Kama ya Martin Luther King "I have a dream"yalikuja hudhihirika.... Tunasubiri na haya ya Lema na wanaharakati wengine...Mabadiliko ya Tz yataanzia Arusha
umenena mkuu.Huyu OCD nataka kumuona tu sura yake,jamani mwenye picha yake atowekee humu tumjue,maana ujinga anaoufanya umepitiliza
Ngongo Masaburi,
Leo umeanzisha THREADS ngapi humu kuonyesha hali ni shwari Arusha?.
Niamini, kama upo kazini basi hiyo kazi huiwezi, maana unajichanganya na unapoteza credibility yako humu. Kaa kimya tu kama sie tusiokua na upande wowote.
Alamsik
Heshima kwenu wanabodi.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limerejesha usafiri wa daladala katika hali ya kawaida baada ya wamiliki na madereva wa daladala kuhakikishiwa usalama wa magari yao na abiria.Daladala nyingi ziliingia kwenye mgomo kwa kuogopa kuharibiwa na wapiga debe na bodaboda.
Nalipongeza jeshi la polisi kwa hatua walizochukua ila nawapa lawama kidogo kwa kuchelewa kuchukua hatua hizo mapema.
Ngongo unakiherehere kama kuku! Kumbe una akili za kuunga unga! umeshasahau kuwa ulipost thread kutuhabarisha kuwa ule Mgomo wa Dala dala, taxi na bodaboda Umeshindwa kufanyika kama ilivyotarajiwa?
Unaboa sana!
Hapo Jabulan near to play group unaona daladala kwa darubini au unazani tupo ushagoo??Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata mmoja.
mkuu Ngongo
unajishushia hadhi yako hapa JF
sikutarajia kabisa
Hii move ilitakiwa kuanza asubuhi wameacha wapiga debe wafanye watakavyo.
Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata mmoja.
Mkuu Ngongo,
Wewe kati ya watu makini sana humu JF.
Nakuheshimu sana kwa kuwa mkweli na muwazi..
Kwa hiyo Arusha hakuna mgomo wowote?
Huyu OCD nataka kumuona tu sura yake,jamani mwenye picha yake atowekee humu tumjue,maana ujinga anaoufanya umepitiliza
Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata mmoja.
Huyu OCD nataka kumuona tu sura yake,jamani mwenye picha yake atowekee humu tumjue,maana ujinga anaoufanya umepitiliza
Mkuu LAT siungi mkono mgomo kwasababu hauna uhusiano wowote na Godbless Lema kukaa gerezani badala yake unawatesa watumiaji wa usafiri wa daladala ambao kwa kiasi kikubwa ni watu wa kipato cha chini na kipato cha kati.
Kama Lema angenyimwa dhamana hakika nisingepinga njia zozote kwa nia ya kushinikiza serekali imwachie huru lakini jamaa kaamua kwa hiyari yake mwenyewe kukataa dhamana tunakimbilia mgomo.
Afadhali tungeshinikiza mashangingi ya serekali yasionekane barabarani kuliko kukimbilia usafiri wa wanyonge.
Hadhi ya JF ya kuunga mkono ujinga kwa kweli siitaki kabisa.LAT hata kwa jambo dogo kama hili unashindwa kupambanua ?.
Napendekeza Arusha ijitenge na Tanzania! Ni bora Tujitangazie Uhuru wetu tumechoka kunyanyaswa!
Mtu kajipeleka mwenyewe mahakamani halaf watu vihelehele ati wanagoma.sasa wanamgomea nani?.Tuzungumze ukweli tukiambiwa chagueni wabungë wa CCM tunakuwa na viburi,sasa hawa wehu tunaona madhara yake.tangu tumchague huyu jamaa hapa Arusha amekuwa kituko.hajafanya lolote la kutuletea maendeleo zaidi ya migogoro na vifo.tunamshukuru AFANDE ZUBERI kumdhibit la sivyo wizi wa magari ungekua umetamalaki hapa Arusha.