AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Hakika umekosea, hata Stieve Dii anatambua kuwa siye..
Naomba soma post yake ya mwisho.... naona bado ana ma hope....lol
Hakika umekosea, hata Stieve Dii anatambua kuwa siye..
Umeona eeh.. yaani acha tu mwee..Naomba soma post yake ya mwisho.... naona bado ana ma hope....lol
Umeona eeh.. yaani acha tu mwee..
Hapo mimi no comment... Ila mkimaliza mazungumzo (thru pm i presume) mtanipa fidbak....lol
Yaani JF ni burudani tosha wallah.. Asha Dii basi... mie mbavu zangu zinauma bana..
uko juu AshaDii...pamoja saaaanaa...be there stay there!