erick52 Preta kasema chawote sijui kama ni kweli, basi kwa kukusaidia Blaki Womani kamwambia nitonye kuwa umemsahau au akina Boflo wamekuchanga na like zao!!!!!
Jambo moja la maana uliliofanya ni kumtakia Roulette mfungo mwema ni dalili ya ku book kadi ya Iddy lol.
Kwa ujumla nawatakia wote wana JF Iddy njema ambayo inajongea kwa kasi.
ruttashobolwa kamanda wangu naamini hujambo kabisa....!
Naomba nikupe jukumu moja kubwa Kuwalinda shemeji zako wote humu kwa kuwa najua Asprin na platozoom hawakawii kuwakagua na kuwaharibu mind zao!
Please hakikisha wako salama muda wote
Erickb52 asante sana mkuu
Bado anaiba aise
ila sijamkamata nasikia fununu tuu ila namvizia nikimpata talaka yake anayo na za ukoo wake wote
Ila nimemuona mkeo BADILI TABIA akiwa na Asprin leo wanaenda kula kwenye lile genge la mama lishe pale mtaani Preta ukiona hivyo ujue umesghaachwa pamoja na kujitahidi kutoa ofa za nyama choma na bia
Roulette naomba nikupe shukrani zangu nyingi kwa kuiona POST YANGU kuwa ndiyo yenye uzito na kukufurahisha kama ulivyoahidi hadi kutoa Like yako ambayo imenimwagia Rep Power za kutosha.....!
Thanks sana Madame!
Pia naomba kutoa salamu zangu kwa wanachitChat wenzangu wooooote kwa kunikumbuka sana nami pia nawakumbuka na tuko pamoja daima!
Special Greetings kwa Amyner (Love you bby) ummu kulthum Bishanga BADILI TABIA najua ulikuwa umenimiss sana love Remmy Miss you sana
Asprin na Kaizer Judgement Rejao Mtambuzi (Nawamiss kaka zangu) cacico Cantalisia Erotica Zinduna Mwali Catherine YNNAH gfsonwin Madame B The secretary sweetlady beibe nasty King'asti afrodenzi Kongosho Yummy Miss you ladies
Pia Best zangu Mr Rocky Nicas Mtei Smiling Saint (Miss you kijana wangu) Ruhazwe JR Katavi mtu chake PakaJimmy BAGAH TANMO Arushaone Boflo @ hope mambo yenu yako poa...... Preta sijakusahau jamani..Miss you jirani yangu(Tukutane Babylon badae)!
Na wooote ambao sijawataja nawakumbuka sana na tuko pamoja!
Mwisho shukrani tena kwa Roulette ...Big Up sana!
Mfungo mwema!
Hahahahaaaa BADILI TABIA sema tu hapa ndio nishazisomba na hakuna rushwa wala nini!hapa pana harufu ya rushwa....
ninampango wa kwenda takukuru.....mshtakiwa namba moja Roulette na anayefuata Erickb52......
halafu hivi kuna umuhimu gani wa kuwa na vibuzi na vismallhousi mods wakati hamnipi hata like na rep power?
Buchanan hebu come zis way ujieleze, how comes hela ya matumizi hutoi hata like hunigongei na unaninyima rep power?
bila kumsahau Invisible, hivi mbona haunitendei haki? hebu nigongee like na ma-rep nimringishie Erickb52
my hubby wa ukweli Asprin , tafadhali usisome hapa...
Hahahahaaaa BADILI TABIA sema tu hapa ndio nishazisomba na hakuna rushwa wala nini!
Mi ndio mwenye busara zaidi ChitChat lol
Roulette najitahidi sana aisesio kuunga urafiki tu, we ongea point bana...