Kabla muda unavyozidi kwenda, Arusha Mjini inaweza kubadilika na kuwa "Kosovo"!
Watu wamezunguuka hili jengo la kuhesabia na kutangaza matokeo na nina wasiwasi kuwa, kama kutakuwa na "uchakuchuaji" yale yaliotokea Kenya tunaweza kuyashuhudia muda sio mrefu::: Huu wingi wa watu hauwezi kudhibitiwa na "vyombo vya usalama" kama kuna ghasia ikitokea - most likely "vyombo vya usalama" wanaweza kutumia silaha za moto:sad: