Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,294
Hongera sana. Mpe jina la Warda.
Faiza ulipotelea wapi dada? Tulikumis sana!!
Hongera sana. Mpe jina la Warda.
Faiza ulipotelea wapi dada? Tulikumis sana!!
Kifungo cha maisha, nikapata msamaha wa mwezi wa Ramadhan wa Rais wa JF. Ana roho nzuri kama Jakaya Mrisho Kikwete.
hongera sana MzeeHabari za hapa Jamvini.
Namshukuru muumba wa mbingu na arthi, mke wangu kipenzi, wardi la moyo wangu, amejifungua leo mtoto wa kike.
Kwa wale ambao bado hawajaoa dirisha liko wazi kufanya "booking".
Tafadhali weka Neno moja la kumtakia kila la jheri ktk hii dunia iliyojaa stress.
NB.
Nimeshamkatia KADI ya Chama Cha Mapinduzi CCM
Asanteni sana.