Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

wanasema wanajitolea hahahahahh
 
Na ww huoni kua serikali ijichunguze kwa kuweka watu wa chadema ndani km kuna uonevu watolewe maana ni kujaza magereza bila maana
 
Mana yake CHADEMA wanaojazana mahakamani wawape maji Mbowe na walinzi wake lakini kwanza yakaguliwe na magereza. HIVYO:-
1. Kazi ya Wanachadema ni kutoa maji
2. Kazi ya Magereza ni kuyakagua maji.
wapi jaji kasema kuwa hayo maji yakaguliwe? rudia kumsoma tena jaji.
 
wapi jaji kasema kuwa hayo maji yakaguliwe? rudia kumsoma tena jaji.
sijui nikusaidie kwa namna ipi- jamani kuna mtu anaweza kunisaidia kumsaidia Issenye hili tatizo alilonalo?
 
hampendi kuambiwa ukweli wapuuzi nyie wacheni jaji awasute mnaupendeleo na haohao ndiyo wameanika maovu yote ya mbowe lazima afungwe tu gaidi mkubwa huyo
Kweli kabisa. Kama vile alivyowasuta Chadema kwa kutowapa chakula siku nzima.

Amandla...
 
Mana yake CHADEMA wanaojazana mahakamani wawape maji Mbowe na walinzi wake lakini kwanza yakaguliwe na magereza. HIVYO:-
1. Kazi ya Wanachadema ni kutoa maji
2. Kazi ya Magereza ni kuyakagua maji.
Haswa. Kama ilivyo ni wajib wa Chadema kuwapa chakula na Magereza kukikagua. Na siku wasipoletwa Mahakamani tuwalaumu Chadema kwa kutotoa usafiri. Na safari ile waliposhindwa kuwaunganisha watuhumiwa ili shauri lifanyike kwa video, ni kwa sababu Chadema Media walibania vifaa na bundle. Chadema kweli hawana utu.

Amandla...
 
Ila hapo wameonyesha ubaguzi wao ka upinzani wangeonyesha mfano wa utu na sio kusingizia status, change ni Mimi, wewe na wengine tu vunje hyo system tuwe na equality
 
Cdm ni saccos iliyochangamka
 
Na hivi kwa nini Chadema hawamfungi pingu Mwenyekiti wao kama wanavyo wafunga wengine? Ovyo kabisa.

Amandla....
 
Na bila shaka Chadema wanazuia watu kuingia Mahakamani kwa sababu hawataki malaika wao aumbuliwe. Ovyo kabisa hawa Chadema.

Amandla...
 
SI NI WALINZI WA MBOWE LAKINI?
1. KWA NINI MNAWABAGUA
2. KAMA NI WAJIBU WA MAGEREZA MBONA WAKILI MSOMI ASIYE NA UTU KIBATALA HAJAGOMA KUENDELEA NA KESI MPAKA WATEJA WAKE WOTE WAPEWE MAJI KAMA GAIDI MBOWE.
 
Ila hapo wameonyesha ubaguzi wao ka upinzani wangeonyesha mfano wa utu na sio kusingizia status, change ni Mimi, wewe na wengine tu vunje hyo system tuwe na equality
Huo utamaduni unaenda way back. Na mbaya unaanza kwenye jamii. Unataka wabadilike? Hii kitu lazima ianzie kwenye jamii.. then serikal yenyewe. Otherwise watu wataona kawaida tu
 
SI NI WALINZI WA MBOWE LAKINI?
1. KWA NINI MNAWABAGUA
2. KAMA NI WAJIBU WA MAGEREZA MBONA WAKILI MSOMI ASIYE NA UTU KIBATALA HAJAGOMA KUENDELEA NA KESI MPAKA WATEJA WAKE WOTE WAPEWE MAJI KAMA GAIDI MBOWE.
Hata mimi nashangaa. Maana wakati ule aligoma kuendelea na kesi mpaka wateja wake wote walipopewa chakula. Kweli hana utu.

Amandla...
 
na unaweza kukuta mbowe akatoka na wao wakazama ndani milele na hakuna mtu atahangaika nao jiulize kabla ya kukamatwa mbowe nani alikuwa anajuwa kuna walinzi wa mbowe wako ndani?
 
Hata mimi nashangaa. Maana wakati ule aligoma kuendelea na kesi mpaka wateja wake wote walipopewa chakula. Kweli hana utu.

Amandla...
kibatala anamaslahi sana na hii kesi mawakili wachumia tumbo wa kuogopa sana na hii atairefusha imalize hata miaka mitatu haiishi ndiyo maana anaibua vikesi vidogo ndani ya kesi kubwa mara kwa mara
 
Huo utamaduni unaenda way back. Na mbaya unaanza kwenye jamii. Unataka wabadilike? Hii kitu lazima ianzie kwenye jamii.. then serikal yenyewe. Otherwise watu wataona kawaida tu
Chadema sio watu. Hawaoni CCM walivyokataa kufanya mikutano ya hadhara mpaka vyama vyote vitakapo ruhusiwa? Au wakina mama wa CCM walivyofuta jogging yao ya wikiendi hii kuonyesha solidarity na Bawacha ambao walizuiwa kufanya jogging wiki iliyopita. Ni utamaduni mbaya sana huu wanaoendeleza Chadema.

Amandla...
 
kibatala anamaslahi sana na hii kesi mawakili wachumia tumbo wa kuogopa sana na hii atairefusha imalize hata miaka mitatu haiishi ndiyo maana anaibua vikesi vidogo ndani ya kesi kubwa mara kwa mara
Ni kweli kabisa maana Kibatala ndio mwenye kuamrisha kesi iendelee. Jaji yupo pale kama boya, maamuzi yote anafanya Kibatala. Kama alivyoruhusu watu waingie Mahakamani. Njaa mbaya sana.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…