Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Maneno mazito sana Mkuu ritz.

Haya maneno ni ya ujenzi, ni kweli kabisa kwani Lema nani kampeleka gerezani? Kuna vitu vya msingi watu wanaweza kuungana kufanya mgomo..

Tugome kupinga kushuka kwa shilingi yetu, tugome hospitali hazina madawa, tugome kupanda kwa bidhaa..

Sio tugome sababu Lema kakataa kukubali dhamana ambayo ni haki ya mshtakiwa
 
Napata kinywaji Jabulani Park muda huu daladala za Sekei zinafanyakazi kama kawaida zipo nne kwenye foleni zina subiri abiria hakuna polisi hata bmmoja.
Hiyo route ya Sekei imeanzishwa lini? Hata route huzijui na ina mstari wa rangi gani?
 
Mtu mwenyewe unaishi UK unashangilia mgomo wa daladala Arusha wapi na wapi ?.Hivi unajua shida za wananchi wa kipato cha chini ?.Sukari bei juu,mafuta bei juu,mchele bei juu,shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka thamani bado unataka kuongeza mzigo wa usafiri ndio usikie raha ?.Unajua gharama za usafiri kwa siku kwa mfanyakazi kwa siku 300 x 2 = 600 x 30 18,000 hii ni kwa wale wanaotumia usafiri wa karibu na ambao hawapandi mabus mawili ili kufika eneo analofanyia kazi.Unaposhangilia daladala kugoma maana yake 1,500 x 2 = 3,000 x 30 = 90,000/=

Ngongo Masaburi,

Wanaonijua kimaandishi humu wapo wachache na ni wakongwe wa kuchangia kwenye internet kupitia forums mbalimbali. Angalia nilijiunga lini humu.
Heshima yangu ipo pale pale, mie sio Magwanda wala magamba. Kwa ukweli sizichukii zote na sizipendi pia hivyo vyama.
Mie naamini kwenye UTAWALA WA WATU. Kwakua huelewi basi angalia mfano wa utawala wa Kiswiss.

Wewe ndo unahangaika.
 
Maneno mazito sana Mkuu ritz.
Wewe akili zako ndogo na kwasababu wewe ni gamba la CCM,huoni dhuruma inayofanywa na serikali yako ya CCM kuwagandamiza wale wote ambao wanawatetea wananchi na kuwaelimisha juu ya dhuruma za CCM na uongozi mbovu ambao unasababisha hata maisha kuwa magumu kama hayo unayoyasema ya kupanda kwa dola,bidhaa kuwa juu,hayo yote yanasababishwa na dhuruma mbaya ya CCM,Lazima watu wajitoe muhanga na wawe mfano kama LEMA ili waweza kuandamana hata kupinga kupanda kwa dola na kuwa na hospitali mbovu,na swala la msingi haki ni kitu muhimu sana why iwe Arusha kila siku watu wanaonewa,Arusha CCM inalazimisha hatakiwi hata kidogo na wananchi.
 
leo nimeamini jf kuna watu wasio penda kueleza ukweli mambo fulani mpaka sasa hivi bado sijaelewa na ni mkweli nani ni muongo..
leo asubuhi mawingu fm wamesema kuna vurugu na daladala hazifanyi kazi sasa hv watu wasema zinafanya kazi..

mungu isaidie miafrika ya tz..
 
Dedam; Ritz na Ngongo mnaipenda CCM kupita nafsi zenu. Januari 5; 2011 Afande Zuberi aliamuru askari wawatwange raia risasi za moto na kuua watu. Iwapo OCD Zuberi anasimamia utawala wa sheria, mbona hakuwakamata wauwaji au kufanya uchunguzi? Aombe 2015 kusitokeee mabadiliko maana atajiotwanga risasi ya kichwa kabla ya kukamatwa kujibu madudu yake anayoendelea kuyatekeleza kufurahisha "wachache" kwa manufaa ya "wachache". Freedom is coming soon......Amandlaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimetokea mahabusi muda hu kumuona Mh lema,leo ilikuwa siku ya kuwatembelea mahabusi,watu walikuwa ni wengi sana,kweli lema ni rais wa Arusha,ukombozi hakika umefika,CCM na watoto wao wanaopeana mashavu ya kazi wakati ni vilaza muda wao wa kupata huo upendeleo umekwisha.
 
Kwa hiyo unataka kulazimisha Arusha kuna mgomo?
Nia sio kulazimisha kuwa mgomo upo bali ni kuweka wazi ukiukwaji wa haki na uenevu thidi ya binadamu unaofanywa na dola Arusha mjini, nina uhakika hata jamii za kimataifa zimemulika dhamira ya mgomo huu wa masaa kadhaa Arusha.
 
Bahati mbaya hunijui sikujui sijawahi katika maisha yangu yote kuishabikia CCM lakini shujaa wako Lema aliwahi kufanya hivyo huko Sombetini uliza wajuzi wa mambo watakwambia.OCD Zuberi anatekeleza majukumu yake ya kazi kama kakosea Lema alikuwa na nafasi kubwa kusahihisha makosa ya afande Zuberi mahakamani shida hiko wapi ?.

Dedam; Ritz na Ngongo mnaipenda CCM kupita nafsi zenu. Januari 5; 2011 Afande Zuberi aliamuru askari wawatwange raia risasi za moto na kuua watu. Iwapo OCD Zuberi anasimamia utawala wa sheria, mbona hakuwakamata wauwaji au kufanya uchunguzi? Aombe 2015 kusitokeee mabadiliko maana atajiotwanga risasi ya kichwa kabla ya kukamatwa kujibu madudu yake anayoendelea kuyatekeleza kufurahisha "wachache" kwa manufaa ya "wachache". Freedom is coming soon......Amandlaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Gepema Mwalimu wako alikuwa na shida sana. ebu soma tena na tena post zangu bila ukungu wa ushabiki wa vyama.

Ngongo asubuhi ulikuwa unabisha kwamba Arusha hakuna mgomo je sasa unakubali kwamba kulikuwa na mgomo?
 
Ngongo unakiherehere kama kuku! Kumbe una akili za kuunga unga! umeshasahau kuwa ulipost thread kutuhabarisha kuwa ule Mgomo wa Dala dala, taxi na bodaboda Umeshindwa kufanyika kama ilivyotarajiwa?

Unaboa sana!

...Mpaka crashwise amekiri hilo basi bila shaka ndivyo inavyoonekana, maana tulitegemea makubwa ya aina ya Benghazi kuanzia Arusha leo, so unless kama utakuja na data zinazoonyesha tofauti.
 
Daud mchambuzi.

Lema kapelekwa mahakamani ukiukwaji wa haki na uonevu ungesemwa huko.

Nia sio kulazimisha kuwa mgomo upo bali ni kuweka wazi ukiukwaji wa haki na uenevu thidi ya binadamu unaofanywa na dola Arusha mjini, nina uhakika hata jamii za kimataifa zimemulika dhamira ya mgomo huu wa masaa kadhaa Arusha.
 
Bahati mbaya hunijui sikujui sijawahi katika maisha yangu yote kuishabikia CCM lakini shujaa wako Lema aliwahi kufanya hivyo huko Sombetini uliza wajuzi wa mambo watakwambia.OCD Zuberi anatekeleza majukumu yake ya kazi kama kakosea Lema alikuwa na nafasi kubwa kusahihisha makosa ya afande Zuberi mahakamani shida hiko wapi ?.
Ngongo,mimi nilidhani bifu lako ni kwa Lema tu,kumbe ni kwa harakati nzima za kutaka mabadiliko?

Yani ni sawa na kutaka kuwanyima watu wasile chakula kwasababu tu hukushiriki kukipika?Unataka wafe njaa?

Nadhani umenielewa....Kuwanyima watu mabadiliko kwasababu ya Lema?Kwa hapa JF ninakumbuka kuwa wewe ni NCCR,na ukweli bifu lako na Lema ni linanikumbushia bifu la Mrema na Ndesamburo.

Mkuu ukimpinga Lema,hilo hakuna atakayeingilia,lakini unapokuwa against mabadiliko na huku ukijiita mependa mabadiliko,then ni sawa na usaliti si tu kwa wenzako,bali hata kwa nafsi yako.

Nina uhakika kabisa kuwa kuna namna ungeweza kuplay your game smart,hata hivyo hakuna anayeweza kukupangia,only ushauri tu mkuu.

Style ya bora tukose wote siyo nzuri especially kama madhumuni ni kumwodoa mkoloni mweusi.

Ugombeaji wa fito kwenye ujenzi wa nyumba moja kunaweza kuleta madhara.
 
Dedam; Ritz na Ngongo mnaipenda CCM kupita nafsi zenu.

Januari 5; 2011 Afande Zuberi aliamuru askari wawatwange raia risasi za moto na kuua watu. Iwapo OCD Zuberi anasimamia utawala wa sheria, mbona hakuwakamata wauwaji au kufanya uchunguzi?

Aombe 2015 kusitokeee mabadiliko maana atajiotwanga risasi ya kichwa kabla ya kukamatwa kujibu madudu yake anayoendelea kuyatekeleza kufurahisha "wachache" kwa manufaa ya "wachache". Freedom is coming soon......Amandlaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!mkuu hebu nitake radhi kwa kuniweka kwenye list ya hao magamba
 
Afadhali tungeshinikiza mashangingi ya serekali yasionekane barabarani kuliko kukimbilia usafiri wa wanyonge.
.

..Atleast hii ingeonyesha aina fulani ya kuuchoka utawala, LAKINI hii ya kuwalazimisha walala hoi wenzetu watembee kwa miguu bila hiari yao ni upumbavu...
 
Bahati mbaya hunijui sikujui sijawahi katika maisha yangu yote kuishabikia CCM lakini shujaa wako Lema aliwahi kufanya hivyo huko Sombetini uliza wajuzi wa mambo watakwambia.OCD Zuberi anatekeleza majukumu yake ya kazi kama kakosea Lema alikuwa na nafasi kubwa kusahihisha makosa ya afande Zuberi mahakamani shida hiko wapi ?.

masaburi at work!
 
Back
Top Bottom