Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
ya rabbi tobaaaaaaaaaaaaa
Umeshaenda uzaramon? Ukrud unambie.
Dompo! ila kwa vile hutumii nimekununulia vimto!!!
We acha tu
Yule Bwana harusi kumbe alishaoa miaka karibu 7 iliyopita, mke kashtuka kuwa mume anataka kuoa tena,....... asitie timu Chalinze nini,
Watu tushavaa sare zetu,.....jungu la Ubwabwa liko jikoni afu aje atutibulie shughuli.......... thubutuuuuuuuuu.
Alichezea kichapo kutoka kwetu mashoga wa bibi harusi mtarajiwa mpaka alijuta kwa nini alikuja.
Chezea watemi sie.
Ila Kaka ukisikia Binamu yako nipo Oysterbay Police usishangae, maana mke anatusak mji mzima.
toko liyako
Duh! Yamekuwa hayo? Poleni
hahahhaaaaaaaaa........tusimvalie kyupi kabisa huyu.......tunam'betulia rinda uone jinsi jiuso lake litavokuw alimelowa....:boink::msela:
hehehehe................
Maneno yangu ni kama Skintait,.......... ukiona inakubana kavue.
CC: tena sweetlady.
........... Mamndenyi, Paloma....................... Msuto hukuuuuuuuuuuuuuuuuuu...............
Wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Heheheheeeeeeeeee, halooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!11
![]()
Haya haya haya ................Hamshahamshaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
![]()
We Dagobert tebily umeshapata mchumba?
Ukishapata utuambie ili tusitishe Matangazo yetu.
Maana wadhamini tunaendelea kurusha matangazo hapa.
Haya.................. Mamndenyi, Paloma............ tuendelee
Madame B daaah
mbavu zangu mie
kasutwa kawa mdogo kama priton
na bado amezidi sana kila leo ............penda penda
yanamhuuuuuuuu...........