Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,868
- Thread starter
- #21
Fixed Pointhongrereni sana....
Mungu amlinde mtoto mpya akue kwa kimo na akili.....
Hope mungu amesikia dua zako. Ameen.
Last edited by a moderator:
Fixed Pointhongrereni sana....
Mungu amlinde mtoto mpya akue kwa kimo na akili.....
Habari za hapa Jamvini.
Namshukuru muumba wa mbingu na arthi, mke wangu kipenzi, wardi la moyo wangu, amejifungua leo mtoto wa kike.
Kwa wale ambao bado hawajaoa dirisha liko wazi kufanya "booking".
Tafadhali weka Neno moja la kumtakia kila la jheri ktk hii dunia iliyojaa stress.
NB.
Nimeshamkatia KADI ya Chama Cha Mapinduzi CCM
Asanteni sana.
Mnyamwezi wa UramboHongera sana Mkuu na Mwenyezi Mungu ampe makuzi mema mtoto wenu.
Hapo kwenye Bold vipi ukimpa jina la Anna Makinda? Au haupendi akikua baadae aje kuwa spika wa bunge?
Mfuatiliajikwa vile umesha mpa chama tumpe jina la mheshimia sipika makinda
okay mie nawela booking ila sio muoaji
Hongera sana baba mtoto afu umefanya la mana saaana kumkatia KADİ YA CCM tunamkaribisha UVCCMHabari za hapa Jamvini.
Namshukuru muumba wa mbingu na arthi, mke wangu kipenzi, wardi la moyo wangu, amejifungua leo mtoto wa kike.
Kwa wale ambao bado hawajaoa dirisha liko wazi kufanya "booking".
Tafadhali weka Neno moja la kumtakia kila la jheri ktk hii dunia iliyojaa stress.
NB.
Nimeshamkatia KADI ya Chama Cha Mapinduzi CCM
Asanteni sana.
Hongera sana. Mpe jina la Warda.