This is one of the post ambayo kama kawa itadhihirisha sina ya muhimu ya kufanya na kwamba tu ni house wife ndo maana naweza… But I don't care, I love expressing what I feel, thus the number of abundant posts…. And that I can only dare at JF…. Hence Kujiachia…
Kitu ambacho nimegundua kua imenijengea popularity JF ni The way nilivoichukulia JF na members wake… Nimegundua members wengi tuna vary umuhimu wa JF… Woote members ni ya muhimu kwetu but in different categories… kuna wale wanachukulia ni sehemu ya kupita na kupata taarifa muhimu katika kila sector ya maisha… Kuna wale ambao ni sehemu ya kuja akiwa tu na shida anahitaji ushauri, Kuna wale ambao anakuja for relaxation ya akili – aingie hapa na kutia ushauri awezapo na most cases ku chat kwenye threads hasa ambazo huonekana ni za mzaha…. Kuna wale ambao kila akiingia ni kumchallenge mtu… Kuna wanaotafuta marafiki na wachumba (nina a guy ambae ni rafiki yangu hapa JF na tumefahamiana hapa… toka mimi nimeingia JF kafanikiwa kukutana na wadada watatu for one nite stands; Haipendezi but ndio reality-na unaona kabisa kua ni kweli jinsi cold bifu kati yake na wahusika inakua bada ya hizo one nite stands zao… Sad…
😉… Naweza orodhesha sababu kibao…
But nataka mjue sababu yangu ndio imeniponza mpaka nikawa this popular… Mimi JF is my home… nisipoingia sina raha kabisa!! Kwa sasa sichoki kuandika kitu kihusianacho na JF (na hua Napata challenges nyingi kua nina mda wa kupoteza…lol..)… Naweza kuja punguza badae hata mimi sijui but kwa sasa I am all in!! Na mnukuu mwana JF mmoja kwa jina la Journe Gwalu – "JF kama mtaani unakutana na watu wa kila aina"…. Kwangu mtu akipost issue ambayo ni mbaya saana/inaumiza saana/inaonekana serious, after a few days ni lazima nimuulize anaendelea vipi na kama kisha solve regardless kama si rafiki; sio nia ya kujikomba but it is in my nature and I cannot help it for I feel kua atleast ajue kuna watu wanataka the best for them… Kwangu mimi member yeyote Yule najaribu kureason nae, member yeyote interested in me.. I am interested in them too mradi isiwe ya kutaka tuvuke level ya more than urafiki wa JF… Sijali ni Mkongwe, sijali ni wa jana wala wa leo, to me woote ni JF members and I admire them the same. Sijali kua yupo against me for it is only thru keyboards… Hii imenifanya nimkumbuke Abdulrahim (kapotea jamani – my great challenger, na my fav –K- ; hawa hunifanya nijiangalie upya always!!)
Kingine ni kwamba napita Forums nyingi…. As much as MMU is my home, but SIKOSI kupita International Forum, huko nakutana na akina Sherriff Aprao, Bubu Ataka Kusema, Askari Kanzu, 3D, Lole Gwakisa, EMT, Michelle (been a while) na wengine ambao sina mazoea ya karibu… SIKOSI kupita Entertainment ambapo nakutana na Wisdom Weeds, 3D, X-Paster, Voice of Reason, The Boss (in fact we meet in almost all forums), The Finest , Lizzy (been a while), AfroDenzi, Eqlypz, The Priest (kabadili jina), Viper, Bubu Ataka Kusema na wengine ambao sio mara kwa mara… SIKOSI kupita Jokes za akina Kimbweka, Wisdom Weeds, Good guy, Mentor na wengine mmoja anaitwa togo nini sijui… Dah! These names… au kupitia threads za Bjbj hasa kama nipo low (and I don't care kua nipo katika ignore list yake) Post zake za mzaha but in most cases they make my day thus ni wamuhimu pia kwangu… For mara nyingi lazima nicheke from heart kwa furaha nikipita thread yake….
Kuna watu ambao Siwezi kosa kuwashukuru JF hasa siku za mwanzo na mpaka sasa kwa kuniwekea mwongozo/Kunikaribisha/ama kunishauri nichemkapo/ na the like (na naomba mnisamehe na ile constant need of assistance in most cases) + wale ambae they are always good friends to me….at JF kama Bubu Ataka kusema, The Boss, Rutashubanyuma, The Finest, Michelle, King'asti, Gaga (I love this lady…she is so real!), Manumbu, Askari Kanzu, Azimio Jipya, Steve Dii, 3D,Eqlypz and EMT, Nsiande.
Finally na acknowledge all MMU members ambao kwa kweli wao ndio wana Run MMU – And it right to say MMU belongs to them… WAKONGWE (Ambao I am aware na nimebahatika kuonana nao MMU):- Mbu (naona uko so very responsible-mana thread zako mkuu….), Afrodenzi, Asprin, Kaiser, The Boss, Gagurito, RR, Mr Rocky, Mwanajamiione, aga, Michelle, Lizzy, King'asti, Belinda Jacob, Black Berry, Maty, Rose10, Chauro, Klorokwin, Uporoto1, Mentor, Nyumba Kubwa, MTM, Nyani Ngabu, Husninyo, CPU, Pdidy,Bacha, Bishanga, First Lady1, Bht (bado mgeni kwangu but love her point of views.. thus nimeelewa why the cry by Batalanta…
😉, Fidel80 (asante kwa kurudisha avatar-ile ya kitambi ulichakachua), Nyamayao, Dena Amsi (kapotea kweli nae…
😉, Gazeti (ulipotea ukarudi kwa staili ya pekee.. hp moyo umepoa juu ya Lizzy), Dark City, Sangara, Magulumalu, Speaker,….
[RARE ACTIVE MMU Members - atleast toka kujiunga kwangu]; nnunu, Daughter, JourneGwalu, Mestod, Pearl, Mnyamahodzo, Arsene Wenger, Karen_Happuch, Miss Judith, Paka Jimmy, Fixed Point (miss this lady), Kimey, Okada, Elia, Cheusi Mangala, Marry tina, Caroline Danzi, Maria Roza, Ulimkafu, Positive Thinkers, Wahida, The dirt Paka & Wilbard (wamepotea kupita maelezo), Shantel, Dream liner, Tulizo (appreciate the unique inisights.. so ditached..), Mammamia, Woman of Substance, Rejao, SMU, Madabwada, Mzee Mwana Kijiji, Preta, Samora10, Katavi, Uda, U'da, Zion Daughter, Da Pretty, Ndetichia, Saweboy, Faiza Foxy, Saint Ivuga (nakumbuka am your mom's namesake…
😉, Baba Enock, Vuvuzela, Rev Fr Masanilo, Kaka Mpendwa, Sweet lady, Wise Lady, Black Woman, Mayassa,….
MMU NEW COMERS… Eiyer, First Born, Aisha Adam, Ma'swagga, Safty last, Baby, Excellent & Sharo hphp (I wonder where hawa wadogo wamepotelea… miss them), Habdavi, Mamdemnyi, Twenty two, Kipipi…
Kuna wale nafahamu majina and tunakumbana nao sehemu mbali mbali kama Memo, Zomba,
UmkhontoweSizwe , Da Pretty, Njiwa, Mabagala, Chatu dume, Papa mopao, Vivian, Esperance, Russian Roulette, Tuko, Mpatanishi (ualimu took my attention), Revolutionary, Katerelo, Smiles, Sinziga, Teamo, Son of Alaska, Raj Patel (newly acquaintance ), Yutong, Mamndenyi, Ritz, Konakali, Gezus, Ndinda, Nonda, Tamno, Never give up, Gaijin, Likwanda, Vikwazo, Ghost, Experence, Camarederie ….
- Na wale woote waliopo kwenye list of my friends katika Profile… Thanks to them all…
That is how I am committed to JF, na wala situmii nguvu siri ni kwamba I am interested in everything from the threads to its members…
The above members wooote nilotaja I know with heart…. Yaani namkumbuka kila mmoja either sababu ya Thread alotoa au mazoea, au commentaries, au discussion we held or what ever… Kila mmoja nakumbuka ni thread gani tulikutana (hata kama ni moja au mbili) na kila mmoja is important kwangu in one way or another… Hao ndio nilokumbuka lakini naamini kuna wachache mno nimesahau….. For wengine nakumbuka Avatars but nimesahau majina… For instance jamma mwenye Avatar ya Komba kasinzia bungeni…
Again kama kawa naomba samahani for the long post na pia Natanguliza Shukrani.
With Lots of LOVE
Pamoja Saaana
AshaDii (ADI)
N:B Naamini and presume pia kua this thread itakua imetoa mwanga kwamba walau itakua ya Mwisho kuhusu kichwa cha habari cha AshaDii… (Labda if necessary then Pleease niarifu…
😉 Safari hii IMO ifuate angalau ya Paka Jimmy for that is one angry man (Sorry Mkuu nafikiri hata huyo Jack bauer anadhihirisha hili)