Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Mkuu jmushi1.

Mkuu ninaweza jadiliana na wewe kwakuwa najua uwezo wako ni wajuu sana.

[1] Mkuu jmushi,Lema kashtakiwa Mahakamani kwa makosa ya kufanya maandamano na mkutano bila kibali.

[2] Mkuu jmushi,Lema kapewa haki ya dhamana kosa lake lina haki ya dhamana kagoma kutumia haki ya dhamana.

Nianze na hili la kwanza nina amini mashtaka dhidi ya Lema na wapenzi wake yangepanguliwa mahakamani bila shida yoyote kwasababu mazingira kwamba alifanya maandamano bila kibali ni rahisi sana kujitetea ila hili la kufanya mkutano bila kibali sijui mazingira yakoje ingawa pia kwa nafasi yake ya ubunge siamini kama atakosa utetezi.Kwa ujumla suala lote lingemalizwa kimahakama zaidi kuliko kisiasa.

Nije kwenye suala la pili mheshimiwa mbunge kapewa dhamana kakataa kabisa,kaamua kwa hiyari yake kwenda magereza sijui anataka kufungua matawi huko gerezani au anatafuta wanachama wapya kwa kweli anajua mwenyewe na wapambe wake.Sina tatizo na uamuzi wa Lema kukataa dhamana hata kidogo anajua anachotaka yeye,chama chake na wafuasi wake.

Tatizo langu nikuhamishia hili tatizo kwa wananchi tena wananchi wa kipato cha chini.Mwananchi huyu tayari ana mzigo mkubwa vyakula vimepanda bei,vifaa vya ujenzi ndiyo usiseme,thamani ya shilingi yetu kila kukicha inazidi kushuka thamani dhidi ya dola bado wanasiasa wenye kufikiria maslahi yao tu wanaona ni vyema kabisa kushawishi,kushinikiza na kusimamia zoezi la mgomo wa daladala ?.Tukiendelea na mtindo huu iko siku akigombana na mke wake mtashinikiza maduka yote yafungwe.

Ngongo,mimi nilidhani bifu lako ni kwa Lema tu,kumbe ni kwa harakati nzima za kutaka mabadiliko?

Yani ni sawa na kutaka kuwanyima watu wasile chakula kwasababu tu hukushiriki kukipika?Unataka wafe njaa?

Nadhani umenielewa....Kuwanyima watu mabadiliko kwasababu ya Lema?Kwa hapa JF ninakumbuka kuwa wewe ni NCCR,na ukweli bifu lako na Lema ni linanikumbushia bifu la Mrema na Ndesamburo.

Mkuu ukimpinga Lema,hilo hakuna atakayeingilia,lakini unapokuwa against mabadiliko na huku ukijiita mependa mabadiliko,then ni sawa na usaliti si tu kwa wenzako,bali hata kwa nafsi yako.

Nina uhakika kabisa kuwa kuna namna ungeweza kuplay your game smart,hata hivyo hakuna anayeweza kukupangia,only ushauri tu mkuu.

Style ya bora tukose wote siyo nzuri especially kama madhumuni ni kumwodoa mkoloni mweusi.

Ugombeaji wa fito kwenye ujenzi wa nyumba moja kunaweza kuleta madhara.
 
kusudi la lema ameandika kwenye waraka wake na maswali yamejibiwa yote.angeshinda mahakamani then? Kila siku uonevu hauishi ndugu inachosha.
 
Peoples Powers come on guys we can do this Viva Arachuga, the home of Tanzania resource where have benefits with the whites 🙂
 
Ngongo,mimi nilidhani bifu lako ni kwa Lema tu,kumbe ni kwa harakati nzima za kutaka mabadiliko?

Yani ni sawa na kutaka kuwanyima watu wasile chakula kwasababu tu hukushiriki kukipika?Unataka wafe njaa?

Nadhani umenielewa....Kuwanyima watu mabadiliko kwasababu ya Lema?Kwa hapa JF ninakumbuka kuwa wewe ni NCCR,na ukweli bifu lako na Lema ni linanikumbushia bifu la Mrema na Ndesamburo.

Mkuu ukimpinga Lema,hilo hakuna atakayeingilia,lakini unapokuwa against mabadiliko na huku ukijiita mependa mabadiliko,then ni sawa na usaliti si tu kwa wenzako,bali hata kwa nafsi yako.

Nina uhakika kabisa kuwa kuna namna ungeweza kuplay your game smart,hata hivyo hakuna anayeweza kukupangia,only ushauri tu mkuu.

Style ya bora tukose wote siyo nzuri especially kama madhumuni ni kumwodoa mkoloni mweusi.

Ugombeaji wa fito kwenye ujenzi wa nyumba moja kunaweza kuleta madhara.

Kumbe gongo ni NCCR, kumbe ndo maana anashindana na Lema. Mkuu ngongo Lema humwezi alishakuzidi kimo sasahivi utaishia kubwabwaja hapa JF lakini jamaa yuko mbali hutamweza tena subiri 2015 kama unaubavu umface mkiwa pamoja na wenzako waliohamia kwenu juzijuzi baada ya kuchezea shilingi kwenye tundu la choo ikatumbukia. Vipi Rasta amesharejea toka USA na amerudisha fedha za yule mwanadada?
 
Sheria zipo. CDM ni chama chenye wanasheria wazuri. Chadema ni chama chenye wasomi wengi.
Sidhani kama hata robo ya wanachama wasomi wa chadema wanasapoti huu upupu anaoufanya Lema
Kweli wewe ni mtumwa wa fikra ambae hakuna wakukusaidia.
 
morden politics kwa tanzania ndo lema anazianzisha.
Wanaolalama kuhusu yeye wanalao jambo.mana ndo muda unaruhusu afanye hivyo.
 
Mkuu jmushi1.

Mkuu ninaweza jadiliana na wewe kwakuwa najua uwezo wako ni wajuu sana.

[1] Mkuu jmushi,Lema kashtakiwa Mahakamani kwa makosa ya kufanya maandamano na mkutano bila kibali.

[2] Mkuu jmushi,Lema kapewa haki ya dhamana kosa lake lina haki ya dhamana kagoma kutumia haki ya dhamana.

Nianze na hili la kwanza nina amini mashtaka dhidi ya Lema na wapenzi wake yangepanguliwa mahakamani bila shida yoyote kwasababu mazingira kwamba alifanya maandamano bila kibali ni rahisi sana kujitetea ila hili la kufanya mkutano bila kibali sijui mazingira yakoje ingawa pia kwa nafasi yake ya ubunge siamini kama atakosa utetezi.Kwa ujumla suala lote lingemalizwa kimahakama zaidi kuliko kisiasa.

Nije kwenye suala la pili mheshimiwa mbunge kapewa dhamana kakataa kabisa,kaamua kwa hiyari yake kwenda magereza sijui anataka kufungua matawi huko gerezani au anatafuta wanachama wapya kwa kweli anajua mwenyewe na wapambe wake.Sina tatizo na uamuzi wa Lema kukataa dhamana hata kidogo anajua anachotaka yeye,chama chake na wafuasi wake.

Tatizo langu nikuhamishia hili tatizo kwa wananchi tena wananchi wa kipato cha chini.Mwananchi huyu tayari ana mzigo mkubwa vyakula vimepanda bei,vifaa vya ujenzi ndiyo usiseme,thamani ya shilingi yetu kila kukicha inazidi kushuka thamani dhidi ya dola bado wanasiasa wenye kufikiria maslahi yao tu wanaona ni vyema kabisa kushawishi,kushinikiza na kusimamia zoezi la mgomo wa daladala ?.Tukiendelea na mtindo huu iko siku akigombana na mke wake mtashinikiza maduka yote yafungwe.
Machafuko ya Arusha Part II - YouTube
Mkuu ebu cheki hii hapo juu, unaona polisi wanavyojiona wako juu ya sheria?

Yani hawafikirii kabla ya ku act ama kutoa amri,na kwahiyo wanapotoa amri ama ku act,wanashindwa ku retreat kwasababu wataonekana wao ni weak.

Hivyo swala la kutafakari kabla ya kuchukua maamuzi ya kukurupuka pengine lingewasaidia sana polisi.

Lakini kwasababu ccm wameshawajengea utaratibu wa kupandishwa vyeo kama wakiuwa ama kunyanyasa raia,basi msishangae kuona polisi waki act hivyo.Ningependelea uwe umeona hilo.

Kwahiyo tatizo linaanzia kwenye maamuzi yao.Wana haki gani ya kumfanyia mbunge haya?

Mbona sijawahi kuona wabunge wa ccm wakifanywa hivyo?

Ok,huyo nimbunge,vipi kuhusu wananchi wa kawaida?

Mkuu hivi unajuwa nchi yetu imeoza?Nashangazwa sana.What is the problem?

Ni vyema mkamalizana na lema kwasababu tofauti zenu hazijengi.Ni ushuri tu,kwasababu the cause is noble.
 
Kumbe wakazi wa Arusha hawana akiti timamu. Inakuaje wagome kwa ajili ya mtu aliyejipeleka jela mwenyewe.
 
Kumbe wakazi wa Arusha hawana akiti timamu. Inakuaje wagome kwa ajili ya mtu aliyejipeleka jela mwenyewe.

Si ajabu mtu asiye na akili kumuona mwenye akili hana akili. Mwendawazimu anawaona watu wazima ndio wandewazimu. Jipime.
 
leo nimeamini jf kuna watu wasio penda kueleza ukweli mambo fulani mpaka sasa hivi bado sijaelewa na ni mkweli nani ni muongo..
leo asubuhi mawingu fm wamesema kuna vurugu na daladala hazifanyi kazi sasa hv watu wasema zinafanya kazi..

mungu isaidie miafrika ya tz..

Shetani ndio baba wa waongo. Ukichunguza sana atagundua ni washirikina.
 
Hakuna waliogoma ni kikundi kidogo tu cha wahuni ndiyo walikuwa wanahamasisha watu kugoma

Unachosema mkuu ni sahihi, HAKUNA MGOMO WALA NINI! mimi nimetoka Dar na basi la Osaka ilikuwa niishie Moshi lakini nimeamua nipitilize mpaka Arusha, na hivi nipo hapa Arusha watu wanendelea na shughuli zao kama kawa. Pikipiki viford vipo bararani kama kawa wala jina la mh. Lema sijamsikia mtu yeyote akilitamka. Mtunzi na wachangiaji wa thread hii bila shaka hawapo Arusha wanabuni tu. Mtashabikia violence hata lini?
 
inawezekana kabisa kuna memba niliwahi kuwadharau naomba radhi, ila ngongi nimemdharau mazima
 
Si ajabu mtu asiye na akili kumuona mwenye akili hana akili. Mwendawazimu anawaona watu wazima ndio wandewazimu. Jipime.

HAKUNA MGOMO WALA
NINI! mimi nimetoka Dar na
basi la Osaka ilikuwa niishie
Moshi lakini nimeamua
nipitilize mpaka Arusha, na hivi
nipo hapa Arusha watu
wanendelea na shughuli zao
kama kawa. Pikipiki viford
vipo bararani kama kawa wala
jina la mh. Lema sijamsikia mtu
yeyote akilitamka. Mtunzi na
wachangiaji wa thread hii bila
shaka hawapo Arusha
wanabuni tu. Mtashabikia
violence hata lini?
 
Kwa hiyo unataka kulazimisha Arusha kuna mgomo?

HAKUNA MGOMO WALA
NINI! mimi nimetoka Dar na
basi la Osaka ilikuwa niishie
Moshi lakini nimeamua
nipitilize mpaka Arusha, na hivi
nipo hapa Arusha watu
wanendelea na shughuli zao
kama kawa. Pikipiki viford
vipo bararani kama kawa wala
jina la mh. Lema sijamsikia mtu
yeyote akilitamka. Mtunzi na
wachangiaji wa thread hii bila
shaka hawapo Arusha
wanabuni tu. Mtashabikia
violence hata lini?
 
Kwenda Vasities sio maana yake muwacolonize kiakili wenzi wenu wapiga debe wasioenda shule kwa kuwatapeli wagomee kazi yao wenyewe na wana wao, huku nyie mnakinga buum. Gomeni kuchukua boom ili serikali imwombe mh. Lema au Lebmann akubali dhamana!
 
Kigumu Ccm,lakini jamani eleweni Huyu Zuberi ni mtu mdogo sana inashindikana nini kumaliza kiburi aliyonayo?
 
Arusha imeingia doa kubwa mara baada ykuwepo kwa mgomo wa daladala ambao umedumu kwa masaa sita kutokana na kile kinachodaiwa kuwa Chadema wamekuwa wakinyimwa haki za msingi .

Mgogoro huo ambao umesababisha madhara makubwa kwa mkoa wa Arusha hasa Leo kwa kuwa madereva wa daladala nao walisitisha safari zao za kubeba abiria kwa muda hali ambayo ilizua tafrani kubwa sana ndani ya jiji.
Bw. Ephata Nanyaro ni mwenyekiti wa vijana kwa mkoa wa Arusha ambapo alisema kuwa hali hiyo ni mfano tu lakini itadumu endapo kama serikali itaendelea kuwapuuzia masuala yao mbalimbali ambayo wanataka yatekelezwe.
Aidha Bw Nanyaro aliendelea kwa kusema kuwa mara nyingi wamekuwa wakitoa maalamiko yao lakimi yamepuuzwa kwa kiwango cha hali ya juu amba moja ya hilo ni pamoja na mgogoro baina yao na mkuu wa polisi wilaya ya Arusha bwa zuberi Mwombeji.
Nanyaro alisema kutokana na kupuuzwa kwa madai yao mbalimbali kumeasabaiusha hali ya leo ya jiji la Arusha kukosa usafiri ambapo magari ya kubebea abiria katika kona zote nayo yaligoma kufanya kazi kwa mashinikizo hayo.
Mkuu wa Polisi wa Wilaya ya Arusha Bw Mwombeji alipoulizwa juu ya tuhuma hizo ambazo zinaelekezwa kwake na chadema alikana juu ya shutuma hizo na kudai kuwa yeye hayupo hivyo "ieleweke wazi kuwa mimi ni mtu mzima na kamwe kinachosemwa na Chadema si cha kweli ila wana mpango wa kunichafulia jina tu hamna kitu kingine"alisisitiza Bw Mwombeji
Kutokana na hali hiyo Daladala za mji wa Arusha hazikuweza kufanya kazi na kutoa huduma za usafiri ambapo mgomo huo wa kushinikiza kuonewa kwa chama hicho na mbunge wa Arusha mjini Bw Goodbless Lema ulidumu kwa zaidi ya masaa sita huku daladala ambazo zilijaribu kufanya shuguli zake ziharibiwa na kuvunjwa vibaya na baadhiya watu ambao wanashinikiza juu ya kumkataa OCD na kupinga juu ya kuonewa.
Hata hivyo taarifa mbalimbali zizlizotolewa na na baadhi vyombo vya habari zilisema Mbunge wa Arusha mjini Bw. Godbless Lema amekwenda Rumande, mara baada ya kukataa dhamana hukiu wenzake wakiachiwa kwa dhamana katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kuitisha maandamano bila kibali cha Polisi
Na Gladness Mushi
 
"kumkataa OCD" ocd hakataliwi kwa kuwa sio politician. Sheria ya tz kuhusu viongozi inasema, kiongozi yeyote akitembea kwa miguu akiambatana na watu wengine wasiopungua watano huku waki argue political issues watakuwa wanaandamana na lazima wawe na kibali.
 
Back
Top Bottom