Napenda kutoa shukrani za pekee kwa wana IGUNGA wote kwa ushirikiano wao,na kwa kutupigia kura nyingi. KURA ZENU HAZIJAPOTEA ZIMETOA MWANGA KWA WATANZANIA.Tumalize kazi ya kusambaza ujumbe kwa vijiji vyote TANZANIA. Umoja wetu ndio Msingi wetu.
Maneno yake kwa watanzania kupitia facebook wall page yake leo:
· Dr. Willibrord Slaa

Na wewe uwe unasoma sio unakurupukia tu kuandika JF Mh Mbowe kasema hapingi matokeo anapinga utaratibu mzima wa upigaji kura unavyoendeshwa na tume yenu CCM amaaaa
Maneno yake kwa watanzania kupitia facebook wall page yake leo:
· Dr. Willibrord Slaa
Napenda kutoa shukrani za pekee kwa wana IGUNGA wote kwa ushirikiano wao,na kwa kutupigia kura nyingi. KURA ZENU HAZIJAPOTEA ZIMETOA MWANGA KWA WATANZANIA.Tumalize kazi ya kusambaza ujumbe kwa vijiji vyote TANZANIA. Umoja wetu ndio Msingi wetu.
mkubwa penda kukubaliana na ukweli hata kama unauma utkusidia kujua wapi ulipojikwaa kauli ya DR inadhihirisha waz kuwa kakubaliana na matokeo na ndio maana kasema inabidi wafanyekazi ya ziada vijijni, huna haja yakutumia lugha ya jazba politics iz not like that
Asante sana Mzee Slaa tuko pamoja siku zote .Kwa pamoja tutaweza