Asante Mungu. Alhamdullah

Asante Mungu. Alhamdullah

Heaven on earth Asante sana.
Huyo muoaji lazima
1. Aonyeshe cheti cha kuzaliwa.
2. Aonyeshe salary slip walau ya miezi 3 inayofuatana.
3. Aonyeshe bank statement ya mwaka husika.
4. Asiwe na historia ya kufungwa jale.

Hayo ni baadhi tu, mengine atayajua wakati wa kuchukua fomu.

baba mke mbona una masharti hivyo!!!!!
 
Faiza foxy !??????????????????????????? this is good news....
 
Last edited by a moderator:
Heaven on earth Asante sana.
Huyo muoaji lazima
1. Aonyeshe cheti cha kuzaliwa.
2. Aonyeshe salary slip walau ya miezi 3 inayofuatana.
3. Aonyeshe bank statement ya mwaka husika.
4. Asiwe na historia ya kufungwa jale.

Hayo ni baadhi tu, mengine atayajua wakati wa kuchukua fomu.

5. Lazima awe na kadi ya CCM
 
Hongera brother may Allah give them shifaa mama na mtoto..

Usichelewe kumpeleka madrasa dunia ya leo si salama kwa mtoto wa kike kama haijui dini yake vizuri
 
daaah hongeraaah unankmbsh mbaaal lkn hyo kad duuh,
 

ni handsome boy
ana tabia nzuri,pesa si tatizo
nina uhakika mwali ataenjoy hahaa!!
 
Back
Top Bottom