Baba V hata ukimweleza unapoteza tu muda
si unaona mtu anakuwa nyuma ya nondo kila siku
wala habadiliki,
eti anipe pesa, Baba V unazo pesa ngapi za kunipa????
Hujamuelewa kitu gani na wewe?
Raha ya Umbea uwe na sikio la kudaka habari fasta. Paloma kaachwa na sosoliso kisa Mentor kaenda nae PM. sosoliso sa hvi yuko na mdogo wangu YNNAH.
Dada dada dada dada yangu Madame B, ndoa yangu mwenzio jamani, huyo sosoliso alikuja tu huku Lushoto kwa shuhuli zake na akaondoka salama salimini. Dada mdogo wako nampenda Judgement kutoka rohoni mwangu.

Mdogo wangu YNNAH, ungesubiri ningekutafutia mwanaume asiepiga, Judgement mkorofi sana mpaka mdogo wangu beibe nasty kampa talaka.
Ila siku akikupiga tu, nitwangie simu nije kumuonesha kazi.
Asiniumizie wadogo zangu.
hiyo yarabi toba na tobo ni yako wewe shoga sikutegemea...........hata wewe shoga yangu hata weweeeee!!!! Eeuphh!!! halafu nasema nna shoga mwenyewe kumbe................... hupendi kuniona nnavyopendwa na mai ozzbend sosoliso!!!! wakati mie nilisherehekea wewe ulivompata shem wangu wa ukwehe Ben sanane na kiplagati26!!!
sasa just FYInfo sosoliso hajui kuacha!!!! na wala sio pendapenda kama wabwanga zako!!!:rockon:
Hujamuelewa kitu gani na wewe?
Raha ya Umbea uwe na sikio la kudaka habari fasta. Paloma kaachwa na sosoliso kisa Mentor kaenda nae PM. sosoliso sa hvi yuko na mdogo wangu YNNAH.
Madame B umetumwa baada ya wale wengine kushindwa eeh..! yaani nimuache Paloma kisa PM ya Mentor.. mtoto mdogo sana huyu mie hanisumbui.. Kwa taarifa yako YNNAH ni shem wangu kwa Judgement (japo haeleweki siku hizi huyu ndugu yangu mwenyewe).. Ushanifaham eeh..

umeona eeeenh.......... Mentor embu tuma hiyo PM manake kwanza bado sijaipata!!! Madame B mapenzi kitu ingine mdogo wangu............hujui mimi na sosoliso tumeshibana vipi!!!! embu chutama uombe radhi kwa kujatibu kuchafua hewa humu!!! sosoliso bebiii its lunch time......pale pale pa jana, si ndio mpenzi!!!
Mamndenyi achana na Baba V ana mambo yake ya siri sasa lazima achongee watu ili tuyafiche Mi niko na wewe hapa yeye anasema toka niondoke ijumaa kuu Mamndenyi hebu mweleze pasaka tulikuwa wapi ndo ajue Madame B mkubalie kijana hapo juu bana japo kamaliza elimu ya Mulugo ila inaonekana anajiweza
Dada dada dada dada yangu Madame B, ndoa yangu mwenzio jamani, huyo sosoliso alikuja tu huku Lushoto kwa shuhuli zake na akaondoka salama salimini. Dada mdogo wako nampenda Judgement kutoka rohoni mwangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.