Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,077
Nzuri tu shemeji yangu niliyekukataa wewe na mdogo wako.
hujamboooooooooooo..........!!!!!!!!!!!!!!!
Mie niko hoi.
![]()
Nimejaa nini?
Nzuri tu shemeji yangu niliyekukataa wewe na mdogo wako.
hujamboooooooooooo..........!!!!!!!!!!!!!!!
Mie niko hoi.
![]()
Sawa dada nimekusikia, akinipiga nakwambia.Mdogo wangu YNNAH, ungesubiri ningekutafutia mwanaume asiepiga, Judgement mkorofi sana mpaka mdogo wangu beibe nasty kampa talaka.
Ila siku akikupiga tu, nitwangie simu nije kumuonesha kazi.
Asiniumizie wadogo zangu.
itabidi nikaongea na mkuu wenu akupange jumla hapo maana imekusaidia sana kuepuka ban........Niko poa mama.., mambo ni aje lakini..!? nimepangiwa lindo kwenye geti lenye vibaka wengi ndo maana nashindwa hata kuchitchatka shem... hope pasaka ilikuwa mwaaa...!!
itabidi nikaongea na mkuu wenu akupange jumla hapo maana imekusaidia sana kuepuka ban........
Madame Be mbona ukiwa na mfuko uliotuna huna haja ya kuhangaika aise utampata tuu plus nanihii ya kama mandingo hapo huna ubishi nitonyeNina mpango wa kumchumbia Madame B yaani natamani nimtie mikononi
Mamndenyi mimi mzima aiseMr Rocky
mzima wewe
nitonye niombe radhi aise mimi nina heshima zangu bana sio kama Erickb52 wala Arushaone au Vin Diesel wazee wa penda pendaHivi ni kweli aliyoyasema Mr Rocky? Huyu tapeli muimba kwaya
Nina mpango wa kumchumbia Madame B yaani natamani nimtie mikononi
Mr Rocky............ Mjini Pesa, Heshima kijijini.
Wote ni walewale kujificha kwenye mwamvuli wa kwaya ili kuendeleza uchafu wakonitonye niombe radhi aise mimi nina heshima zangu bana sio kama Erickb52 wala Arushaone au Vin Diesel wazee wa penda penda
Wote ni walewale kujificha kwenye mwamvuli wa kwaya ili kuendeleza uchafu wako