Halafu mbona listi ni ndefu vp kutakuwa na usalama kweli?
Madame B ndoa yako na nani?
kopi: kiplagati26........naomba kadi ya mwaliko kwenye swearing selemoni ya uhuru.
we ndo ulifichwa Naivasha kabla na baada ya uchaguzi,vipi za nangaranayuki?
Chezea watu wanaokaa kufanya 'nothing' !!! hehehe...
NB: Check PM
khaa! Ukija niletee mafuta ya masaji ya alizeti!
Swadakta mpendwa...habari ya wewe, nimekumisije!
Mwamrrrriiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeeeeeee
we ulivyorudi uliniletea nini????