Arusha vs dar es salaam

Arusha vs dar es salaam

hapa ndo mahala pake maneno yote utayamaliza maana gwaride lake si mchezo
Natamani nikutie mkononi wewe mpaka uombe poo

SIDANGANYIKI NG'OO

Madame B ujue nakuona
na huo ukaka binamu wako
bado unanipa msongo wa mawazo.

Copy: Mr Rocky

Khaaaaaa!!!!!!!!!!
Ina maana hatuaminiani.
Nitambeba kweli mimi.


hapo Madame B sitaki kupasemea maana sweetlady aliniambia hayoo hayoo
:eyeroll1:
:eyeroll1::nono: Mamndenyi :nono::nono::nono::nono::nono:

........:A S angel::A S angel::A S angel::A S angel::A S angel:...........

Acha uwongo unataka kunipeperushia ndege wangu kwa taarifa yako mda si mrefu ninaenda kula good tyme naye

Hahahaha........... unajipa moyo

Mkuu nitonye hapo ukikabidhi funguo za Vogue kwa Madame B ushampata tayari

kaka hebu wape Mkwara hao wanaonifata fata.


acha wivu, au nifanye kweli?
 
@Madame B kama una ubavu fanya jaribu tuone.

acha wivu, au nifanye kweli?
[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom