AshaDii=The Pied Piper of Hamelin................

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,539
5,903
Toka umejiunga na JF miezi kadhaa iliyopita umekuwa ni kati ya wanaJF ambao wamekuwa mvuto wa aina yake hapa jamvini kutokana na maoni, ushauri, ama michango yako ktk topics mbalimbali. Umekuwa ukileta mada zenye kufurahisha sana na zenye mvuto na utashi wa kipekee iwe mapenzi, mapishi, siasa ama mada yoyote ihusuyo maisha yetu ya kila siku.
Thread yoyote ambayo umeposti yaani imekuwa inafuatwa na maelfu ya wana JF na ndio maana nakufananisha yule mtu ktk hadithi ya "THE PIED PIPER OF HAMELIN". Ushahidi umeonyesha kuwa ulipotea for a few weeks in the month of June 2011 na kulikuwa na simanzi na maswali kila siku hapa JF "Wapi Ashadii?????".......Thank God ulirudi ingawa hukusema ulipotelea wapi:)
Umekuwa kama sumaku kutokana na utashi na busara zako. Lugha yako siku zote imekuwa ni yenye heshima na taadhima mbeleni mwa wanaJF wenzio. Hata avatar yako says a lot about you.
Kila kaka angependa kuwa na dada kama AshaDii
Kila dada angetamani kuwa na wifi kama AshaDii.
Kila mume angependa kuwa na mke kama Ashadii.
Kila mvulana angependa kuwa na girlfriend kama AshaDii.
Kila jirani angependa kuwa na jirani kama AshaDii
Kila mtoto angependa kuwa na mama/shangazi kama AshaDii.
Sitosema mengi lakini nachukua fursa hii kukufahamisha kwamba thank you very much for what you have done so far for this great forum. Tafadhali usichoke wala usikome kuendelea kutupatia busara zako, elimu na mchango wa maoni yako kwani wengi wetu tumefaidika na yametusaidia sana tena sana baada ya kuyatekeleza kisirisiri maishani mwetu.
Nakutakia weekend njema na uendelee kujaaliwa ktk maisha yako na familia yako.
Do keep up doing the good job, AD!!

Very true!
 
Kweli lakini mimi nadhani JF ni kama shati, ingawa wengine ni kama kitambaa cha shati lakini hata vifungo na kola nazo zina kazi yake, I mean bila kifungo, mfuko au kola basi hilo si shati....

Saying that Ashadii ni kama majani ya chai kwenye chai yakimiss inakuwa sio chai tena bali maji ya sukari
 
Sherrif Dear….

I am really humbled.. BUT unfortunately siwezi sema to what extent… However I am so sorry to admit this to you… That I am even more embarrassed … Naomba utanisamehe… For nimekua na thread nyingi zenye heading ina AshaDii ndani mpaka sasa naogopa kua nitaonekana sifai tena au nitakifu hao members ambao kwangu I need the most… The last two threads zenye heading hizo zenye AshaDii ndani ilibidi niombe Mod wazifute haraka saana (na nikaomba msamaha wahusika for zilikua hazina logic yeyote) for just before zilikuepo tatu moja nikiwa nimepost mwenyewe "AshaDii to JF Members"

Hii post yako imeeleza mengi ya msingi ambayo mwanamke yeyote Yule atafurhi/atajidai akiambiwa – But then kwa upande wangu naangalia na impact which I sincerely hope will not be bad… Nilipoona tu the Topic's thread… niliishiwa kabisa nguvu…. Genuinely… Hata hivo this post says a lot about Sherrif and the way anamkubali AshaDii…. For that I am humbled… Kesho nina safari itayonichukua kama 14 hours na lengo langu ilikua leo nikeshe JF, nilale a few hours safarini and read my new nove…. However I have to admit sina tena hizo guts za kukaa tena jamvini au kufuatilia ili nisome itapofikia…

Bahati mbaya saana sio woote wanakubaliana na maneno yako… hivo my dear be prepared kua my Haters are now your haters… for I have several… and the war so bad for it is not eruptive but Cold…. Naona niishie hapa – for nimesema what I feel right now… But I know nitarudi with further comments nikiwasili safari yangu…. Huo ujumbe ukilenga wa JF Members wengine…. One thing is for sure… I Wish ungeniarifu… ili nikuambia kua give me at least a month walau habari before za AshaDii zipoe…. Hata hivo nashukuru kwa kunikubali kwako… ila nina wasi wasi na hio analogy… for I understand the story differently…. Enways...

Pamoja Saaana.

AshaDii (ADI)
 
tatizo letu tanzania ni kwamba watu hawaandiki vitabui

kuna member wengi humu ni writters
mmojawapo akiwa ashadii,
ushauri andikeni vitabu
 
Sherrif Dear….

I am really humbled.. BUT unfortunately siwezi sema to what extent… However I am so sorry to admit this to you… That I am even more embarrassed … Naomba utanisamehe… For nimekua na thread nyingi zenye heading ina AshaDii ndani mpaka sasa naogopa kua nitaonekana sifai tena au nitakifu hao members ambao kwangu I need the most… The last two threads zenye heading hizo zenye AshaDii ndani ilibidi niombe Mod wazifute haraka saana (na nikaomba msamaha wahusika for zilikua hazina logic yeyote) for just before zilikuepo tatu moja nikiwa nimepost mwenyewe “AshaDii to JF Members”

Hii post yako imeeleza mengi ya msingi ambayo mwanamke yeyote Yule atafurhi/atajidai akiambiwa – But then kwa upande wangu naangalia na impact which I sincerely hope will not be bad… Nilipoona tu the Topic’s thread… niliishiwa kabisa nguvu…. Genuinely… Hata hivo this post says a lot about Sherrif and the way anamkubali AshaDii…. For that I am humbled… Kesho nina safari itayonichukua kama 14 hours na lengo langu ilikua leo nikeshe JF, nilale a few hours safarini and read my new nove…. However I have to admit sina tena hizo guts za kukaa tena jamvini au kufuatilia ili nisome itapofikia…

Bahati mbaya saana sio woote wanakubaliana na maneno yako… hivo my dear be prepared kua my Haters are now your haters… for I have several… and the war so bad for it is not eruptive but Cold…. Naona niishie hapa – for nimesema what I feel right now… But I know nitarudi with further comments nikiwasili safari yangu…. Huo ujumbe ukilenga wa JF Members wengine…. One thing is for sure… I Wish ungeniarifu… ili nikuambia kua give me at least a month walau habari before za AshaDii zipoe…. Hata hivo nashukuru kwa kunikubali kwako… ila nina wasi wasi na hio analogy… for I understand the story differently…. Enways...

Pamoja Saaana.

AshaDii (ADI)

I'm so sorry and do sincerely apologize...............
 
sherrif, uliyosema kuhusu ashadii ni mazuri na very relevant. nashauri ubadilishe hiyo comparison na mpiga filimbi wa hamelin kwani it is not a very positive story.huyo mpiga filimbi alikuwa more of mpotoshaji, wakati ashadii ni muelimishaji na mwanaharakati pia kama si mwanamapinduzi.
wifi yangu ashadii,nami nakukubali sana, na zaidi kwa 'kunisitiri' quoting the boss, kwa kuniunganishia kwa kakako,lol. thanks for being u
 
Back
Top Bottom