Asante Mungu. Alhamdullah

Asante Mungu. Alhamdullah

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Habari za hapa Jamvini.

Namshukuru muumba wa mbingu na arthi, mke wangu kipenzi, wardi la moyo wangu, amejifungua leo mtoto wa kike.

Kwa wale ambao bado hawajaoa dirisha liko wazi kufanya "booking".

Tafadhali weka Neno moja la kumtakia kila la jheri ktk hii dunia iliyojaa stress.

NB.
Nimeshamkatia KADI ya Chama Cha Mapinduzi CCM

Asanteni sana.
 
hahaaa Mzee hongera sana.....

kuitwa baba nako kuna raha yake....

kuna mtu alisema mchumba wake bado hajazaliwa
nadhani ndo huyo umemletea ashindwe mwenyewe
kuweka booking mapema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...hongera sana kaka mkubwa...nawatakia afya njema amam na mtoto!!!

Ila mbona unakavisha gamba mapema katoto kaduchu??
 
Hongera sana. Mpe jina la Warda.
 
Hongereni sana Wazazi. A warm welcome to the princess
 
Hongera zako mzee, nilitaka kuweka booking ila hiyo kadi ya chama nimeahirisha
 
hongrereni sana....
Mungu amlinde mtoto mpya akue kwa kimo na akili.....
 
Habari za hapa Jamvini.

Namshukuru muumba wa mbingu na arthi, mke wangu kipenzi, wardi la moyo wangu, amejifungua leo mtoto wa kike.

Kwa wale ambao bado hawajaoa dirisha liko wazi kufanya "booking".

Tafadhali weka Neno moja la kumtakia kila la jheri ktk hii dunia iliyojaa stress.

NB.
Nimeshamkatia KADI ya Chama Cha Mapinduzi CCM

Asanteni sana.

Hongera lkn hapo kwenye red ndo umeharibu! Mpaka afikie umri wa kutambua mema na mabaya hakutakuwa na kitu inaitwa ccm, labda ataisoma kwenye historia. Mama naye hajambo?
 
hahaaa Mzee hongera sana.....

kuitwa baba nako kuna raha yake....

kuna mtu alisema mchumba wake bado hajazaliwa
nadhani ndo huyo umemletea ashindwe mwenyewe
kuweka booking mapema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Heaven on earth Asante sana.
Huyo muoaji lazima
1. Aonyeshe cheti cha kuzaliwa.
2. Aonyeshe salary slip walau ya miezi 3 inayofuatana.
3. Aonyeshe bank statement ya mwaka husika.
4. Asiwe na historia ya kufungwa jale.

Hayo ni baadhi tu, mengine atayajua wakati wa kuchukua fomu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah...hongera sana kaka mkubwa...nawatakia afya njema amam na mtoto!!!

Ila mbona unakavisha gamba mapema katoto kaduchu??
Watu 8 Asante sana wetu.

Kuhusu kadi, nimemchagulia sehemu iliyo sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Habari za hapa Jamvini.

Namshukuru muumba wa mbingu na arthi, mke wangu kipenzi, wardi la moyo wangu, amejifungua leo mtoto wa kike.

Kwa wale ambao bado hawajaoa dirisha liko wazi kufanya "booking".

Tafadhali weka Neno moja la kumtakia kila la jheri ktk hii dunia iliyojaa stress.

NB.
Nimeshamkatia KADI ya Chama Cha Mapinduzi CCM

Asanteni sana.

Hongera sana Mkuu na Mwenyezi Mungu ampe makuzi mema mtoto wenu.

Hapo kwenye Bold vipi ukimpa jina la Anna Makinda? Au haupendi akikua baadae aje kuwa spika wa bunge?
 
Masha Allah, mwenyezimungu amuepusha na husda, hongera wewe na mkeo
 
Hongera zako mzee, nilitaka kuweka booking ila hiyo kadi ya chama nimeahirisha
Jomy
Mapenzi / Upendo ni zaidi ya kadi ya chama. Kuwa na kadi ya chama will make no difference.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom