Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
Yaani kaka-binamu Mr Rocky, nitonye huyo aniache kabisa.
Hela zake za mawazo ataniweza mie
Last edited by a moderator:
Pesa kitu gani bhana mi si hofii kufilisika njoo tuponde raha mtoto wa kipwani weye
Nitakufanyia kale ka mchezo unakopendaga
hapa ndo mahala pake maneno yote utayamaliza maana gwaride lake si mchezo
Natamani nikutie mkononi wewe mpaka uombe pooUtajibeba........ huambulii kitu, nalala na jeans![]()
Acha uwongo unataka kunipeperushia ndege wangu kwa taarifa yako mda si mrefu ninaenda kula good tyme naye