuwa mjanja kwenye hilo suala!

do u mean to say wewe na Paw ni 24/7 ??!


Ok..yahitaji moyo kwa kweli..ile hali mh..

Moyo ninao ila sizan kama ntakaa nifanye hiyo...!!!

I stil believe kuna alternatives.
 
Last edited by a moderator:

Mambo hubadilika sometimes..na hiyo alternative unayotaka kufanya sijui ni ipi lakini unaweza jikuta unaingia uko usikotarajia...
 
Last edited by a moderator:

wat is wrong apo?mkianza tu inakata...myb useme tu ni kinyaa..but being nasty z da whole fun of t
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…