AshaDii: "JF Woman Of The Year 2011"

attachment.php
 
Habari wana JF&

Hapa jamvini tupo watu wa kila aina na namna& Hio inafanya hili shindano zima liangaliwe kwa kila aina na namna tofauti wa msimamo. Hata hivo what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu& . kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.

Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives.

Nataoa shukrani zangu kwa woote walohusika katika michakato yooote ya upande wa akina mama na baba. Natoa shukrani zangu kwa wale woote ambao wananikubali na kunipenda. Natoa shukrani zangu kwa Familia yangu yoote ya JF ikiongozwa na Sweetie. Natoa shukrani kwa wale wanaofanya hii Forum kua hapa ilipo kiutendaji ikiongozwa na Invisible na the crew. Natoa Shukrani kwa woote walopiga Kura na kuniwezesha kufika hapa. Natoa shukrani kwa Superman na kukupongeza kwa jitihada ya kusimamia zoezi zima. Na Finally natamka kua napokea taji ka mikono Miwili toka Kwa Marehemu Regia Mtema; Bahati ilioye ali insinuate katika post moja in a thread ya Super Man kua she proudly gives AshaDii the crown for She deserve to be WoY (LINK). Daima I will be humbled for that. Narudia& . ASANTENI SAAANA.

With Love

Pamoja Saana
AshaDii.

Sweetie my heartful congratulations, zaidi tukiwa ndani.u know what i mean, .japokuwa nina kesi mahakamani umeshinda wewe, 2meshinda wote. plus ODM, family imekua!
 
kwa mudamfupi uliokuwa hapa jamvini mchango wako umeonekana ndomana leo umepata tunu hii ya kipekee hapa jf. Pongezi zangu kwako ashadii na laiti simuyako ingelikuwa inajulikana humu jf naamini leoungeomba msaada wa kuibeba kwa uzito wa msg na zawadi ambazo ungepokea.
 
Habari wana JF…

Hapa jamvini tupo watu wa kila aina na namna… Hio inafanya hili shindano zima liangaliwe kwa kila aina na namna tofauti wa msimamo. Hata hivo what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu…. kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.

Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives.

Nataoa shukrani zangu kwa woote walohusika katika michakato yooote ya upande wa akina mama na baba. Natoa shukrani zangu kwa wale woote ambao wananikubali na kunipenda. Natoa shukrani zangu kwa Familia yangu yoote ya JF ikiongozwa na Sweetie. Natoa shukrani kwa wale wanaofanya hii Forum kua hapa ilipo kiutendaji ikiongozwa na Invisible na the crew. Natoa Shukrani kwa woote walopiga Kura na kuniwezesha kufika hapa. Natoa shukrani kwa Superman na kukupongeza kwa jitihada ya kusimamia zoezi zima. Na Finally natamka kua napokea taji ka mikono Miwili toka Kwa Marehemu Regia Mtema; Bahati ilioye ali insinuate katika post moja in a thread ya Super Man kua she proudly gives AshaDii the crown for She deserve to be WoY (LINK). Daima I will be humbled for that. Narudia…. ASANTENI SAAANA.

With Love

Pamoja Saana
AshaDii.

Hongera zako bibie Adii WoY 2011
 
hivi nilisoma vibaya?
WoY na MoY wanapewa kilo moja ya kongosho?

Mbona umeandika nusu kilo kwenye nembo?
 
Habari wana JF&

Hapa jamvini tupo watu wa kila aina na namna& Hio inafanya hili shindano zima liangaliwe kwa kila aina na namna tofauti wa msimamo. Hata hivo what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu& . kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.

Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives.

Nataoa shukrani zangu kwa woote walohusika katika michakato yooote ya upande wa akina mama na baba. Natoa shukrani zangu kwa wale woote ambao wananikubali na kunipenda. Natoa shukrani zangu kwa Familia yangu yoote ya JF ikiongozwa na Sweetie. Natoa shukrani kwa wale wanaofanya hii Forum kua hapa ilipo kiutendaji ikiongozwa na Invisible na the crew. Natoa Shukrani kwa woote walopiga Kura na kuniwezesha kufika hapa. Natoa shukrani kwa Superman na kukupongeza kwa jitihada ya kusimamia zoezi zima. Na Finally natamka kua napokea taji ka mikono Miwili toka Kwa Marehemu Regia Mtema; Bahati ilioye ali insinuate katika post moja in a thread ya Super Man kua she proudly gives AshaDii the crown for She deserve to be WoY (LINK). Daima I will be humbled for that. Narudia& . ASANTENI SAAANA.

With Love

Pamoja Saana
AshaDii.

Sweetie my heartful congratulations, zaidi tukiwa ndani.u know what i mean, .japokuwa nina kesi mahakamani umeshinda wewe, 2meshinda wote. plus ODM, family imekua!
 
Habari wana JF…

Hapa jamvini tupo watu wa kila aina na namna… Hio inafanya hili shindano zima liangaliwe kwa kila aina na namna tofauti wa msimamo. Hata hivo what matters kwangu mim ni kwamba it means a lot, yaani saana tu…. kuweza kua nominated, kushindanishwa na a fellow woman I admire and Respect na hatimae kushinda.

Nimebakisha Mwezi na week moja nifunge Mwaka mmoja hapa JF toka kujiunga, Ila I feel like it has always been a part of me hadi siamini kua a Year ago nilikua siijui wala kutokua member wa JF. Nimebahatika kuonana na member mmoja tu wa JF, Ila ni ajabu I feel like most of you are part of my life to the extent hata mtu akipotea saana jamvini baada ya mda najiuliza kama wapo salama for behind the Avatars we have private lives.

Nataoa shukrani zangu kwa woote walohusika katika michakato yooote ya upande wa akina mama na baba. Natoa shukrani zangu kwa wale woote ambao wananikubali na kunipenda. Natoa shukrani zangu kwa Familia yangu yoote ya JF ikiongozwa na Sweetie. Natoa shukrani kwa wale wanaofanya hii Forum kua hapa ilipo kiutendaji ikiongozwa na Invisible na the crew. Natoa Shukrani kwa woote walopiga Kura na kuniwezesha kufika hapa. Natoa shukrani kwa Superman na kukupongeza kwa jitihada ya kusimamia zoezi zima. Na Finally natamka kua napokea taji ka mikono Miwili toka Kwa Marehemu Regia Mtema; Bahati ilioye ali insinuate katika post moja in a thread ya Super Man kua she proudly gives AshaDii the crown for She deserve to be WoY (LINK). Daima I will be humbled for that. Narudia…. ASANTENI SAAANA.

With Love

Pamoja Saana
AshaDii.

aiseee maneno matamu haya,kweli you are blessed my love.congrats love
 
Ni haki yako hiyo, Dada..:yo:... Tunatakiwa tukufanyie 'Party'.

bnimefurai sana adi(WOY):poa:poa:poa:poa

I am so humbled dears.... THANK U.

AshaDii popote pale ulipo. Hebu come this way nikupongeze live. Kuwa WoY wa 2011 ni heshima kubwa kuliko ile ya Asha mwenzako. Ai miin Asharose Migiro. Usingeshinda ningetembea uchi Kariakoo. U deserve my darling shem. U deserve.

Darling shem kwa kunifagilia.....lol.... I am humbled. Naomba nirudie kutoa pongezi kwako pia... Kila la Kheri katika mwaka woote huu ambao utawakilisha... You deserve it too Shem...
 
attachment.php
attachment.php
attachment.php

AshaDii, Kwa heshima na taadhima, tafadhali nakuomba kukutunukia medali moja kati ya hizi, uchague moja, ili hiwe kumbukumbu kwako, na kama utapenda basi litaandikwa jina lako kwenye hiyo utakayo ichaguwa.

Mkuu Superman, kama atakubali kuweka oda, basi tutamtengenezea za kutosha, kuanzia
Gold Medal, silver naBronze.
 
Back
Top Bottom